Kwani vigezo vya kuchaguliwa ni wingi wa wadhamini,wenyeviti Na WAJUMBE wa kukusindikiza? Tunaiomba kamati Kuu isiogope huo wingi wa wapokea rushwa wa lowassa huyo ni fisadi mkimpitisha lowassa tunahamia upinzani
kama wingi we kupendwa na watu nakushangiliwa basi marehemu kanumba angekuwa rais wa awamu yA 4 NA DIAMOND ANGEKUWA ANAJIPANGA KUWA RAIS WA AWAMU YA 5, LKN VILIVILE MAIKO JAKSON ANGEKUWA RAIS WA DUNIA KATIKA KIPINDI CHA UHAI WAKE, ni aibu kuleta sifa ya namna hii ya mgombea wenu katika zama kama hizi za weredi na watu walioenda shule.