senator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 1,924
- 66
Kama ni kwa manabii hawa wanaojiita hivi sasa nakubaliana nae kabisa ila wale wa kwenye maandiko matakatifu (Biblia)..Isaya..Elia kwa imani yangu ni manabii kweli hakukuwa na uwongo kwenye kauli na maono yaoHilo la Manabii kuwa ni waongo, linahitaji ufafanuzi nadhani.....