Eddo kumwembe: kinachowatesa Simba ni hiki hapa

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
E D D O K U M W E M B E

"Jana Yanga kashinda moja kwa tabu akaupiga mpira mwingi .. Leo Simba kashinda kiurahisi lakini hajaupiga mwingi. Wote wamefanya kitu muhimu POINT TATU. Yote ni sawa tu"

"Nimeona kuna mahala watu wa Simba wanalalamika kuhusu kiwango. Tatizo ni kujaribu kushindana kwa kila kitu. Naona ni ujinga tu. Wakati mwingine hata kama shati lilibana jaribu kuvaa koti kubwa ujitutumue kwa mtani"

NB: sisi makolo tujikubali na soka letu .....kivyetu vyetu ....wananchi watatupoteza
1695326152784.jpg
 
E D D O K U M W E M B E

"Jana Yanga kashinda moja kwa tabu akaupiga mpira mwingi .. Leo Simba kashinda kiurahisi lakini hajaupiga mwingi. Wote wamefanya kitu muhimu POINT TATU. Yote ni sawa tu"

"Nimeona kuna mahala watu wa Simba wanalalamika kuhusu kiwango. Tatizo ni kujaribu kushindana kwa kila kitu. Naona ni ujinga tu. Wakati mwingine hata kama shati lilibana jaribu kuvaa koti kubwa ujitutumue kwa mtani"

NB: sisi makolo tujikubali na soka letu .....kivyetu vyetu ....wananchi watatupotezaView attachment 2758072
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
we binti mumeo huwa unampikia chakula lakini?
 
Unapo ambiwa usikasirike jaribu kujuwa shida ipo wapi ila simba kuna dude linawanyemelea watasema tu muda ukifika.
 
E D D O K U M W E M B E

"Jana Yanga kashinda moja kwa tabu akaupiga mpira mwingi .. Leo Simba kashinda kiurahisi lakini hajaupiga mwingi. Wote wamefanya kitu muhimu POINT TATU. Yote ni sawa tu"

"Nimeona kuna mahala watu wa Simba wanalalamika kuhusu kiwango. Tatizo ni kujaribu kushindana kwa kila kitu. Naona ni ujinga tu. Wakati mwingine hata kama shati lilibana jaribu kuvaa koti kubwa ujitutumue kwa mtani"

NB: sisi makolo tujikubali na soka letu .....kivyetu vyetu ....wananchi watatupotezaView attachment 2758072
Huyu jamaa mi mwaka wa sita simfuatilii baada ya kuona ni tapeli mmoja anayekula kwa ujinga wa wanaomfuatilia.
Inawezekana nisipoingia hii forum ya sport nisimuone kabisa kama ambavyo ni miaka mitatu sasa sisikilizi kabisa vipindi vya michezo kwani uongo mwingi sana maana nasikia sasa hivi eti utopolo ni ya 3 kwa ubora Afrika na bingwa wa super cup ni wa 11! Hii ni ajabu kwa hawa wachambuzi
 
E D D O K U M W E M B E

"Jana Yanga kashinda moja kwa tabu akaupiga mpira mwingi .. Leo Simba kashinda kiurahisi lakini hajaupiga mwingi. Wote wamefanya kitu muhimu POINT TATU. Yote ni sawa tu"

"Nimeona kuna mahala watu wa Simba wanalalamika kuhusu kiwango. Tatizo ni kujaribu kushindana kwa kila kitu. Naona ni ujinga tu. Wakati mwingine hata kama shati lilibana jaribu kuvaa koti kubwa ujitutumue kwa mtani"

NB: sisi makolo tujikubali na soka letu .....kivyetu vyetu ....wananchi watatupotezaView attachment 2758072
Edo ni nani.?. Naye n kama wadada wengine tu
 
Ushabiki wa timu za mpira wa miguu una raha na karaha zake.

Raha ni pale shabiki timu yake inaposhinda. Karaha ni pale shabiki anapojifanya yeye ndiye kocha.

Mpira ni dk 90 ambapo matokeo yako miguuni mwa wachezaji 11. Kocha uwa amemaliza kazi yake ya kuandaa timu na kupanga kikosi cha kucheza. Mashabiki ni kuwapa moyo wa ushindaji wachezaji., BASI.
 
Back
Top Bottom