Duniani Kote, Ni Rahisi Sana Kuiondoa Serikali Nzuri Kuliko Serikali Mbaya.

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,078
Kimsingi, matatizo yetu mengi, kuanzia kutokuwa na umeme wa uhakika, barabara za chini ya kiwango, ufisadi kwenye miradi, utawala holela usiofuata misingi ya utawala bora, ukiukaji wa katiba na sheria unaofanywa na watawala, mpaka uchafu mwingine mwingi, kwa kiasi kikubwa, chanzo ni Serikali.

Dunaini kote mabadiliko hufanywa na watu, siyo mbuga za wanyama, siyo udongo, siyo madini wala maziwa. Ila watu wenye upeo, maarifa, uadilifu na wabunifu, ndiyo huzitumia rasilimali hizo kuleta maendeleo.

Lakini ni ukweli mtupu kuwa mwananchi mmoja mmoja, pamoja na kuwa na nafasi kubwa katika kuleta maendeleo, kuna sehemu kubwa ya Serikali inayoamua jitihada za huyo mwananchi zilete mafanikio au ziishie kwenye hasara tupu. Kwa mfano:

Mwananchi anaweza kujenga kiwanda, anaweza kuweka mifumo ya umwagiliaji, lakini kama hakuna umeme, atafanya nini ili asiishie kwenye hasara?

Mwananchi anaweza kuzalisha vizuri mazao ya shambani au bidhaa zake kiwandani, lakini kama mifumo ya kodi ipo hovyo, hakuna barabara nzuri za kusafirishia mizigo yake, mwananchi huyu atapiga vipi hatua za maendeleo?

Wanafunzi na wanavyuo wanaweza kufanya bidii sana ya kujifunza, wakahitimu masomo yao, wakawa wapo tayari kufanya kazi kwa bidii, lakini kama kutokana na sera mbovu za nchi, watu wanaogopa kuwekeza, hao wahitimu wataajiriwa wapi?

Utofauti mkubwa wa maendeleo kati ya nchi na nchi, unategemea sana utofauti wa aina ya serikali zilizopo katika mataifa. Mkiwa na Serikali duni iliyojaza viongozi na watendaji wa serikali wenye upeo duni, maarifa duni, uadilifu duni, uelewa duni, LAZIMA nchi hiyo iwe na uwekezaji duni, ajira duni, maisha duni, huduma duni, mifumo ya kodi duni, mifumo ya utawala duni, mifumo ya demokrasia duni, na maendeleo duni kwa ujumla.

Kinachokatisha tamaa zaidi ni ukweli kwamba ni rahisi sana kuiondoa Serikali nzuri yenye viongozi wazuri madarakani kuliko kuiondoa Serikali mbaya yenye viongozi duni madarakani.

Kiongozi mzuri, kelele tu za wananchi dhidi yake, zinatosha kumfanya ajiuzuru, lakini kiongozi mbaya yupo tayari hata kuua wanaomkosoa ili tu aendelee kuwepo madarakani. Serikali mbaya zenye viongozi wasio na maono wala uwezo wa kuyahakikishia maendeleo mataifa yao, hakuna chochote kikubwa wanachohangaika nacho isipokuwa kufikiria na kupanga mbinu mbaya na nzuri kuhakikisha kwa vyovyote wanabakia madarakani, iwe kwa amani au kwa upanga.

Ndiyo maana utaona Serikali za namna hiyo hujiwekea kinga za kutoshtakiwa watawala (kwa sababu wanajua kabisa kuwa watafanya uovu), hawapo tayari kuwa na tume huru za uchaguzi (kwa sababu wanajua kukiwa na tume huru za uchaguzi hawawezi kushinda uchaguzi), ndiyo maana hata zoezi la uchaguzi wanapenda liwe siri (ndiyo maana wanazuia wananchi wasishudie zoezi la kuhesabu kura, wanawataka wananchi wakipiga kura waondoke).

Wanajua uwezo wa kuongoza hawana. Uwezo wa sera za kuwavuta wananchi wawachague haupo. Uwezo wa kutatua changamoto kubwa za msingi hawana. Kwa sababu wanajua hawawezi kuchaguliwa na wananchi, hivyo ni aheri kuweka taratibu za kiinimacho ambazo zitazuia wananchi kufanya maamuzi. Yaani ni watu ambao wameamua kuwa wananchi mpende msipende, sisi tutawatawala tu.

Kwenye nchi zilizostaarabika, kiongozi anataka awe na uhakika kama wananchi wanataka awaongoze. Kuna wakati kule Italy Waziri mkuu alikuwa na uhusiano na kimada, kelele zikawa nyingi dhidi yake. Waziri Mkuu alikiri kuwa alikuwa ametenda kosa, akaitisha kura ya maoni ili ajue wangapi, hata baada ya kosa hilo, wanapenda aendelee kuwa Waziri Mkuu, huku akiwa tayari kujiuzulu. Tujiulize hapa kwetu, ukimwacha Mzee Mwinyi na Lowasa, hawa waliopo sasa ndani ya Serikali, nani ana uwezo wa kufanya hivyo?

Kule UK, mwaka 1974, nchi ilipoingia kwenye umeme wa mgao, wananchi waliiondoa Serikali ya Conservative madarakani, na Waziri mkuu Edward Heath aliachia madaraka kwa amani akikiri kuwa Serikali yake ilizembea hadi nchi kufikia kwenye mgao wa umeme.

Sisi hapa kwetu licha ya mgao wa umeme usio na mwisho, achilia mbali Rais, mliwahi kusikia hata mkurugenzi wa TANESCO au waziri wa Nishati amejiuzulu?
 
Mwananchi anaweza kuzalisha vizuri mazao ya shambani au bidhaa zake kiwandani, lakini kama mifumo ya kodi ipo hovyo, hakuna barabara nzuri za kusafurisha mizigo yake, mwananchi huyu atapiga vipi hatua za maendeleo?

Sisi tunaongozwa na watu waliogeuza siasa kuwa ajira na siyo utumishi kwa Wananchi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa Serikali nzuri wkiona wameshindwa huwa wanajiuzulu.au huitisha Uchaguzi wa mapema ili kulinda legitimacy yao.

Na ni njia moja ya kuupima Umma wanaoutawala kama wanakubalika.

In other hand kama hawa hapa Nyumbani hata hawajui wanafanya nini.
 
Utaandika pumba Hadi Vidole viote Sugu.

Tukutane 2030
 
Kuna tatizo moja kubwa katika nchi masikini
Unakuta kiongozi muadilifu anapelekwa mahali au anapewa cheo kikubwa
Pindi anapoanza kuziba mianya ya wizi wao wanaona anawazibia riziki na wanamtafutia njia ya kumuondoa hapo hata kumuuwa
Inatakiwa uadilifu ufundishwe sana majumbani na watoto wanapoenda shule wanaendeleza

Sasa mwanangu nampa lunchbox anaenda nayo shule mwalimu anaiba andazi unategemea kutakuwa na maadili hapo

Unatamani uanzishe kijiji cha waadilifu tu yaani mwizi marufuku
Wenzetu Ulaya uani mlango wa kioo na hakuna anaevunja ingawa ni nyuma na hakuna anaekuona ukitaka kuiba

Lazima mbadilike wakuu
Miradi isiyoisha kisa vifaa na hela zimepigwa na hakuna wa kuwajibishwa

Unaona viongozi kwa mbwembwe mpaka PM utasikia Taku... wako wapi?
Mchukue huyu amepoteza 1b
Ila baada ya hapo husikii kahukumiwa miaka 30 jela
Naona huwa wanagawana tena hizo
Kama mnategemea kuwa na nchi bora msahau kama hamtawafundisha watoto maadili
Kiongozi badala amuandae vizuri kimaisha mtoto wake anamfanya kiongozi chopukizi wa Chama
Dhahiri unaona anaandaliwa mlo wa haram
 
Kimsingi, matatizo yetu mengi, kuanzia kutokuwa na umeme wa uhakika, barabara za chini ya kiwango, ufisadi kwenye miradi, utawala holela usiofuata misingi ya utawala bora, ukiukaji wa katiba na sheria unaofanywa na watawala, mpaka uchafu mwingine mwingi, kwa kiasi kikubwa, chanzo ni Serikali.

Dunaini kote mabadiliko hufanywa na watu, siyo mbuga za wanyama, siyo udongo, siyo madini wala maziwa. Ila watu wenye upeo, maarifa, uadilifu na wabunifu, ndiyo huzitumia rasilimali hizo kuleta maendeleo.

