Duh! Kweli M4C ina safari ndefu

Hao ndugu zetu, akili zao zimesha pumbazwa kwa kupewa Kanga, Kofia, t-shet za kijani na Njano na wamepikiwa Pilau la Nyama, posho za elf 5,000 na pombe haramu ya gongo, hivyo huwezi kuwaeleza kitu chochote kuhusu CCM. Wanahitaji somo la uraia kubadilisha akili zao, i hope M4C itawafikia na taaratibu wataanza kufunguka.
 
Afu kimaisha wako duni....... sijui ni kitu gani kinawafanya waridhike na uduni wa misha hivyo? Ama kweli ujinga ni maradhi!
 
Mi sishangai hata huku kwetu wapo, ila wanafanya mazoezi kwa kujificha na hata kama kuna wageni wamekuja utawaona wanaimba lakini hawana raha kabisa kama zamani, unawaona kabisa hawana matumaini tena na t'shirt na kofia na khanga.
 
Vitu vingine vinachekesha sana haaaaah, yaaani niliposikia huomwimbo nimeamini Dodoma bado ipo ujimani.
 
Nimecheka mpaka basi manake wanataja vyama halafu wanaunganisha na kikabila chao.Ahh njaaa safi sana manake hapo hawajui hata kama wanarekodiwa wanawaza kanga na kofia
 
Mi sishangai hata huku kwetu wapo, ila wanafanya mazoezi kwa kujificha na hata kama kuna wageni wamekuja utawaona wanaimba lakini hawana raha kabisa kama zamani, unawaona kabisa hawana matumaini tena na t'shirt na kofia na khanga.
Wapi huko mkuu?
 
Nimecheka mpaka basi manake wanataja vyama halafu wanaunganisha na kikabila chao.Ahh njaaa safi sana manake hapo hawajui hata kama wanarekodiwa wanawaza kanga na kofia
Kama mziki tu nawasifu, ila hiyo manti, laa! Unaweza ukalia. Yaani hili dubwasha linavyoboa hivyo afu wanasema..... Afanaleki walahi!
 
Kwani lazima tuondoke nao wote? Wengine watatufuata tukishafika. Hata bwana Yesu alipokuja kuwaokoa aliwaacha wengi bado wagumu wa mioyo yao na wengine waliokoka palepale msalabani kama yule aliyesulubiwa naye
 
Sasa mbona unamwaga chozi tena, unawaonea huruma? Ha ha ha haaa!
 
Kwani lazima tuondoke nao wote? Wengine watatufuata tukishafika. Hata bwana Yesu alipokuja kuwaokoa aliwaacha wengi bado wagumu wa mioyo yao na wengine waliokoka palepale msalabani kama yule aliyesulubiwa naye
Kweli hali ilivyo hawa watabaki tu Maana mchuma umeshakamata kasi huo. Hadi Mtwara kwa wagumu.
 
Back
Top Bottom