Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,042
- 10,581
fanya chapchap ndg
Kumbe hadi cnn international inapatakana itabidi nijiunge
Kumbe hadi cnn international inapatakana itabidi nijiunge
Naona sasa hivi hata chanel za superspot 10,9 na 7 kwenye kifurushi cha 19,900/- wamezitoa,hawa jamaa ukishaingia nao tu mkataba wanaanza mbwembwe...Kwa watumiaji wa Dstv tunapata tabu sana kwenye upande wa local news. Inashangaza Dstv kuna channel 7 za local news za kenya KBCTV, NTV, KTN, Citizen TV, KTN News, K24 na kisomali ya Kenya STN TV, hizi zote zinaonesha local news za Kenya ila Tanzania mnatuwekea TBC1 peke yake. Hayo mazagazaga mengine mliyotuzuga nayo sijui Wasafi, Cloudplus, TVe, Safari TV, hayana tofauti na machannel ya YouTube au online streaming ni utopolo.
Tunaomba mtuheshimu subscribers wenu turudishieni local channel zinazoeleweka ITV, Channel 10, Star TV, Clouds TV, EATV, Capital TV.
Tumechoka huu upuuzi tutahamia Azam na Startimes kama kama mtaendelea na hizi hujuma zenu Dstv.
Uko sahihi kabisa,waliamua FTA ibakia TBC pek yake...Unajua FTA channels ni za free hazitakiwi kulipiwa kwakuwa ziko free kwa yeyoye mwenye dishi kubwa zamani ilikua ukiwa na antennae yako ya mwiba unaipata. Sasa Dstv walikua wanaziweka izo ITV nk, lakini ukimaliza muda wako wa kulipia huzioni hata hizo FTA channel mpaka ulipie upya. Nakumbuka startimes wao kifurushi chako kikiisha channel zingine zinaondoka ila zinabaki za FTA kama ITV, star tv nk. Ila dstv wao kifurushi kikiisha wanakata zote. Tcra wakawalima fine kwakuwa wanawalazimisha wateja kulipia hadi kuoma channel za FTA ambazo zipo kwenye vifurushi vyao kwenye vingamuzi walivyowauzia. Sasa dstv wakaona kuliko wawaachie wateja waendelee kuona channels za FTA hata kama vifurushi vimeisha ngoja waviondoe kabisa kwenye package zao.
unajiungaje?fanya chapchap ndg
unajiungaje?
Yani naweza hata kutumia king'amuzi cha Azam?Unanunua dish kubwa na king'amuzi cha FTA basi umemaliza. Unamsaka fundi madish anakufungia
Yani naweza hata kutumia king'amuzi cha Azam?
Nyumba gani iyo inakataza madishi?
Acheni kulete siasa kwenye mambo yasiyo hitaji siasa. Uwezi kata driving licence class b alafu ukataka uendesha Gari ya mizigo kwa vile unaweza kuendesha gari kubwa.Usiwalaumu DStv ilaumu serikali yako.
Ndo iliyowazuia DStv kwa madhumuni maalum ambayo sasa hv yanakutafuna.
Saa ya "UKOMBOZI NI SASA" slogan ya famous late Christopher Mtikila
na kwa sasa ni "UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU" ukifuata haya hizo missing channels utaziona vinginevyo sahau.
Acheni kulete siasa kwenye mambo yasiyo hitaji siasa. Uwezi kata driving licence class b alafu ukataka uendesha Gari ya mizigo kwa vile unaweza kuendesha gari kubwa.
DSTV leseni yake hairuhusu kuonyesha channel za ndani zaid ya channel zinazomilikiwa na jamhuri tu. Na haimzui kukata lesen itakayo mruhusu kuonyesha channel za ndani (free to air channel) bali ni ukaidi wake aligoma kuzionesha bure nao waka mwambia azitoe.
DSTV leseni yake hairuhusu kuonyesha channel za ndani zaid ya channel zinazomilikiwa na jamhuri tu. Na haimzui kukata lesen itakayo mruhusu kuonyesha channel za ndani (free to air channel) bali ni ukaidi wake aligoma kuzionesha bure nao waka mwambia azitoe.
AhaaaaWenye nchi yao walitaka ionekane TBCCCM tu ili mtukufu wa Magogoni atambe mwanzo mwisho ,kuuziwa /kulipia local Chanel ni wizi kama wizi mwingine.
Hizo sio FTA ndio maana unaziona zimo.Kama leseni haimruhusu kurusha channel za ndani mbona kaweka wasafi, clouds plus na tve? Ambazo siyo za jamhuri? Au ni FTA tu ndo haruhusiwi? Tunachanganyana
DSTV aligoma kuzionesha channel za FTA bure ndio maana unaona hazimo kwenye package yakeNani alikubali kuzionesha bure?