Edward lowasa amebadili dini na sasa ni mlokole

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Mhe edward lowasa ameokoka na sasa amekuwa mlokole anasubili kubatizwa maji tele.
Hatua hiyo imefikia baada ya kushauliwa na tb joshua wa nigeria
 
Ubatizo wa maji tele huwa unafanyika kwa kumuzamisha mhusika kwenye mto au kisima, tukio ambalo lowasa anataka lifanyike kwa siri.

Dhana hasa ya kupatizwa maji tele ni sawa na kujivua gamba!!!!!!
 
Mmeahidiwa kuupata URAHISI 2015 na Nabii Joshua.
 
Anahangaika tu but nothing will change his conscience except true repentance kwamba ni corrupt!!!! kwa kuingiza nchi kwenye mikataba feki iliyotu-cost fedha nyingi sisi walala hoi. Labda kawa charmed na prosperity gospel ya akina Joshua/winners chapel? Wote ni feki, using God/religion to garner money from poor flock who are desperate themselves...it is vanity and chasing after the wind!!!!!!
 
Mhe edward lowasa ameokoka na sasa amekuwa mlokole anasubili kubatizwa maji tele.Hatua hiyo imefikia baada ya kushauliwa na tb joshua wa nigeria
Huo ubatizo bado hautoshi kumuepusha na kikombe cha laana ya watanzania takriban mil 40,arudishe mabilioni lukuki aliyowaibia wananchi wanyonge na kuwaacha wakigaragazwa na umasikini!!
 
Ubatizo wa maji tele huwa unafanyika kwa kumuzamisha mhusika kwenye mto au kisima, tukio ambalo lowasa anataka lifanyike kwa siri.

Dhana hasa ya kupatizwa maji tele ni sawa na kujivua gamba!!!!!!

Eh mungu saidia akizama asiibuke tena na apotelee huko huko majini.
 
Anahangaika tu but nothing will change his conscience except true repentance kwamba ni corrupt!!!! kwa kuingiza nchi kwenye mikataba feki iliyotu-cost fedha nyingi sisi walala hoi. Labda kawa charmed na prosperity gospel ya akina Joshua/winners chapel? Wote ni feki, using God/religion to garner money from poor flock who are desperate themselves...it is vanity and chasing after the wind!!!!!!
Well said mkuu.
 
Yesu alimwambia yule tajiri aliyetaka kujua anawezaje kwenda mbinguni kuwa uza mali zako zote, ugawe pesa kwa mafukara halafu unifuate.
Sijui kama alifuata ushauri huo.
 
Mhe edward lowasa ameokoka na sasa amekuwa mlokole anasubili kubatizwa maji tele.
Hatua hiyo imefikia baada ya kushauliwa na tb joshua wa nigeria
kama ameokoka, mi naweza kumpa kura akigombea urais...safi sana.
 
Mgogoro utakuja kati ya lowasa na maaskofu kkkt, kwani ndani ya kkkt hurusiwi kubatizwa maji tele, ukifanya hivyo ni sawa na uasi mkubwa na unatengwa na kkkt.

Hivyo lowasa yupo mbioni kutengwa na kkkt
 
Mhe edward lowasa ameokoka na sasa amekuwa mlokole anasubili kubatizwa maji tele.
Hatua hiyo imefikia baada ya kushauliwa na tb joshua wa nigeria

Kwa kawaida mtu ukiamua kumrudia Mungu unapaswa kurudisha uliyodhulumu kwa watu,naomba aturudishie watanzania hela zetu...Hiyo ni gia ya kuelekea 2015 election.......
 
MUNGU pekee ndiye ajuaye uovu wa mtu, na ndiye atangazaye Wokovu haijalishi ulifanya nini, ili mradi tu umenia kufanya toba nakumkubali katika kweli na haki, nawaambieni ikiwa amefanya kwa haki mtumkuta mbinguni. Nyie shangaeni tu kana kwamba nyinyi ni Mungu, kizuri kipi mtu kutubu na kumtafuta Mungu wake? au kuendele kutenda uovu?

Msiwafungie watu nira, achani wamtafute MUNGU.
 
Uzuri kwenye urais kigezo cha ulokole au dini hakipo, kwa hiyo sidhani kama itakuwa na uhusiano na hili au kumwongezea point.
 
Back
Top Bottom