Duuh!!

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa akamuuliza mkewe,..."Je,una hakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?...Mke akajibu kwa uhakika kabisa..Ndiyo honey,wengine wote ilikuwa hatulali,ni shughuli mpaka asubuhi."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom