........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,232
7,043
arusha, baba mngoni, mama mchagga

.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila

kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo

Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.

Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.

Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU

NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.

MOYO NA AKILI VIMENIKATAZA KUMKARIBIA HUYU MKAKA ila MWILI unamtamani sana hadi ngozi imebadilika na kuwa rafu pia rangi imenifubaa gafla kwa kumtaka kila napomkumbuka
 
usione soo sema nae
mmasai vipi?

mmasai yupo na katu saiachani naye

huyu mkaka mpya namtanan kupindukia ila natafuta namna ya mwili wangu kuridhika bila ya kutembea naye

naomba mungu asinitongoze manake sjui ntaanzaanzaje kumkatalia
 
duh kumbe haya mambo bado yapo!!

hujanielewa
ni kwamba nampenda mchumba wangu na namwitaji maishani ila huyu mkaka wa floor ya tano ni mzuri sana na mwili wangu unataman sana kukumbatiwa naye japo kidogo.

simaanishi nataka kumwacha mmasai NO!

mfano live ni hivi:SIUZI NYUMBA HATA KWA MILIONI 100, akitokea mtu akakupa milioni 200 hutauza tena bila kumshirikisha yeyote?
 
mmasai yupo na katu saiachani naye

huyu mkaka mpya namtanan kupindukia ila natafuta namna ya mwili wangu kuridhika bila ya kutembea naye

naomba mungu asinitongoze manake sjui ntaanzaanzaje kumkatalia

anza kuwa rafiki nae kwanza....unaweza kuta sio wa hivyo unavyomdhania......ila kama ndio hivyo yupo.....why not bana....you live only once you know.......:wave:
 
Kwa maelezeko yako mama hujatulia. Subiri utaona faida ya kupenda mwanaume kwa vigezo vya upole, sura na weupe.
 
Poole wewee poleee!!!Najiridhisha kuwa wewe siyo wife material.Kama unaniasi hata kabla ya pingu za maisha.Je ukiwa ndani ya ndoa itakuwajee.Huuuuuuuuuuufai tena nasema hufai,Itika kilichoko moyoni mwako.Mwisho wa siku utajuta kwann ulikuwa mwanamke..................:shut-mouth:
 
arusha, baba mngoni, mama mchagga

.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila

kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo

Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.

Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.

Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU

NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.

That is the true LOVE.
Usijibanie
 
duh kumbe haya mambo bado yapo!!

mmmh!!!!Kutamani kupo ila lazma ujiulize...!!!Ameoa/ana girlfrend???una mchumba si ndio?ukigundua mchumba wako anakucheat utajiskiaje?,ikitokea ukampa namba na ukacheat will you live na hiyo guilty consiouss??maana unaweza ukafanikisha unachotaka thn ikaharibu kote uko tayari kwa hilo???maana mtaka yote hukosa yote mwisho wa siku...!!!hiyo ulonayo ni infatuation with time itapita just control it...!!!!
 
anza kuwa rafiki nae kwanza....unaweza kuta sio wa hivyo unavyomdhania......ila kama ndio hivyo yupo.....why not bana....you live only once you know.......:wave:

staki ukaribu naye hata kidogo manake mwisho wa siku nitamvulia tuu.

natakaiwe mbali naye na tena hata kuhama branch kama ingewezekana.

Dear! huyu mkaka ni unique
nimekumiss sana Preta nataman ungekuja kulala kwangu tupige stori usiku kucha
 
mmasai yupo na katu saiachani naye

huyu mkaka mpya namtanan kupindukia ila natafuta namna ya mwili wangu kuridhika bila ya kutembea naye

naomba mungu asinitongoze manake sjui ntaanzaanzaje kumkatalia
Pepo la ngono linakutesa, amua moja kuwa na mmasai wako au huyo mrembo wa kiume. Inavyoonekana kampeni za Tulizana, Tuko wangapi ni misamiati mipya kwako.
 
arusha, baba mngoni, mama mchagga

.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila

kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo

Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.

Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.

Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU

NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.

Do what your heart tells you to do!!!!!!
 
Poole wewee poleee!!!Najiridhisha kuwa wewe siyo wife material.Kama unaniasi hata kabla ya pingu za maisha.Je ukiwa ndani ya ndoa itakuwajee.Huuuuuuuuuuufai tena nasema hufai,Itika kilichoko moyoni mwako.Mwisho wa siku utajuta kwann ulikuwa mwanamke..................:shut-mouth:

mimi ni wife material saaaaaaaaaaana na tena sjawahi toka njee ila huyu ndugu yenu ni mzuri sana

nahisi kuchanganyikiwa ila naweka mikakati kuhakikisha namba yangu haipati manake akiipata tu NIMEISHA

NINA MCHUMBA NAMPENDA NA NAMWESHIMU sema tamaa ya mwili kwa huyu mkaka ndiyo nayopambana nayo
 
wala!!!!!!!!!
ni uzuri tu wa huyu mkaka

mbona nyie mnatamanigi wadada wazuri???na mimi nina haki ya kutamani
Inavyoonekana wewe nitofauti na wadada wenzako, bila shaka vichocheo vingi mwilini mwako ni vya kiume, na ndio maana ukatamani kulala hata na Preta japo usiku mmoja.
Wanaume huendeshwa kwa tamaa ya macho, wanawake wenzako hawapelekeshwi kwa muonekano bali mguso na mambo mengine ya ndani zaidi.
Kama uko siriasi na hiki ulichokisema wewe si wa kawaida unahitaji msaada mkubwa wa kiroho la sivyo utajikuta umekosa yote na ukaambulia kuingia mtaani kwa masharobaro wanaojua kupaka poda.
 
mimi ni wife material saaaaaaaaaaana na tena sjawahi toka njee ila huyu ndugu yenu ni mzuri sana

nahisi kuchanganyikiwa ila naweka mikakati kuhakikisha namba yangu haipati manake akiipata tu NIMEISHA

NINA MCHUMBA NAMPENDA NA NAMWESHIMU sema tamaa ya mwili kwa huyu mkaka ndiyo nayopambana nayo

Nadhani unatakiwa kutofautisha kati ya upendo wa dhati/true love na tamaa ya mwili/desire. Now which one is leading you? Kama ni upendo wa dhati its okay but kama ni tamaa ya mwili tu huwa inaisha with time. True love stays and never changes with time but desire huwa inabadilika with time. Be careful!!!!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom