Na kibaya zaidi wazee wenyewe wa kiswahili hawa...wazee wa ghahawa,wazee ambao kwao elimu dunia mwiko,wao kila kitu wanapiga makofi tu
WAZEE WA DARESSALAAAAMU
Mi ngoja nijiandae kwenda mkesha wa maombi kanisani kwa ajili ya maandamano,polisi wote waweke silaha chini.
mwacheni huyo ndiye laisi wenu
hv nyie mmesikiliza kweli hutuba kama hujasikiliza haina haja ya kuchangia tuache ushabiki jamaa speech yake imejitosheleza kaongelea vyote muhimu
si ndio hata mimi nashangaa, huu moyo wa watu kumsikiliza unatoka wapi? tatizo lipo kwa wananchi, yaani huyu hakustahiri kuwa na mtu anaemuunga mkono mpaka mida hii, jamani hivi ina maana watanzania ndio wavumilivu sana wa matatizo au matatizo hayajafika pabaya zaidi au ni wajinga...maana nashindwa kuelewa, serikali mbovu namna hii lakini bado tu mnaishobokea.......anyway wanasema kuna demokrasia, endeleeni kwa kweli wenye huo moyo mimi siwezi, naona nitapasuka kwa hasira nikimuona kwenye screen.
mkuu, samahani lakini kauli yako hii juu ya wazee ni kukosa adabu we ulitegemea
nini kwa wazee kama wale ambao umri wao umesinzia? Kwanini na wao wasisinzie?
Si vizuri kuwakosea adabu wazee kiasi hicho, hebu tuwaheshimu wazee wetu!
pembeni valuer ya bariiidi..
hv nyie mmesikiliza kweli hutuba kama hujasikiliza haina haja ya kuchangia tuache ushabiki jamaa speech yake imejitosheleza kaongelea vyote muhimu
............... Ni Wazee wa mji gani ambao wan hiyo elimu Dunia !??Na kibaya zaidi wazee wenyewe wa kiswahili hawa...wazee wa ghahawa,wazee ambao kwao elimu dunia mwiko,wao kila kitu wanapiga makofi tu
WAZEE WA DARESSALAAAAMU
Hivi wanao mchemsho wa samaki pale Simba kapakatwa?maeneo ya simba kapakatwa ndio mazuri zaidi..