Elections 2010 Duh, CCM wanachakachua hadi picha za Kampeni - kweli tapeli ni tapeli tu !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
41267_106506546075800_100001493652256_58874_3840314_n.jpg

CCM Meeting KILOSA-MOROGORO: !

Na kutoka Michuzi blog !

Umati mkubwa uliojitokeza kumsikiliza JK leo
alipokuwa akiwahutubia wana CCM wa Musoma !

Jamani tumeingiliwa, tuwe tunazitazama hizi picha kwa makini. Watachakachua wee lakini mwisho wa safari wataanguka pua. Wanaoongoza kwa hili ni Daily News, Habari leo na TBC1 hawako nyuma !

Ndiyo zao...niliona mkutano wa juzi alijaza wanafunzi hata kama angejaza watu, tujiulize hivi ni watanzania wangapi wanapenda mziki na hawana nafasi ya kuwaona wasaani live je vipi leo wakigundua kuna nafasi ya kuwaona bure...
 
hahahaaaaaaaaa.....Jomba umegundua kituko hicho!
Hapo mchakacHuaji mkuu ni FMES!
 
Nahisi huo mkutano ni wa dar es salaam.
Mkuu hebu tubandikie hapa picha nyinginez LOL.
inabidi hii ishu iende public ili watu wajue na waelimike wasidanganyike zaidi
 
Ndiyo zao...niliona mkutano wa juzi alijaza wanafunzi hata kama angejaza watu, tujiulize hivi ni watanzania wangapi wanapenda mziki na hawana nafasi ya kuwaona wasaani live je vipi leo wakigundua kuna nafasi ya kuwaona bure...

Ha ha ha Halafu walisikia Rais wao Alianguka Dar, sasa na wao wameenda kujaribu bahati ya kuona Rais Akianguka
 
View attachment 14300

CCM Meeting KILOSA-MOROGORO: !

Na kutoka Michuzi blog !
View attachment 14300

Umati mkubwa uliojitokeza kumsikiliza JK leo
alipokuwa akiwahutubia wana CCM wa Musoma !

Jamani tumeingiliwa, tuwe tunazitazama hizi picha kwa makini. Watachakachua wee lakini mwisho wa safari wataanguka pua. Wanaoongoza kwa hili ni Daily News, Habari leo na TBC1 hawako nyuma !

Mag3, siijui profession yako ila una kipaji cha observation eye. Hongera. Ila pia nimefurahi kujua kumbe zimechakachuliwa, na aliyetulea huo mchakachuo humu jukwaani si mwingine bali ni mwenzetu, mkuu sana, baada ya yale maumivu ya kura ya maoni, kaibuka kwa staili ya kutundika haya mapicha ya kuchakachua ikijifariji CCM inapendwa kihivyo!.

Hatudanganyiki!.
 
shame, wameshindwa hata kuziadobelize,,,,,

View attachment 14300

CCM Meeting KILOSA-MOROGORO: !

Na kutoka Michuzi blog !
View attachment 14300

Umati mkubwa uliojitokeza kumsikiliza JK leo
alipokuwa akiwahutubia wana CCM wa Musoma !

Jamani tumeingiliwa, tuwe tunazitazama hizi picha kwa makini. Watachakachua wee lakini mwisho wa safari wataanguka pua. Wanaoongoza kwa hili ni Daily News, Habari leo na TBC1 hawako nyuma !

Wenye akili timamu wanazungumzia "strategy" siyo picha za kujaza watu na online polls zisizokuwa na security features zozote za kuzuia multiple voting. Lakini looks like wenye akili timamu wako wachache kwenye ukumbi huu ndiyo maana wanaishia kujadili picha. Sasa matokeo ya uchaguzi yakitoka hapo ndipo watakapojua kuwa kujisifia pekee na kujaza mabandiko kwenye JF haisadii katika kuleta ushindi kwenye uchaguzi.
 
Hapo kwenye red. Nakubaliana na wewe kabisa. Naamini ni wewe tu mwenye akili timamu ukumbi wote huu. Pumbavu.
 
View attachment 14300

CCM Meeting KILOSA-MOROGORO: !

Na kutoka Michuzi blog !
View attachment 14300

Umati mkubwa uliojitokeza kumsikiliza JK leo
alipokuwa akiwahutubia wana CCM wa Musoma !

Jamani tumeingiliwa, tuwe tunazitazama hizi picha kwa makini. Watachakachua wee lakini mwisho wa safari wataanguka pua. Wanaoongoza kwa hili ni Daily News, Habari leo na TBC1 hawako nyuma !

Bwa ha ha ha

Nimecheka hadi nasikia maumivu.
 
Kumbe FMES alibwagwa!!!!
Ndo maana alipotea humu...

Hatuangalii sura wala nini jamaa hawana mvuto tena! Slaa kiboko yao tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom