........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

Pamoja na kwamba siyo lazima niwe nakubaliana na kila alichosema Martina, sikubaliani na ulichosema wewe ndugu hapo juu.
Wife material maana yake nini? Je ni mwanamke asiyethubutu kuweka wazi ukweli wa kilicho moyoni mwake?Hivi mnadhani alichothubutu kukisema Marytina ni kitu cha ajabu ambacho hakimo kwa hao wife material mnaodhania?Kama wanaume mna matamanio, nani alikudanganya kuwa wanawake hawana matamanio? Kutamani ni kitu kingine na kufanyia "kweli" matamanio ni kitu kingine.Pia WIFEY MATERIAL IS A PHALLASY!

NATAMANI NIWAAMBIE HATA MAMA ZAO walishakutana na hali kama yangu sema tu wanaogopa hawa wakaka wa JF
 
I know......nakuelewa.....but kuhama sio solution kwa sababu utatamani hata siku moja ukutane nae......we kuwa rafiki wake......kwani nini bana.....hata ukinanihiii......

Ukizingatia haondoki nayo wala hamna shida!
 
Duuu! Bob umenikumbusha tukio la long timez ....... kipindi hicho nilikuwa na mdada flani ambaye aliachana na mpenzi wake baada ya kumfumania na demu mwingine.....tukaanza urafiki wa kimapenzi one day to my supprise aliniaga anakwenda club na marafiki zake but huko akakutana na huyo x wake baada ya hapo wakaenda lala wote.kesho yake mchizi wangu flani akaniambia jana kamuona shemeji club na jamaa. nilipombana demu kaniambia amekutana naye club akashindwa kujizuia xo anaomba msamaha cuz kafanya nae mara moja tuuu na hatarudia tena.....
MIMI jamaa yangu hatojua kuwa nimemwibia njee
nitajitahidi sana kuficha in case
 
macho yanacheka moyo unaliiia macho yanacheeeka moyo unalia!
nikimkumbuka wangu maridhawaaaaah nikumkumbuuka wangu maridhawa!
mwili wamtakaaaaaa moyo unaliiiaa mwili wamtaka!
nshindwa mwambia nashondwa mwambiaaaaaaaaa nashindwa mwambia mimi nashindwa mwambia!
japo anishike japo anishiiiikeeee japo anishiiike japo anishike!
mwenyewe hajui mwenyewe hajuuuuuiiii mwenyewe hajui!
sitaki mwambia sitaki mwambiaaaaaa mie naogoooooopa sitaki mwambia!
halula!
 
Mhmh wewe acha kutuzingua bana.....huyo mchumba uliekuwa nae si yule mmasai wako uliyemsifia anakukuna vizuri....Toka ujiunge humu Jf January 2011 unajisifia tu una mchumba una mchumba...ni uchumba gani mnakaaa miaka 3 au 5? wakati mtu umri wako umeshakwenda saa 12 jioni huko!

Wewe gawa tu huo mzigo kwa kila mtu maana inaonekana ndio kawaida yako...na kwa jinsi ninavyokuona siku hizi hapa ofisini mhmhm umekuwa hutuliii kabisaa kujishaua shaua....kumbe huyu jamaa ndio anakuzingua...ok ngoja nimwelekeze namna ya kukupata kiurahisi maana si unajua kuwa mimi nazijua weakness zako!

wait you will see its impact soon baada ya jamaa kula mzigo...!
kuna ubaya gani kuwa na mchumba kwa miaka mitatu???
mimi ni binadam ulitegemea nifanye na wanyama pori????????
 
Marytina, ukiona manyoya jua ameliwa. Umeliwa dada yangu na kwa jinsi ulivyoeleza huyo jamaa ni professional fisimaji tehe tehe.
 
Last edited by a moderator:
shosti!!!!!unazidi kunichanganya kwani staki kwa akili na moyo wangu kulala naye ila mwili unatamani sana.je akili haitanihukumu nikishalala naye???mwili hadi ngozi na rangi vimefubaa kisa hamu ya kumlala huyu kaka sasa hapo sjui which is which???????????????????
ndo mana nikakwambia uko curious juu yake sasa ili kukata hiyo kiu ,kamata sprite then afterwards utaona kama kiu bado ipo ama vp,bt kumbuka kuplay safe.....jaman ni mawazo2
 
NATAMANI NIWAAMBIE HATA MAMA ZAO walishakutana na hali kama yangu sema tu wanaogopa hawa wakaka wa JF

Waeleze tu Marytina
Tena waambie kuwa ingelikua kuna jinsi ya kufungua moyo wa mtu na kuusoma, basi wangefungua mioyo ya dada, wake, mama, na binti zao, wangezirai kama siyo kukata roho.
 
kweli dear!!!
muhim ni kujihakikishia inakuwa siri tena sana

nampa mara mmoja then namlia mikausho hamna atakayeamini

Asipokukuna vzr ndio uumpe mikausho ,but akikupa ile kitu roho nataka nyie endeleeni tu kwa raha zenu,ukizingatia kwa mmasai hauna uhakika kama upo mwenyewe ya nini kujivunga bana!
 
Pole mamii, halii hii huwa inatokea sana, but pambana mamangu usije ukajikuta unaingia katika kishawishi cha kutoa penzi ukamsaliti Mmasai bure

shosti!!!!!
unazidi kunichanganya kwani staki kwa akili na moyo wangu kulala naye ila mwili unatamani sana.
je akili haitanihukumu nikishalala naye???

mwili hadi ngozi na rangi vimefubaa kisa hamu ya kumlala huyu kaka sasa hapo sjui which is which???????????????????
 
Jamani, mbona ndo mnaanza kumjaza upepo Marytina wa watu, ataanguka kweli

Asipokukuna vzr ndio uumpe mikausho ,but akikupa ile kitu roho nataka nyie endeleeni tu kwa raha zenu,ukizingatia kwa mmasai hauna uhakika kama upo mwenyewe ya nini kujivunga bana!
 
Marytina, ukiona manyoya jua ameliwa. Umeliwa dada yangu na kwa jinsi ulivyoeleza huyo jamaa ni professional fisimaji tehe tehe.

kweli limeshaliwa from siku ya kwanza nilipojua yupo kwenye jengo letu,

nataman ofisi yao iondelewe mara mmoja manake sina namna ya kukataa
 
Marytina umerudi nilikumiss sana
Naona mahusiano yako na mchumba yanaelekea ukingoni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom