Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

good question, nashangaa kama hali ya economy ime-affect mindset za watu.:rolleyes:

hii economy imewaumiza wengi.

This very interesting thread went down to ashes.... any change of mind to some? especially after credit crunch and now the crunch is over??
 
No way back my friend, tutabanana na box huku mpaka kieleweke mwanangu.
CONCLUSION
Binadamu yeyote anahaki ya kuishi popote pale hapa duniani.
Kama unaishi nje ya nchi, na una pata mahitaji muhimu na pia upo comfortable in terms of physcological and finencial aspects, endeleza libeneke la maisha hapo hapo kwa kwenda mbele.
Ila kama unahisi umechemka huko nchi za watu, basi unaweza kurudi nyumbani bila aibu, kama ni hao wanaofanya prostitution basi wafanye angalau kwa miezi miwili akishapata mtaji, aje bongo afungue japo kasaloon, utapata fweza tu!
NB. to me, bongo is still a land full of orpotunities, inategemea wewe mwenyewe unajipangaje....akili mukichwa!
 
How many Tanzanians did you interview to come up with this conclusion? When and where did you interview them?

...............there are things that you don't even need to interview anybody kwani you see how people are living.and the wost of it is that after a long period of frustrations most cant face the fact that they'll be better off back home,as a result of being afraid of what they're gonna face when coming back home.kwani wenzao wengi waliowaacha TZ have made something out of their life back home despite the hardships.they've got their families and so on while those abroad (not only in US) are left with nothing to boast about,no family,no social life as it is suppossed to be.by the time they come to realize it's almost too late....
 
again,

Huu mjadala ulikua moto sana na nadhani pale mwanzo wa 2008 ulikua ni mjadala pekee uliofikia nyuzi 100 nje ya jukwaa la siasa

je... the thread, na scenarios bado valid

je tulio nyumbani hatupati tough situation???
 
I think maisha ni popote inategemea na wewe ni wapi umeridhika napo na ni vitu gani in life unavipa kipaumbele.Maisha ni popote innit.
 
again,

Huu mjadala ulikua moto sana na nadhani pale mwanzo wa 2008 ulikua ni mjadala pekee uliofikia nyuzi 100 nje ya jukwaa la siasa

je... the thread, na scenarios bado valid

je tulio nyumbani hatupati tough situation???


Katika threads zote nilizoshiriki in 2009 hii itabakia top on the list maana kulikuwa na viroja na vichekesho vikionyesha jinsi watu wengi wasivyojua kinachoendelea TZ!... iInanikumbusha enzi zileeeeee when AFRICA WAS DUBBED "A DARK CONTINENT FULL OF DISEASE, POVERTY AND HUNGER"...AND OFCOURSE WITCHCRAFT!
 
Katika threads zote nilizoshiriki in 2009 hii itabakia top on the list maana kulikuwa na viroja na vichekesho vikionyesha jinsi watu wengi wasivyojua kinachoendelea TZ!... iInanikumbusha enzi zileeeeee when AFRICA WAS DUBBED "A DARK CONTINENT FULL OF DISEASE, POVERTY AND HUNGER"...AND OFCOURSE WITCHCRAFT!

hii mada tamu and i believe its one of very few threads ambazo zitakua valid wakati wote... but we are missing the other side of teh analysis au contributions... je wachache walioduri wameonaje mambo?? impact ya recession kwa waliobaki? na waliokua hawajatoka, any experience tofauti na 2008??

well, i know wachache ni good researchers [including you, i guess]; will do the needful
 
Katika threads zote nilizoshiriki in 2009 hii itabakia top on the list maana kulikuwa na viroja na vichekesho vikionyesha jinsi watu wengi wasivyojua kinachoendelea TZ!... iInanikumbusha enzi zileeeeee when AFRICA WAS DUBBED "A DARK CONTINENT FULL OF DISEASE, POVERTY AND HUNGER"...AND OFCOURSE WITCHCRAFT!

Bado tuna safari ndefu sana ya kwenda na hili linasababishwa zaidi na Viongozi wasiokuwa na vision, waroho wa utajiri wa haraka haraka na ambao wako tayari kuwadanganya Wanachi wao kwamba wamefanya mengi wakati ukweli ni kwamba hawajafanya chochote. Hata yule Mo Ibrahim amethibitisha hilo kwa mara ya pili mfululizo kumkosa kiongozi kutoka bara letu aliyestahili kupata tuzo lake kutokana na utendaji mzuri madarakani. Angalieni picha hapo chini zinathibitisha maneno yangu na hali kama hii iko katika nchi nyingi za Afrika.

Pres. Kikwete’s “Maisha bora kwa kila Mtanzania” « JamiiForums|TMF Blogs
 
tunaongelea "
Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

nilikuwa sijawahi kusoma hii thread,wewe ndio umenifanya nikajaribu kuipitia harakaharaka.kifupi FMES' POST imemaliza kila kitu mengine yalikuwa yaleyale kaenda/karudi(no disrespect to other posts),ila mjadala mkubwa uliuanzisha ulipotaja tu kuwa watu wanapata $20k/month.
well i have few friends bongo wanapata btn $2000-5000 believe me wako kwenye kampuni kubwa maarufu bongo na nafasi za juu kidogo,sio CEO,MD.
mimi naamini mishahara "mizuri" iko bongo ila watu wakianza kufananisha bongo na USA ni kutoitendea haki tanzania,hizo ni dunia mbili tofauti.
maisha ni popote utakapoona panakufaa.......
 
... vichekesho vikionyesha jinsi watu wengi wasivyojua kinachoendelea TZ!... iInanikumbusha enzi zileeeeee when AFRICA WAS DUBBED "A DARK CONTINENT FULL OF DISEASE, POVERTY AND HUNGER"...AND OFCOURSE WITCHCRAFT!
"Dark Continent" is a derogation of the region and the African people, your tail included. An African is not expected to find amusement in the phenomenon and proliferate warped history.
 
Katika threads zote nilizoshiriki in 2009 hii itabakia top on the list maana kulikuwa na viroja na vichekesho vikionyesha jinsi watu wengi wasivyojua kinachoendelea TZ!... iInanikumbusha enzi zileeeeee when AFRICA WAS DUBBED "A DARK CONTINENT FULL OF DISEASE, POVERTY AND HUNGER"...AND OFCOURSE WITCHCRAFT!
WOS nimeupitia mjadala na hakuna mahali nimeona watu wanaichukulia Africa kama ulivyomention hapo juu,tatizo hukusema ni ma CEO gani wanaolipwa twenty g's per month,nakubaliana na wadau kuwa wako lakini kiduchu.
 
Maisha popote pale...ukiwa Asia,Amerika au Afrika unahitaji juhudi,utayari wa kujifunza ili kukabiliana na changamoto za maisha.Kitu kikubwa ni kuhakikisha kuwa una malengo ambayo ungependa kuyafikia ndani ya kipindi fulani.

Nachoona mimi ni kuwa watu wengi wanaishi sehemu kama Marekani bila kuwa na malengo...yaani hajui kama nia yake hasa ni kufanya maisha ya kudumu hapa Marekani au anatengeneza msingi kisha arudi nyumbani Tanzania siku moja.Mtu yuko hapa Marekani kwa miaka zaidi ya 7 kwa mfano...ana kibarua cha kumuwezesha kupata pesa ya college lakini hajamaliza hata Associate Degree kwa kipindi chote hiki wakati sababu hasa iliyomleta hapa Marekani ni Elimu!Wacha mtu aliyemaliza degree yake Mzumbe,UDSM akudharau tu!

We must always begin with end in mind....what's the purpose of my stay in a foreign land?What do i want to achieve?Kuishi huku ughaibuni ni nafasi ya kujifunza...rafiki yangu mmoja anasema ukiishi Tanzania kwa maisha yako yote wakati mwingine unashindwa kujua "maendeleo yanafananaje"...kumbe ugenini kuna mengi ya kujifunza...kuthamini muda,kuthamini kila shilingi unayotengeneza etc.Tuchukue nafasi ya kuishi ughaibuni kuwa ya kujifunza zaidi na tuangalie ni kwa namna gani nyumbani Tanzania watanufaika na uwepo wetu ughaibuni...yaani msaada wetu usiwe hule wa kupitia Western Union,Money Gram tu...tuangalie namna nyingine za kuwa chachu ya maendeleo kwenye familia zetu na taifa kwa ujumla!

Tujaribu kuwaelemisha wale ndugu zetu wanaopenda kuja kuishi/kusoma nje ya nchi kwenye nchi kama Marekani kwa mfano kuwa maisha sio rahisi na wasidanganyike na yale maisha wanayoyaona kwenye TV...huku pia kuna watu homeless na ombaomba...huku watu wanafilisika na kushindwa hata kumuda gharama za maisha kama ilivyo sehemu nyingine yeyote duniani!
 
Ukitaka maisha yako yawe bora, you must have a certain amount of exposure to the first world. Tough times, crazy love situations, clubbing, is part of the learning process out there. Ukirudi nyumbani, believe me, you are different , by far, therefore success beacons!! Haya naongea from 8 years of experience living abroad. And now enjoy it all at home. Wacha wadogo zetu waende nao wafaidi,nawajifunze. Namna hiyo tutalisaidia sana taifa letu.Lakini tukikaa washamba washamba, hatutaendelea, tutakuwa na mijadala hewa hewa kila mara.
 
Basi sasa ni February 2012 hili swala na maisha yamebadilika vipi? Maisha ugenini yanazidi kuwa..... Hebu semeni misimamo yenu imebadilika ama ni ile ile, na kama kuna mmoja wenu amehit jackpot basi hebu tugawie
 
mbona napata shaka,maana malengo yangu ni kuvagaa meli na kuishia USA sasa leo unaleta habari ya ugumu wa maisha hapo USA,ok nitatest kuvagaa meli baada ya kuvuna mpunga wangu mwezi wa saba na kuuza ili nipate ka nauri

ila ni vyema ukanipm upo pande zipi USA,Ili yakinishinda hapo USA nikutafute broo
 
Back
Top Bottom