vita si mchezo,omba uvione hivyo hivyo kwenye tv na uvisikie kwenye radio siku vikifumuka utajua kuwa film za hollywood na risasi za ukweli ni tofauti!!!
Tatizo ni kwamba wanaofanya maamuzi ya kuingia vitani au la mara nyingi ni wanasiasa na sio wapiganaji, laiti ingekuwa ni wapiganaji dunia ingekuwa na vita chache sana!
Askari wengi wanao pigana vitani hawanufaiki kwa wanachokipigania, wanadangaywa kuwa wanapigania nchi yao wakombozi, wanamapinduzi, lakini baadaye hawanufaiki na ukombozi wala mapinduzi husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.