Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

Every who streches a skin on drum, pulls the skin own his own side, unategemea mtu kama wewe ulivyokuwa mateka wa Mbowe utasemaje?
aisee! hii imenivunja mbavu....! you made my day bro! Samwel Sitta alikosea aliposema vijana wa tanzania wanawaza fiesta....alitakiwa aseme baadhi ya vijana wa tanzania wanawaza madrassa tu! hahahahah...tehe ..!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Kama huna la kuchangia bora ukaacha kuliko kupotezea watu muda kusoma upupu wako. Tujaribu kuwa tunajikita kwenye maada, siyo kuandika kila kinachokujia kichwani hata kama hakihusiki.
 
Unakumbuka jana nilikuambia nini kuhusu kingereza chako,
haya ni matokeo ya kutumia dictionary kutafsiri maneno huku grammar ukisahau.

yaani huyu jamaa ni kichefuchefu .... akiandika kiswahili au kiingereza
 
Narudia tena! Every who streches a skin drum, pulls the skin own his own side: Tafsiri kila mwamba ngoma, ngozi huivutia kwake.
CDM-Kata-Jf, bana wote kumbe upande wa lugha ya kingereza ni jangaa la kitaifa
 
Everyone who streches a skin on a drum, pulls the skin his own side
 
Feedback said:
Unakumbuka jana nilikuambia nini kuhusu kingereza chako,
haya ni matokeo ya kutumia dictionary kutafsiri maneno huku grammar ukisahau.

Ndugu yangu wewe naona unafuata mkumbo tu, kwa faida ya wana JF, tuandikie kwa kingereza haya maneno.
Kila mwamba ngoma ngozi, huivutia kwake
 
Ndugu yangu wewe naona unafuata mkumbo tu, kwa faida ya wana JF, tuandikie kwa kingereza haya maneno.
Kila mwamba ngoma ngozi, huivutia kwake
Kuna li robot linaitwa INVISIBLE huwa linasema.......Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
naona mwenzetu umeamua kufanya kinyume...! mwisho wa siku utasikia ooohh..mfumo kristo umeninyima elimu....lakini kaka si unaweza ku google tu si hizi ukapata kila kitu..papara ya nini??
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Anti Sweke, mambo ya mifumo kiristo mimi sipo huko, kwanza mimi ni Pagan.
Wala uwezi kukuta nalalamika nimenyimwa Elimu, kwanza mimi sijasoma hapa Tanzania nilalamike nini
 
Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amani

Mtoto wa JK Ridhiwan, akli zako ziko likizo tangu lini ? Masaburi yako yanaumwa ?
 
Hivi Dr Slaa ni mchaga? Ni vizuri hizi shule za kata ziangaliwe kwa ukaribu zaidi, zitatutengenezea mambumbu wa viwango vya kutisha!

Amesoma shule nzuri tu,tatizo anakataa kuukubali ukweli kwa moyo wake wote!
 
Ndugu yangu wewe naona unafuata mkumbo tu, kwa faida ya wana JF, tuandikie kwa kingereza haya maneno.
Kila mwamba ngoma ngozi, huivutia kwake
Siko hapa kufundisha kingereza nina mambo mengi tu ya kufanya lia na baba yako anayeanzisha shule za kata bila walimu...

kwanza nina ujumbe muhimu sana toka kwa Gaddafi mfikishie mkwe re mwambie anasalimiwa na rafiki yake anasema amem miss sana yeye katangulia kuandaa makao hopefully atamwandalia na yeye.
 
Ndugu yangu wewe naona unafuata mkumbo tu, kwa faida ya wana JF, tuandikie kwa kingereza haya maneno.
Kila mwamba ngoma ngozi, huivutia kwake

shut up

huu ni ujinga zaidi .... haujui hata wapi pa kuweka alama ya mkato

ficha upumbavu wako
 
Sasa hii imekuwa topic ya kufundisha kizungu? Jamaa kasema na nyie mmefahamu sasa kuna nini tena hapo, tukirudi kwenye hii mada ya huyo mpumbavu wenu Slaa, kwanza kabisa TANZANIA haitakuja tawaliwa na CDM kwasababu ya wahuni mnaowachagua, pili Slaa hawezi kushika hii nchi kama Rais hata akihamia CCM,ni mtu anajulikana kama Dikteta na mpenda fujo. Tatu CDM hawana hela na wala hawatapa wafadhili kutokana na sera zao zakijinga.

Nyie wanacdm wachache mtabaki kupiga kelele humu JF tu huku sie wanaccm tunasonga mbele. 2015 ndio mtajua CCM ni nani, hampati hata majimbo kumi.
 
Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi
rits, sikukufahamu vizuri kabla, kumbe wewe ni meya wa jiji?
 
Rais wa Wazalendo wa Kichagga kutoka Kilimanjaro na Arusha, sio rais wa Watanzania wapenda amani

Tatizo la Kuja JF ukiwa na Janaba la mavi, Uwe unatawadha kabla hujapost Upupu hapa maana unakidhalilisha chama chako cha Magamba
 
Hamna rais mtarajiwa urais sio kama harusi ndio unaweza kusema bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa.
Ungesema rais kivuli wa Tanzania a loser Dr Slaa, atakuwepo Kateshi

Crap...kama huna akili usiweke matope yako humu
 
Tatizo la Kuja JF ukiwa na Janaba la mavi, Uwe unatawadha kabla hujapost Upupu hapa maana unakidhalilisha chama chako cha Magamba
Janaba ni nini? Halafu mimi sina chama naona unakurupuka tu!
 
Back
Top Bottom