BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Aisee bana mi bado naiwazia ile $25,000 credit card. Yaani kama najiona nime mjoin brazameni huko Brazil....lol
Back to the topic.....
Mimi nafikiri lawama kubwa zinapaswa kutupia serikali. Serikali inatakiwa iweke regulations ambazo zitakuwa fair to both parts.
Hatuwezi kuwalaumu Easy Finance, kwa sababu wako pale for profit. Kwa hiyo as long as hawaendeshi biashara yao kinyume cha sheria, hawastahili lawama yoyote.
Pia, hatuwezi kuwalaumu wateja. Kama inavyojulikana, wateja wanaenda kwenye finance companies kama Easy Finance kwa sababu ya desparations. Na mtu yoyote aliyekuwa desparate hatengi muda wa kuangalia risk zilizozunguka kwa undani zaidi. Sote twajua hilo.
Kwa hiyo ni serikali ndio inatakiwa i-regulate biashara kama hizi....
Wakinipa kw 6% bila annual fees naichukua haraka sana, maana kwa jinsi mabnk yalivyo na hali mbaya sasa hivi huo ni mkopo nafuu mno, lakini pia inbidi kutoendekeza matanuzi maana unaweza kuzifyeka hizo $25,000 zote halafu jamaa wanakwambia tunaongeza mpaka 12% bada ya muda twena wakaongeza tena mpaka 15% hili linawezekana kabisa.
Brazameni huko Brazil kanogewa na vimwana vya huko hataki kurudi tena