Duh mapozi mengine bwana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Picture1.jpg
 
kWANI HILO NA POZI???? AU NI UGONJWA JAMANI???......
MIMI NAFIKIRI HUO NI UGONJWA ....
 
Mfunyukuzi naona ufunyukuzi wako umezidi, umeanza hata kuwadhalilisha watu wenye matatizo kwanye JF? imagine ungeumbwa wewe kama huyu jamaa, ingekuwaje. chunga sana, mwombe mungu aliyekujalia sura na afya nzuri.
 
ivi wewe una tatizo gani? hivi hapo unona ona huyo jama ana ulemavu kweli? nahisi wewe una penda sana kuinvolve kila kitu kuwa ni MUNGU... Think outside the box kidogo...
 
Fukunyuzi sasa unapitiliza. weka photo inayofanana na caption. Picha hii ungeweza kuilezea kwa kuonyesha watu wengine ambao hawakubahatika kama wewe lakini kwa hili halijakaa vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom