Duka la dawa DLDM

Vigezo vya kumiliki DLDM ni vipi?.

Mtaji wa kuanzia inatakiwa iwe kiasi gani?

Ahsante.
vigezo
1. unatakiwa uwe na leseni ya dispenser au pharma assistant.

2. kufata kanuni na vigezo vya baraza la famasi. baadhi ya kanuni hizo ni umbali wa kati ya dldm moja na nyingine, dizain ya chumba na ukubwa wa chumba cha hiyo dldm n.k

3. vibali vya ruhusa na usajili wa dldm yako kutoka kwa baraza la famasi

4. kama wew (mmiliki) hauna ujuzi au haujasomea taaluma ya madawa basi utahitaji mtoa huduma ya madawa kwenye dldm yako, ambapo anatakiwa kuwa na ngazi ya cheti au diploma lakin kwa mara nyingi ngazi ya cheti ndio wanakuwepo sana kwenye dldm

5. mtaji unapiashana kutokana na sababu chache lakin kwa makadilio angalau millioni 5 inaweza kufanaa kwa kuanzia
 
Shukrani, ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom