NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 11,727
- 11,826
Huamini hii ni Nairobi? Hahaha, na bado. Mwenzako juzi nimempostia picha za majengo yanayojengwa Nairobi akasema niache uongo eti hapo ni Dubai.hawa hata siiwaamini
Huamini hii ni Nairobi? Hahaha, na bado. Mwenzako juzi nimempostia picha za majengo yanayojengwa Nairobi akasema niache uongo eti hapo ni Dubai.hawa hata siiwaamini
Amini isiamini utaaminihawa hata siiwaamini
WOOW is all I can saysouthern bypass
And a BRT under construction.Na bado tramways hazijatokea na pia ile ya SGR haija malizwa!!!! Lololo.... Nairobi itatiisha watu..