Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

kama habari hii ni ya kweli, basi nchi yetu iko njia panda. Si lazima viongozi wasubiri miaka 5, wanaweza kujiuzulu ili tupate viongozi wengine. Hii kashafa ni kubwa sana.
 
Watanzania woooooooooooooooote pamoja na woga wetu tumuombee kijana wetu Dr, Ulimboka apone haraka kwa vile nia yake kuu yeye pamoja na madakitari wenzake ni kuwasaidia Wtz japo kwa uwelewa wa wachache wanafikiri hawa MaDocta wanalilia masirahi yao tu tunasahau ya kwamba ukienda hosptali dawa unanunua, kumuona mgaga ni fedha nk.Mujwahuzia
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)

sasa na nyie ***** tutaanza kuwaona namnagani vp... mlimuachaje atoke hapo salama kainamisha kichwa ~!@#$#%^&*(*
 
Mbunge mmuja akkisema bungeni koplo wa JWTZ ni eqivalent na Inspector wa Police. Hata wao hawjionei huruma.

Kama tume yenyewe ndio hiyo, asiruhusiwe mtu yeyote kati ya wanatume kuingia kumuona Comrade Dr Uli. Hawana aibu hao, wanaweza kusema tokeni kidogo tunataka kumhoji, kisha wakampulizia sumu! hairuhusiwi kubaki peke yake katika mazingira yeyote yale. Serikali itataka kuficha ujambazi wake, kumbe Mungu aliye hai yupo na atawaibisha wote. Na bado.
Mungu aliye hai atampigania mtumishi wake. Katika jina la Yesu Kristo atapona na atatoa ushuhuda wa yale yote yaliyomkuta, na kuwaweka hadharani majambazi na mashetani waliovaa miili ya binadamu. Na asiwepo mtu yeyote atakayegusa hata unyayo wake. Amen
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)

Are you sure???
 
Duh!! Ina maana mkuu wa upelelezi kanda maalumu ya Dar es salaam ndiye kaongoza kitendo cha kinyama,kijinga na kipumbavu namna ile!!! Yaani Hemed Msangi amefirisika kiakili namna hiyo??! Bado siamini!

Inaonekana kuna uhusiano flani kati ya msitu wa pande na wakuu wa upelelezi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam.
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)
Alafu kwa jinsi nilivyosikia analindwa....WEWE ULIKUWAPO HAPO KAMA NANI?? Isije ukawa unatuchemsha tu!!!! Na kama ulikuwapo ulichukua hatua gani?? Au watu wengine waliokuwapo walichukua hatua gani?? Mlimuacha jamaa haondoke bila kusema kitu??
 
sasa na nyie ***** tutaanza kuwaona namnagani vp... mlimuachaje atoke hapo salama kainamisha kichwa ~!@#$#%^&*(*

Hata mimi siwaelewi. Walimuachaje bila kumng'oa kucha au meno kavukavu. Hao wapumbavu na serikali yao ya 'Chama Cha Mbuzi' wamezidi kuwaona madaktari kama viatu wanavyovaa. Angelipuliwa naye 'live' na hangekuwepo wa kumtibu labda Vasco Dagama au Beast . Unyama unyama tu! hapa sasa hakuna busara.
 
Mimi hadi kufikia hapa naona wahusika wameshakamatwa.

1. Kama ni kweli wahusika walimpigia simu basi tayari vyombo husika vimeshapata taarifa zao hivi tunavyoongea. Sasa isijekuwa waliokutana na Dr Ulimboka waliompigia simu watu wengine na waliokuja kumchukua wengine.

2. Kama kweli walimteka kwa gari wakaondoka nae na bila kuficha nyuso zao identification ni 100% possible.

3. Kuna kila dalili kwamba Dr alishafanya mazungumzo mara nyingi na hao wahusika walikuwa wanazungumza nini? Je Ulimboka aki stabilize ataweka wazi habari zote? au na yeye ataficha ficha ili tusijue yaliyomsibu? Je hawa waliokuwa wanazungumza nae wanahusiana na wale waliomchukua? ( sio kumteka)
peleka hiyo analysis yako chooni, mshenzzi wewe! l told you yesterday,the day is near we will cut your rough scrotam which makes you talk foolish..as a a reminder to this garbage you keep posting!
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)

Sasa kama ulikuwepo mbona hutuambia ni Kamanda nani? Tupe jina lake na idara anayotoka.

HILI SWALA NI VERY SERIOUS, KINACHOTAKIWA HAPA NI TRANSPARENCY ILI KUKOMESHA UJINGA HUU. TATIZO LA MITANZANIA NI KULINDANA NA KUONEANA AIBU. Hakika hatuwezi kufika kwa mtindo huu.
 
Kuna haja ya kumtafuta huyo Kamanda.. Selikali ikishindwa Wananchi tufanye kazi yetu kwasababu Peoples Power
 
hii thread ina uongo mwingi. kama shahidi ni wewe mwenyewe, jitokeze kwenye vyombo vya habari useme kwa uwazi kisha uende polisi...

tuach kudanganyana ndugu zanguni
 
Du huyu Msangi, Mpare aliyetoka Dodoma akaenda Moro baadae Dar hii kali naona Dr atawatambua wote wauaji wake na nani kawatuma kwa Dau gani
Dr Ulli ugua pole

huyu jamaa kama ndio yeye aliewahi kutajwa kwenye ripoti ya Mwakyembe,kwa kuhusika kupanga njama za kumuua akiwa morogoro.!
 
peleka hiyo analysis yako chooni, mshenzzi wewe! l told you yesterday,the day is near we will cut your rough scrotam which makes you talk foolish..as a a reminder to this garbage you keep posting!

Hebu jaribu kusoma maana mimi sielewi ulichoandika
 
Mbunge mmuja akkisema bungeni koplo wa JWTZ ni eqivalent na Inspector wa Police. Hata wao hawjionei huruma.

Wamezoea hao. Achana nao, ndio maana JWTZ hawachelewi kuwanasa vibao hata pamoja na magwanda yao. Wanachojua sana ni kupokea na kuomba senti tano tano
 
Back
Top Bottom