Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

Loasa Alifuatana na vibaka wenzake wakiongozwa na Caetano Kingunge, frateri aliyegeuka kuwa Marxist ambaye amehama toka ujamaa hadi kwenye ubepari unaonyonya damu za wavujajasho mithili ya mumiani.
 
Yeye Lowasa atoe ushahidi kwamba hausiki na ufisadi wa Richmond. Nchi nzima inajua alijiuzulu uwaziri mkuu sabbu ya ushiriki wake kwenye kashfa ya Richmonduli.
 
Hapa ndipo huwa naipongeza Chadema kwa maamuzi hakuna mtu maarufu ndani ya chama kuliko chama.

Acha uongo mkuu,,nani asiyejua Mbowe ndio kila kitu kwenye chama cha mkwewe?
Kapindua katiba na kuongoza kwa muhula wa 3 kuna mtu aliyepaza sauti? Waliojiamini ndio hao wameitwa masalia.
 
ImageUploadedByJamiiForums1435786438.601784.jpg
cc: Pasco na team Lowassa wooooooooooote. Safari ya matumaini ileeeeee
 
Last edited by a moderator:
kwa hyo umeona ufisad upo kwenye richmond to? vp kuhusu escrow,mabehewa mbona hamuwakazanii hao wahusika kila siku lowasa?

Mku huwezi kuhalalisha wizi kwa kufichuwa wezi wengine.
Hao wanao mnadisha luwasa na wizi na ufisadi wanajua hivyo.
Na ww unae jua wezi wengine wanadishe lakini bado utakuwa hujamsafisha luwasa kwa hao watu.
Mm sitaki kuamini kama luwasa ni fisadi lakini nataka kuamini kama njia anazo tumia kuutaka ukuu wa nchi hazinifurahishi.
Napata shaka kama tumefikia aina ya kwenda ikulu tutumie aina hii ya luwasa.
Nahisi tukikubali aina hii ya mipango na taratibu za luwasa za kwenda ikulu basi tujiandae miaka ijayo kupata rais wa makundi ya kihalifu kama wauza unga maharamia na makindi mchafu nk.
 
hii timu kweli akili yao wote ni shida ndo maana wanaongozwa na kingunge,angalia alichokiandika huyu kazi yao matusi ambayo hata vichaa hawawezi kutoa ,

Sio kosa lake mkuu, unajua kumtetea Fisadi lazima uwe chizi, kama unavyowaona mibabu mizima mingine hata meno haina, na wajukuu juu inaropoka utumbo, mtupu, Kutumika ni shida sana, lazima uuze utu wako. We waache tu muda c mrefu watalia kilio cha mbwa, na hawataamini!!!!
 
CCM kazi mnayo kitendo cha M/kiti CCM mkoa wa Geita kutoa kauli kavu pindi wakimsindiza Ndugu Edward Lowassa alipokuwa anarudisha fomu kuwa " Hakatwi Mtu Hapa " ni dalili tosha Chama kimekosa maadili, kauli hiyo ni ya mabavu kushinikiza maamuzi ya vikao halali. lakini pia wasiwasi wote huo wa nini, ina maana wanajihisi kukatwa?? Huyu enzi za baba wa Taifa Nyerere, leo hana cheo cha uenyekiti.
 
Lowasa ni ZERO kabisa huyu nunda. Kha!

Eti anayejua ufisadi wake ajitokeze, why alikubali kuachia ngazi 2008 ilhali alijua yuko clean?

Rubbish!
 
CCM kazi mnayo kitendo cha M/kiti CCM mkoa wa Geita kutoa kauli kavu pindi wakimsindiza Ndugu Edward Lowassa alipokuwa anarudisha fomu kuwa " Hakatwi Mtu Hapa " ni dalili tosha Chama kimekosa maadili, kauli hiyo ni ya mabavu kushinikiza maamuzi ya vikao halali. lakini pia wasiwasi wote huo wa nini, ina maana wanajihisi kukatwa?? Huyu enzi za baba wa Taifa Nyerere, leo hana cheo cha uenyekiti.

Sio kila chama kinakurupuka kama Chadema.
 
Rais wao mtarajiwa hata hotuba ya dakika moja na nusu nayo anasoma. Hawezi kuikariri!! Hawa watu wana lao na ni kuwaogopa kama ukimwi! Angalia sura za wasindikizaji wakati mzee wa matumaini akisoma hotuba yake ya dakika moja. Wanaonekana kana kwamba wanaomba amalize haraka. Pamoja na kuimba wimbo wa matumaini, inaelkea hawana uhakika ni kipi kitafuatia katika muda wa dakika ya pili.
 
CCM kazi mnayo kitendo cha M/kiti CCM mkoa wa Geita kutoa kauli kavu pindi wakimsindiza Ndugu Edward Lowassa alipokuwa anarudisha fomu kuwa " Hakatwi Mtu Hapa " ni dalili tosha Chama kimekosa maadili, kauli hiyo ni ya mabavu kushinikiza maamuzi ya vikao halali. lakini pia wasiwasi wote huo wa nini, ina maana wanajihisi kukatwa?? Huyu enzi za baba wa Taifa Nyerere, leo hana cheo cha uenyekiti.

Ukiona hivyo ujue tayari wameshajiandaa kwa lolote,yaani plan b pindi lowasa akikatwa.
 
Mchezo wa kukata majina na kuweka mtu anemtaka alikuwa anafanya Nyerere , hivyo lzm uendelee ,hiyo dhambi lzm izae na nyinyi, mnamlalamikia nani kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom