Dua za Mh: Lema Mungu aliyejuu amezisikia!!

Watanzania wanataka mabadiliko,wasipoyapata ndani ya c.c.m watayapata nje ya c.c.m- Mwl J.K.Nyerere 1995 - Dodoma
 
"Ndugu zangu wana wa Arusha, serikali ya ccm imewapora mbunge wenu kwa kuitumia mahakama! huu ni uhuni na ni dhambi kubwa! Haiwezekani haki ya watu zaidi ya elfu 56 kuporwa na watu wachache eti kwa kuwa tuliwapa madaraka na sasa wanayatumia kuwadhulumu ninyi! kwa matakwa yao ya kifisadi"

"Msiogope ninyi mlio wengi kwani mimi mmoja mtanikatisha tamaa! Vumilieni twendeni tukafunge siku saba, na siku ya nane tukatoe sadaka kwa watu masikini, wajane na mayatima nina uhakika Mungu atatujibia!"

"Wao wana pesa na madaraka sisi tuna MUNGU"

Says by Mh: Lema at NMC- Unga LTD on 07.04.2012

Mungu wa Ibrahimu, Isack na Yakobo akaonyeshe njia na haki ikatendeke
 
Wanajamii tunakumbuka Mbunge Wa Arusha mjini G. Lema alisema atafunga kwa siku saba na akaomba yeyote ataejisikia aungane nae kwenye mfungo kupinga udhalimu na wawajibishwe na Mungu maana serilaki ya ccm imewashindwa kuwawajibisha mpaka inaigilia mahakama. Yanayotokea ccm viongozi mbalimbali na wanachama kuhamia chadema na yanayotokea bungeni kwa mawaziri kwa mtazamo wangu ni jibu tosha kwa maombi ya Mh. Lema
 
huu ni mwanzo tu tutaona miujiza mingi tu kutokana mfungo wa cku 7 wa mh.Lema.
 
Dua zetu zinawatoa moshi masikioni utafikiri wamevuta shisha!
 
Umefunga nini, na majibu uluyoyaona ni yapi?

Andika kama mtu aliyefunga na kuomba basi... clear message!!! sio kama mtu aliyelamba bange na kidumu ya mbege
Kwan hii thread ina upungufu gani,?
Ni kwamba wewe sio mfuatiliaji wa mambo,, hiyo speach aliitoa kweli hon. LEMA.
Na mwenye macho haambiwi tazama; Niambie kwamba ni kwa mara ya ngapi kikwete anadhihirisha kushindwa kazi yake?? kuteua tena mawaziri maana yake ni nini??/
Mungu amejibu maombi yetu; anguko kubwa la CCM linakuja.
 
Ni kwa nini mtu anapomtaja mungu hapa mnaanza kumuona mbaya???
Ninyi magamba mnaamini kwa nani hasa????
Oooooh; mara mlevi,,,
oooh; kavuta bangi,,,
kisa; kataja jina la mungu.
 
Kwan hii thread ina upungufu gani,?
Ni kwamba wewe sio mfuatiliaji wa mambo,, hiyo speach aliitoa kweli hon. LEMA.
Na mwenye macho haambiwi tazama; Niambie kwamba ni kwa mara ya ngapi kikwete anadhihirisha kushindwa kazi yake?? kuteua tena mawaziri maana yake ni nini??/
Mungu amejibu maombi yetu; anguko kubwa la CCM linakuja.

Kaka watu wengine hawana hoja! hawa ndiyo wale ambao hawajui na wala hawatambui kama hawajui "Ni bonge la pono"
 
Back
Top Bottom