Lakini ni ukweli mtupu kuwa mwananchi mmoja mmoja, pamoja na kuwa na nafasi kubwa katika kuleta maendeleo, kuna sehemu kubwa ya Serikali inayoamua jitihada za huyo mwananchi zilete mafanikio au ziishie kwenye hasara tupu. Kwa mfano:

Mwananchi anaweza kujenga kiwanda, anaweza kuweka mifumo ya umwagiliaji, lakini kama hakuna umeme, atafanya nini ili asiishie kwenye hasara?

Mwananchi anaweza kuzalisha vizuri mazao ya shambani au bidhaa zake kiwandani, lakini kama mifumo ya kodi ipo hovyo, hakuna barabara nzuri za kusafurisha mizigo yake, mwananchi huyu atapiga vipi hatua za maendeleo?

Wanafunzi na wanavyuo wanaweza kufanya bidii sana ya kujifunza, wakahitimu masomo yao, wakawa wapo tayari kufanya kazi kwa bidii, lakini kama kutokana na sera mbovu za nchi, watu wanaogopa kuwekeza, hao wahitimu wataajiriwa wapi?

Utofauti mkubwa wa maendeleo kati ya nchi na nchi, unategemea sana utofauti wa aina ya serikali zilizopo katika mataifa. Mkiwa na Serikali duni iliyojaza viongozi na watendaji wa serikali wenye upeo duni, maarifa duni, uadilifu duni, uelewa duni, LAZIMA nchi hiyo iwe na uwekezaji duni, ajira duni, maisha duni, huduma duni, mifumo ya kodi duni, mifumo ya utawala duni, mifumo ya demokrasia duni, na maendeleo duni kwa ujumla.

Kinachokatisha tamaa zaidi ni ukweli kwamba ni rahisi sana kuiondoa Serikali nzuri yenye viongozi wazuri madarakani kuliko kuiondoa Serikali mbaya yenye viongozi duni madarakani.

Kiongozi mzuri, kelele tu za wananchi dhidi yake, zinatosha kumfanya ajiuzuru, lakini kiongozi mbaya yupo tayari hata kuua wanaomkosoa ili tu aendelee kuwepo madarakani. Serikali mbaya zenye viongozi wasio na maono wala uwezo wa kuyahakikishia maendeleo mataifa yao, hakuna chochote kikubwa wanachohangaika nacho isipokuwa kufikiria na kupanga mbinu mbaya na nzuri kuhakikisha kwa vyovyote wanabakia madarakani, iwe kwa amani au kwa upanga.

Ndiyo maana utaona Serikali za namna hiyo hujiwekea kinga za kutoshtakiwa watawala (kwa sababu wanajua kabisa kuwa watafanya uovu), hawapo tayari kuwa na tume huru za uchaguzi (kwa sababu wanajua kukiwa na tume huru za uchaguzi hawawezi kushinda uchaguzi), ndiyo maana hata zoezi la uchaguzi wanapenda liwe siri (ndiyo maana wanazuia wananchi wasishudie zoezi la kuhesabu kura, wanawataka wananchi wakipiga kura waondoke).

Wanajua uwezo wa kuongoza hawana. Uwezo wa sera za kuwavuta wananchi wawachague haupo. Uwezo wa kutatua changamoto kubwa za msingi hawana. Kwa sababu wanajua hawawezi kuchaguliwa na wananchi, hivyo ni aheri kuweka taratibu za kiinimacho ambazo zitazuia wananchi kufanya maamuzi. Yaani ni watu ambao wameamua kuwa wananchi mpende msipende, sisi tutawatawala tu.

Kwenye nchi zilizostaarabika, kiongozi anataka awe na uhakika kama wananchi wanataka awaongoze. Kuna wakati kule Italy Waziri mkuu alikuwa na uhusiano na kimada, kelele zikawa nyingi dhidi yake. Waziri Mkuu alikiri kuwa alikuwa ametenda kosa, akaitisha kura ya maoni ili ajue wangapi, hata baada ya kosa hilo, wanapenda aendelee kuwa Waziri Mkuu, huku akiwa tayari kujiuzulu. Tujiulize hapa kwetu, ukimwacha Mzee Mwinyi na Lowasa, hawa waliopo sasa ndani ya Serikali, nani ana uwezo wa kufanya hivyo?

Kule UK, mwaka 1974, nchi ilipoingia kwenye umeme wa mgao, wananchi waliiondoa Serikali ya Conservative madarakani, na Waziri mkuu Edward Heath aliachia madaraka kwa amani akikiri kuwa Serikali yake ilizembea hadi nchi kufikia kwenye mgao wa umeme.

Sisi hapa kwetu licha ya mgao wa umeme usio na mwisho, achilia mbali Rais, mliwahi kusikia hata mkurugenzi wa TANESCO au waziri wa Nishati amejiuzulu?
sisi watanzania ni kondoo acha watuburuze tu hatuna ujasiri wa kujenga taifa letu
 
Utaandika pumba Hadi Vidole viote Sugu.

Tukutane 2030
Kwa ukweli aliondika huyu mleta mada, ningeshangaa sana kama ungekuja na maelezo tofauti na haya. Hata hivyo sukushangai, maana huko serekalini kumejaa watu wenye uwezo duni, na wanapata nafasi hizo kwa Hila. Na kwa kawaida watu wenye uwezo duni wakipata madaraka wanakuwa wakali sana, maana wanajua siku wakiyapoteza wakaingia wenye uwezo, wao itakuwa mwisho wa ulaji na aibu ya uwezo duni waliokuwa nao utafahamika.
 
Viongozi wetu wapo tu kwa ajili ya kutimiza malengo binafsi.

Hakuna anayejali lolote.

Hili jambo la Tanesco wahusika ni kama haliwahusu vile.
 
Kimsingi, matatizo yetu mengi, kuanzia kutokuwa na umeme wa uhakika, barabara za chini ya kiwango, ufisadi kwenye miradi, utawala holela usiofuata misingi ya utawala bora, ukiukaji wa katiba na sheria unaofanywa na watawala, mpaka uchafu mwingine mwingi, kwa kiasi kikubwa, chanzo ni Serikali.

Dunaini kote mabadiliko hufanywa na watu, siyo mbuga za wanyama, siyo udongo, siyo madini wala maziwa. Ila watu wenye upeo, maarifa, uadilifu na wabunifu, ndiyo huzitumia rasilimali hizo kuleta maendeleo.

Lakini ni ukweli mtupu kuwa mwananchi mmoja mmoja, pamoja na kuwa na nafasi kubwa katika kuleta maendeleo, kuna sehemu kubwa ya Serikali inayoamua jitihada za huyo mwananchi zilete mafanikio au ziishie kwenye hasara tupu. Kwa mfano:

Mwananchi anaweza kujenga kiwanda, anaweza kuweka mifumo ya umwagiliaji, lakini kama hakuna umeme, atafanya nini ili asiishie kwenye hasara?

Mwananchi anaweza kuzalisha vizuri mazao ya shambani au bidhaa zake kiwandani, lakini kama mifumo ya kodi ipo hovyo, hakuna barabara nzuri za kusafurisha mizigo yake, mwananchi huyu atapiga vipi hatua za maendeleo?

Wanafunzi na wanavyuo wanaweza kufanya bidii sana ya kujifunza, wakahitimu masomo yao, wakawa wapo tayari kufanya kazi kwa bidii, lakini kama kutokana na sera mbovu za nchi, watu wanaogopa kuwekeza, hao wahitimu wataajiriwa wapi?

Utofauti mkubwa wa maendeleo kati ya nchi na nchi, unategemea sana utofauti wa aina ya serikali zilizopo katika mataifa. Mkiwa na Serikali duni iliyojaza viongozi na watendaji wa serikali wenye upeo duni, maarifa duni, uadilifu duni, uelewa duni, LAZIMA nchi hiyo iwe na uwekezaji duni, ajira duni, maisha duni, huduma duni, mifumo ya kodi duni, mifumo ya utawala duni, mifumo ya demokrasia duni, na maendeleo duni kwa ujumla.

Kinachokatisha tamaa zaidi ni ukweli kwamba ni rahisi sana kuiondoa Serikali nzuri yenye viongozi wazuri madarakani kuliko kuiondoa Serikali mbaya yenye viongozi duni madarakani.

Kiongozi mzuri, kelele tu za wananchi dhidi yake, zinatosha kumfanya ajiuzuru, lakini kiongozi mbaya yupo tayari hata kuua wanaomkosoa ili tu aendelee kuwepo madarakani. Serikali mbaya zenye viongozi wasio na maono wala uwezo wa kuyahakikishia maendeleo mataifa yao, hakuna chochote kikubwa wanachohangaika nacho isipokuwa kufikiria na kupanga mbinu mbaya na nzuri kuhakikisha kwa vyovyote wanabakia madarakani, iwe kwa amani au kwa upanga.

Ndiyo maana utaona Serikali za namna hiyo hujiwekea kinga za kutoshtakiwa watawala (kwa sababu wanajua kabisa kuwa watafanya uovu), hawapo tayari kuwa na tume huru za uchaguzi (kwa sababu wanajua kukiwa na tume huru za uchaguzi hawawezi kushinda uchaguzi), ndiyo maana hata zoezi la uchaguzi wanapenda liwe siri (ndiyo maana wanazuia wananchi wasishudie zoezi la kuhesabu kura, wanawataka wananchi wakipiga kura waondoke).

Wanajua uwezo wa kuongoza hawana. Uwezo wa sera za kuwavuta wananchi wawachague haupo. Uwezo wa kutatua changamoto kubwa za msingi hawana. Kwa sababu wanajua hawawezi kuchaguliwa na wananchi, hivyo ni aheri kuweka taratibu za kiinimacho ambazo zitazuia wananchi kufanya maamuzi. Yaani ni watu ambao wameamua kuwa wananchi mpende msipende, sisi tutawatawala tu.

Kwenye nchi zilizostaarabika, kiongozi anataka awe na uhakika kama wananchi wanataka awaongoze. Kuna wakati kule Italy Waziri mkuu alikuwa na uhusiano na kimada, kelele zikawa nyingi dhidi yake. Waziri Mkuu alikiri kuwa alikuwa ametenda kosa, akaitisha kura ya maoni ili ajue wangapi, hata baada ya kosa hilo, wanapenda aendelee kuwa Waziri Mkuu, huku akiwa tayari kujiuzulu. Tujiulize hapa kwetu, ukimwacha Mzee Mwinyi na Lowasa, hawa waliopo sasa ndani ya Serikali, nani ana uwezo wa kufanya hivyo?

Kule UK, mwaka 1974, nchi ilipoingia kwenye umeme wa mgao, wananchi waliiondoa Serikali ya Conservative madarakani, na Waziri mkuu Edward Heath aliachia madaraka kwa amani akikiri kuwa Serikali yake ilizembea hadi nchi kufikia kwenye mgao wa umeme.

Sisi hapa kwetu licha ya mgao wa umeme usio na mwisho, achilia mbali Rais, mliwahi kusikia hata mkurugenzi wa TANESCO au waziri wa Nishati amejiuzulu?
Japokuwa sijapata vizuri msimamo wako lakini serikali hii haifai kuendelea kama kweli tunataka kujenga taifa imara kiuchumi na shindani. Mifumo imelegea mno kwasasa, RUSHWA,ufisadi na ubadhirifu ndiyo umekuwa wimbo wa taifa. Miradi inajengwa chini ya kiwango,miradi mingi imesimama au inakwenda kwa kusuasua Sana. Ukweli ni kwamba Rais wa Sasa hakuzaliwa kuwa Rais imetokea tu. Uwezo wa akili ndogo na Hana Nia ya kujenga nchi zaidi anaweza vitu simple kama mikopo kwa akina mama. But no machinery brain for national transformation and transition. Wahuni wanapenda aendelee ndiyo maana wanachanga had hela ya form
 
Rafiki, dola haichukuliwi kirahisi namna hiyo. Yani hapo mnatamani CCM isuse muingie kilaini tu? Hakuna kitu kama hicho tusubiri 2030.
 
Uzi mzuri sana huu natamani kama watanzania wengi wangeuona sema ndio hivyo tunaona wachache tu tuliopo jf,,, hongera mkuu inaonesha wewe ni mzalendo na una uchungu na mapuuza yanayoendelea hapa nchi ya giza
 
Wanaoangusha serikali karibu mara zote huwa ni vigogo kwenye hiyo hiyo serikali. Serikali nzuri huanguka haraka kwa sababu hujali maslahi ya wananchi wengi na nchi kuliko ya vigogo hawa. Kiongozi mwenye busara, ili asianguke atahakikisha hawaudhi vigogo hawa wanaoweza kumuangusha. Atahakikisha anawapa marupurupu na anawaacha wale kwa urefu wa kamba zao. Akiwagusa tu au akitaka kuunda serikali "nzuri" ataangamia.

Ndiyo maana serikali za kidikteta au kifalme ni nzuri sana. Kiongozi mkuu hatishwi na vigogo wanaomzunguka. Na hata wakiwepo wa kumtisha basi huwa ni wachache sana hivyo anaweza kudeal nao, kwa kuwapa kichapo au kwa kuwahonga.
 
Japokuwa sijapata vizuri msimamo wako lakini serikali hii haifai kuendelea kama kweli tunataka kujenga taifa imara kiuchumi na shindani. Mifumo imelegea mno kwasasa, RUSHWA,ufisadi na ubadhirifu ndiyo umekuwa wimbo wa taifa. Miradi inajengwa chini ya kiwango,miradi mingi imesimama au inakwenda kwa kusuasua Sana. Ukweli ni kwamba Rais wa Sasa hakuzaliwa kuwa Rais imetokea tu. Uwezo wa akili ndogo na Hana Nia ya kujenga nchi zaidi anaweza vitu simple kama mikopo kwa akina mama. But no machinery brain for national transformation and transition. Wahuni wanapenda aendelee ndiyo maana wanachanga had hela ya form
Tulishasema huyu mama hakuna kitu.Rais ukiwa sio mfuatiliaji wa mambo msingi yanayoleta maendeleo ya nchi hufai kwa chochote zaidi ya kusifiwa na machawa tu.
 
Sisi tunaongozwa na watu waliogeuza siasa kuwa ajira na siyo utumishi kwa Wananchi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ni sahihi sana.

Tuna tatizo kubwa kabisa kwenye utawala. Viongozi wanachukulia uongozi ni ajira au biashara ya kuwaondoa kutoka kwenye umaskini wao binafsi. Ndiyo maana wanapigana kufa na kupona waendelee kubakia kwenye uongozi hata pale wanapokuwa hawana uwezo au mbinu zimewaishia.
 
Kimsingi, matatizo yetu mengi, kuanzia kutokuwa na umeme wa uhakika, barabara za chini ya kiwango, ufisadi kwenye miradi, utawala holela usiofuata misingi ya utawala bora, ukiukaji wa katiba na sheria unaofanywa na watawala, mpaka uchafu mwingine mwingi, kwa kiasi kikubwa, chanzo ni Serikali.

Dunaini kote mabadiliko hufanywa na watu, siyo mbuga za wanyama, siyo udongo, siyo madini wala maziwa. Ila watu wenye upeo, maarifa, uadilifu na wabunifu, ndiyo huzitumia rasilimali hizo kuleta maendeleo.

Lakini ni ukweli mtupu kuwa mwananchi mmoja mmoja, pamoja na kuwa na nafasi kubwa katika kuleta maendeleo, kuna sehemu kubwa ya Serikali inayoamua jitihada za huyo mwananchi zilete mafanikio au ziishie kwenye hasara tupu. Kwa mfano:

Mwananchi anaweza kujenga kiwanda, anaweza kuweka mifumo ya umwagiliaji, lakini kama hakuna umeme, atafanya nini ili asiishie kwenye hasara?

Mwananchi anaweza kuzalisha vizuri mazao ya shambani au bidhaa zake kiwandani, lakini kama mifumo ya kodi ipo hovyo, hakuna barabara nzuri za kusafirishia mizigo yake, mwananchi huyu atapiga vipi hatua za maendeleo?

Wanafunzi na wanavyuo wanaweza kufanya bidii sana ya kujifunza, wakahitimu masomo yao, wakawa wapo tayari kufanya kazi kwa bidii, lakini kama kutokana na sera mbovu za nchi, watu wanaogopa kuwekeza, hao wahitimu wataajiriwa wapi?

Utofauti mkubwa wa maendeleo kati ya nchi na nchi, unategemea sana utofauti wa aina ya serikali zilizopo katika mataifa. Mkiwa na Serikali duni iliyojaza viongozi na watendaji wa serikali wenye upeo duni, maarifa duni, uadilifu duni, uelewa duni, LAZIMA nchi hiyo iwe na uwekezaji duni, ajira duni, maisha duni, huduma duni, mifumo ya kodi duni, mifumo ya utawala duni, mifumo ya demokrasia duni, na maendeleo duni kwa ujumla.

