East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

12301334_1667441173494139_1804225460_n.jpg
 
This city is beautiful...well planned with impressive architects designs.....
From the pics hata weather yake iko poa

Hongereni majirani kwa jiji zuri
 
Nairobi kumeendelea,jiji lao limepangiliwa kuliko Dsm...ukweli uumao kwa wachache,ILA ndio ukweli sasa.
 
Wakoloni waliokuwa Settlers walisettle in Nairobi na kufanya makubwa sana,na hii kwa sehemu kubwa ni kazi yao.


After 50 years of independence with the same perceptions !!!!!!!!!!...
Kaangalie dsm walioiacha wakoloni katika jukwaa LA photos alafu ndo utajua ni kwa kiasi gani upigaji deal umetuathiri , mchawi wetu wala si mkoloni mweupe Bali mweusi tiii !!!!!...

Katika mikoa yote niliyotembea tz, Dodoma imepangika vyema sana

Nairobi sio kubwa kuliko dsm na wala sijaona designs za majengo za kushtua sana kuliko dsm ila kwa city plan.dsm bado bado bado labda tuendeleze miji mingine

** TANZANIA KWANZA **
 
Back
Top Bottom