Edo hakukutana na JK barabarani, je wewe na rafiki yako mlikutana waaapi?

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Nimejaribu kutafakali kwa muda sasa huku nikijaribu bila mafanikio kutafuta mantiki ya mweshimewa waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Rechmond,kuhusiana na kauli yake ambayo amekuwa akiitoa na kuirudia rudia kila anapotakiwa kujibu shutuma zinazo mkabili hasa zinazo husu kumuujum rafiki yake JK.Utamsikia akisema kwamba "URAFIKI WANGU NA KIKWETE SI WAKUKUTANA BARABARANI"...Hapa ndo EDO huwa simwelewi kabisa anamaanisha nini,je ukikutana na mtu barabarani hauwezi ukawa na urafiki nae wa ukweli?.Naomba mwenye ufaham mpana anieleweshe je ni-wapi hasa au nindani ya nini ukutane na mtu ili muwe marafiki wa kweli...plz Edo kama na wewe u-pita humu JF niambie ulikutana na JK wapi au ndani ya nini? coz unavyoitaja barabara unamaanisha hamkukutana nje.Mimi marafiki zangu nimekutana nao barabarani,shuleni,kazini kwenye viwanja vya michezo,mitaani nk...
 
nimejaribu kutafakali kwa muda sasa huku nikijaribu bila mafanikio kutafuta mantiki ya mweshimewa waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya rechmond,kuhusiana na kauli yake ambayo amekuwa akiitoa na kuirudia rudia kila anapotakiwa kujibu shutuma zinazo mkabili hasa zinazo husu kumuujum rafiki yake jk.utamsikia akisema kwamba "urafiki wangu na kikwete si wakukutana barabarani"...hapa ndo edo huwa simwelewi kabisa anamaanisha nini,je ukikutana na mtu barabarani hauwezi ukawa na urafiki nae wa ukweli?.naomba mwenye ufaham mpana anieleweshe je ni-wapi hasa au nindani ya nini ukutane na mtu ili muwe marafiki wa kweli...plz edo kama na wewe u-pita humu jf niambie ulikutana na jk wapi au ndani ya nini? Coz unavyoitaja barabara unamaanisha hamkukutana nje.mimi marafiki zangu nimekutana nao barabarani,shuleni,kazini kwenye viwanja vya michezo,mitaani nk...



ulikua una kimbilia wapi???
 
Back
Top Bottom