DVD Writer Hainokani Kabisa-toshiba satellite A200 Series

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Naomba msaada wanajamii, nina laptop toshiba satellite A200. ilikuja na Vista Basic. Nika-install Windows 7. Tangu hapo ikapoteza kuona DVD Writer. Haionekani kabisa. Ila ukiweka CD inaonesha kuwa inaitambua na kuisoma; lakini haionekani popote.

Tafadhali naomba msaada wenu.
 
Back
Top Bottom