Kinachokatisha tamaa zaidi ni ukweli kwamba ni rahisi sana kuiondoa Serikali nzuri yenye viongozi wazuri madarakani kuliko kuiondoa Serikali mbaya yenye viongozi duni madarakani.

Kiongozi mzuri, kelele tu za wananchi dhidi yake, zinatosha kumfanya ajiuzuru, lakini kiongozi mbaya yupo tayari hata kuua wanaomkosoa ili tu aendelee kuwepo madarakani. Serikali mbaya zenye viongozi wasio na maono wala uwezo wa kuyahakikishia maendeleo mataifa yao, hakuna chochote kikubwa wanachohangaika nacho isipokuwa kufikiria na kupanga mbinu mbaya na nzuri kuhakikisha kwa vyovyote wanabakia madarakani, iwe kwa amani au kwa upanga.

Ndiyo maana utaona Serikali za namna hiyo hujiwekea kinga za kutoshtakiwa watawala (kwa sababu wanajua kabisa kuwa watafanya uovu), hawapo tayari kuwa na tume huru za uchaguzi (kwa sababu wanajua kukiwa na tume huru za uchaguzi hawawezi kushinda uchaguzi), ndiyo maana hata zoezi la uchaguzi wanapenda liwe siri (ndiyo maana wanazuia wananchi wasishudie zoezi la kuhesabu kura, wanawataka wananchi wakipiga kura waondoke).

Wanajua uwezo wa kuongoza hawana. Uwezo wa sera za kuwavuta wananchi wawachague haupo. Uwezo wa kutatua changamoto kubwa za msingi hawana. Kwa sababu wanajua hawawezi kuchaguliwa na wananchi, hivyo ni aheri kuweka taratibu za kiinimacho ambazo zitazuia wananchi kufanya maamuzi. Yaani ni watu ambao wameamua kuwa wananchi mpende msipende, sisi tutawatawala tu.

Kwenye nchi zilizostaarabika, kiongozi anataka awe na uhakika kama wananchi wanataka awaongoze. Kuna wakati kule Italy Waziri mkuu alikuwa na uhusiano na kimada, kelele zikawa nyingi dhidi yake. Waziri Mkuu alikiri kuwa alikuwa ametenda kosa, akaitisha kura ya maoni ili ajue wangapi, hata baada ya kosa hilo, wanapenda aendelee kuwa Waziri Mkuu, huku akiwa tayari kujiuzulu. Tujiulize hapa kwetu, ukimwacha Mzee Mwinyi na Lowasa, hawa waliopo sasa ndani ya Serikali, nani ana uwezo wa kufanya hivyo?

Kule UK, mwaka 1974, nchi ilipoingia kwenye umeme wa mgao, wananchi waliiondoa Serikali ya Conservative madarakani, na Waziri mkuu Edward Heath aliachia madaraka kwa amani akikiri kuwa Serikali yake ilizembea hadi nchi kufikia kwenye mgao wa umeme.

Sisi hapa kwetu licha ya mgao wa umeme usio na mwisho, achilia mbali Rais, mliwahi kusikia hata mkurugenzi wa TANESCO au waziri wa Nishati amejiuzulu?
Inafikirisha sana !!
 
Wanaoangusha serikali karibu mara zote huwa ni vigogo kwenye hiyo hiyo serikali. Serikali nzuri huanguka haraka kwa sababu hujali maslahi ya wananchi wengi na nchi kuliko ya vigogo hawa. Kiongozi mwenye busara, ili asianguke atahakikisha hawaudhi vigogo hawa wanaoweza kumuangusha. Atahakikisha anawapa marupurupu na anawaacha wale kwa urefu wa kamba zao. Akiwagusa tu au akitaka kuunda serikali "nzuri" ataangamia.

Ndiyo maana serikali za kidikteta au kifalme ni nzuri sana. Kiongozi mkuu hatishwi na vigogo wanaomzunguka. Na hata wakiwepo wa kumtisha basi huwa ni wachache sana hivyo anaweza kudeal nao, kwa kuwapa kichapo au kwa kuwahonga.
Paragraph ya mwisho inafikirisha sana !!
 
Back
Top Bottom