DR. SLAA Vs MAKAMBA

Mar 18, 2011
63
12
BAADA YA KUWALINGANISHA WENYEVITI WA VYAMA VIWILI VIKUBWA HAPA NCHINI KWA KUDADISI UTENDAJI WAO WA KAZI YAANI KIKWETWE(CCM) Vs MBOWE (CHADEMA), LEO NINAOMBA MAONI YENU NI NANI KIONGOZI BORA KWA NAFASI YA UKATIBU WA CHAMA KATI DR.SLAA(CHADEMA) NA MAKAMBA(CCM)?

VIGEZO
utawala bora
uwajibikaji
uzalendo
ubunifu
uadilifu
busara katika kazi
kuheshimu utawala wa sheria na demokrasia.
TOA MAONI YAKO
 
Obvious inajulikana wazi kuwa Dr. Slaa atawini hata kama humu ndani wote wangekuwa CCM. Unless this thread is supposed to be for fu:bored:n
 
Mwalimu wa shule ya msingi na Daktari wa sheria, unamwonea Makamba. Huyu sio saizi yake.:msela:
 
Makamba labda umshindanishe na Maalim Seifu Sharrif Hamad, lakini kumshindanisha na Dr Slaa ni sawa na unashindanisha Bajaj ( Makamba ) na Caterpillar ( Dr Slaa. )
 
mbingu na ardhi, kuwashndansha ni kumdhalilsha makamba! Hawafanan hta chembe! Slaa ypo juu kwnye kla k2 ulchktaja hapo!
 
MI SINA JIBU NAJUA MAJIBU UNAYO MKUU! nikiburi chako tuuu hicho!:bored::bored::bored:
 
kumliganisha makamba na SLAA ni dharau kwa Slaa,makamba mliganishe na mwenyekiti wa tawi au shina wa CDM kama yupo.
 
mashindano ya baskeli na train ya umeme haya makamba labda chiligati na kinana ndio size yake kwa ccm labda ungweka sitta ndiye anaweza kuendana na hiki kichwa
 
Hapo ni kichugu (Makamba) na Mlima (Dr Slaa). Kuwalinganisha ni kumwonea Makamba na kumdharau Dr Slaa.
 
Unalinganisha shetani (Makamba) na Malaika wa MUNGU (Slaa)..
Kesho utalinganisha Nyerere na Kikwete usivyo na akili...
 
Tumieni akili katika mambo mnayofanya kesho mtamlinganisha ...............na................... wote binadam wanamapungufu yao jueni dk slaa elimu yake ni sheria za kanisa katoliki ambazo kwa watu wenye akili haziwezi kuingia akilini. ndio maana mambo ya kanisa yamemshinda wizi mtupu.
 
Unajua sheria za kanisa wewe? Tutajie vyuo vya kanisa vinavyotoa sheria za kanisa ambavyo slaa alisoma...
 
Wote wanapwaya. Hawawezi kusimamia utendaji wa vyama vyao kwa umakini.

Pole mkuu nadhani una matatizo yafuatayo....................

  1. Uwezo mdogo wa kupambanua thread..na nitafatilia michango yako mingine humu JF nijiridhishe na maneno yangu
  2. Unaonekana kama ni mtu uliye na mzaha kwa mambo ya msingi..
  3. Umejiunga hapa JF ili uwaambie ndugu zako kuwa na wewe ni mwanachama wa JF...na huna mchango wa maana katika jukwaa hili
  4. Hutaki kuishughulisha akili yako kufikiri kwa makini.....UNA JIBU OVYO OVYO KAMA NAIBU WAZIRI WA FEDHA ALIYEPITA..SUMARI
Pole kwa matatizo yako.........
 
- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!

- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!

William @ New York City, USA.
 
Kwa mengine naweza nisijue mshindi lakini kwa Busara katika kazi hapo Makamba chali!
 
- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!

- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!

William @ New York City, USA.

Indeed you are missing something!

Does international standards allow vote rigging? If you refer to international standards you should also measure the election process won by him on the same international standards.

Back
Top Bottom