DTB sasa kuitwa Singida Big Stars

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,491
29,210
Screenshot_20220530-130309_Lite.jpg
 
Ilikuwa wazi tokea ikisajiri usajiri uliosajiri sajiri kubwa kuwa kutokea katika daraja la kwanza(Premea el' cadelà)
 
Kuna uhusiano gani kati ya Singida united, DTB na Singida stars?
 
Ulishajitengenezea mazingira mengi ya kupuuzwa
Ningepuuzwa ningekuwa nafuatiliwa mno JamiiForums ( nawe ukiwemo kama hivi ) huku idadi ya 'Followers' wangu ikiwa inaongezeka tu?

Haya na hili nililolileta hapa JamiiForums mwezi March kuhusu DTB FC kuhamia Mkoani Singida na kuwa ni Timu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba leo halijatimia?

Juha ( Nut ) na Mnafiki Mkubwa Wewe.
 
Timu ya DTB imebadili jina na sasa itajulikana kama Singida Big Stars FC.

Nafikiri sasa wale waliokuwa wana wasiwasi juu ya nani ni mmiliki wa timu hii mtakuwa mshapata majibu.

Singida Big Stars oyeeeeeee!

9F1C75FC-CD43-4F6C-A795-EA8223D99A39.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom