DR. SLAA Vs MAKAMBA

Huyo ungemlinganisha na jamaa aliyemuachia nafasi yake hiyo, wa chama hicho hicho. I heared zat jama alienda china ka balozi. Na2mai wadau mtakua mnamkumbuka vzuri na ye alivuma sana kwa majibu yake hewa, japo ckuhizi havumi tena kwenye medani za si hasa. Amakweli hiyo nafasi NUKSI.
 
Indeed you are missing something!

Does international standards allow vote rigging? If you refer to international standards you should also measure the election process won by him on the same international standards.

- Sio news tena mkuu!
, infact it is classic!

William @ NYC, USA.
 
- hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, makamba as much as i disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!

- chama chochote cha siasa duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard makamba is the man hapa, unless i am missing something here!

william @ new york city, usa.

Very true u a missing some thing big man.. When CCM a stealing votes in last year election, making people poor with their poor governance and all the theft stuff going on in Tanzania.. Can u call Makamba very true leader????
Hunger, poverty and still called this good leader???
Slaa is a leader to make this nation moving forward.. And i will happen in 2015!!!
 
Uwezo mkubwa alionao dr slaa ukiulinganisha na uzaifu wa makamba,ni sawa kulinganisha mzee na mtoto wake.

Kwa kifupi tu, Dr. amefanya makubwa sana chadema mpaka leo hii ccm kaptula zinawapwaya, na hii ni tofauti kabisa na alichofanya makamba ambacho ni kukidhoofisha ccm na kukidharaulisha.

Upeo mdogo wa makamba ndio loop hole mojawapo ya cdm,nafurahia zaidi ccm wanapokuwa bado wanamwona anawafaa; kwani huo ndio uchochoro utakaoendelea kutumika.
 
Mnalinganisha mbio za Kinyonga (Makamba) na mbio za farasi (Dr Slaa). Hakuna quiz yoyote hapo.
 
jaman huu sasa mzaha,hata mwenyewe akiona atafurahi sana kulinganishwa na mtu makini na mwenye elimu kama Dr Slaa
 
we uko New york gani uwe na uwezo mdogo kiasi hiki wa kuchambua mambo, kama chama chake kingeshinda kihalali ndio angestahili angalau sifa kidogo lakini kwa hali ya mambo ilivyo huna sababu yoyote ya kumpa sifa hizo
- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!

- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!

William @ New York City, USA.
 
He is missing every thing.

Kama ushindi wa CCM ilibidi mwenyekiti aunde kamati ya Kinana, kamati ya Ridhiwan na uchakachuzi ili kushinda. Labda sababu uko mbali taarifa zinabadilika zikiwa njiani kukufikia rudi huku ili uwe unazipata Live on Stage!
 
we uko New york gani uwe na uwezo mdogo kiasi hiki wa kuchambua mambo, kama chama chake kingeshinda kihalali ndio angestahili angalau sifa kidogo lakini kwa hali ya mambo ilivyo huna sababu yoyote ya kumpa sifa hizo

Mkuu huyo jamaa ni mtoto wa Mzee Malecela... hawezi kuiponda CCM na Makamba kwa sababu ndio inayomuweka hapo NY, otherwise piga lapa tu
 
Najisikia vibaya sana kumlinganisha bosi wangu Dr Slaa na Makamba. Makamba hata mimi ninayeongoza jimbo la ubungo namzidi kiutendaji. Mimi naogea vizuri kuliko Makamba. Pili makamba ajibu kwanza Swali la Dr Slaa alilomuuliza wakati wa uchaguzi mkuu kuwa, NINI KILIMFANYA MAKAMBA AKAFUKUZWA KAZI YA UALIMU?
 
kumlinganisha Makamba na Slaa ni sawa na kuwalinganisha mwenyekiti wa kijiji na rais,Makamba hana tofauti na wajinga wengine nafikiri hata leo hayupo ofisini anasherehekea
 
- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!

- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!

William @ New York City, USA.
W.J. Malecela my friend you are not missing something rather the whole thing. Let's assume CCM ilishinda kihalali alafu tuashum 2005 ilikua baseline kwa Mwl aliyefukuzwa kazi Makamba na Dr. Slaa(PhD). Tuchukue uchaguzi wa 2010 kama reference point yetu kwa analysis, na indicator iwe ni status ya chama in terms of number of MP seat gained, popularity and acceptance ya chama na stability ya chama 2010/2011.

Then make the math yourself kabla hujaandika hiyo comment yako.

Jaribuni kuwa critical na msiwe washabiki
 
We paka viongozi wa kanisa wanasoma shule na vyuo kama xuler wengine u"DOCTOR" wa Slaa ni waclass sio kanisan,kilichomtoa kanisan ni kusave TZ frm dis miserable bast***d CHUKUA CHAKO MAPEMA.
 
- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!

- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!

William @ New York City, USA.
hata baba yako leo akiiona hii post atafadhaika sana.
Hivi baiskeli ya mbao inaweza kuwa na kasi kuliko Landcruiser vx?acha woga maisha yanawezekana hata bila kumlamba viatu JK
 
Pole mkuu nadhani una matatizo yafuatayo....................
  1. Uwezo mdogo wa kupambanua thread..na nitafatilia michango yako mingine humu JF nijiridhishe na maneno yangu
  2. Unaonekana kama ni mtu uliye na mzaha kwa mambo ya msingi..
  3. Umejiunga hapa JF ili uwaambie ndugu zako kuwa na wewe ni mwanachama wa JF...na huna mchango wa maana katika jukwaa hili
  4. Hutaki kuishughulisha akili yako kufikiri kwa makini.....UNA JIBU OVYO OVYO KAMA NAIBU WAZIRI WA FEDHA ALIYEPITA..SUMARI
Pole kwa matatizo yako.........
Sio kosa lake nadhani atakuwa mwanachama wa chama cha SAU,huyu jamaa ana akili kama za Dovutwa.
 
DR SLAA ni noma,huwezi hata kidogo kumlinganisha na Makamba,yaani ni kama uichukue timu ya Barcelona icheze na AFC ya Arusha halafu unauliza nani atashinda wakati unajua kuwa lazima Barcelona atashinda ushindi wa kishindo.Dr Slaa ni kichwa kinachoihangaisha CCM usiku na mchana.Hakuna kama Dr Slaa.Kikwete mwenyewe bila kuchakachua matokeo Dr Slaa leo ndo angekuwa rais wetu wa awamu ya tano.
 
Very true u a missing some thing big man.. When CCM a stealing votes in last year election, making people poor with their poor governance and all the theft stuff going on in Tanzania.. Can u call Makamba very true leader????
Hunger, poverty and still called this good leader???
Slaa is a leader to make this nation moving forward.. And i will happen in 2015!!!

- Ohhh kumbe Slaa ni bingwa kuliko Makamba kwa vile it will happen in 2015! Ok got you otherwise kama Chadema walionewa ni vyema wangeenda kwenye sheria kama Mtikila alivyofanya kwenye ishu ya Mgombea binafsi na kuishinda serikali ya CCM, au kama vile Familia ya Marehemu kombe, ilivyofanya kuipeleka serikali ya CCM mahakamani na kuishinda, au kama vile maofisa wa BOT na Police walivyompeleka Rais wa CCM Mkapa kwa kuwafukuza kazi kwa makosa na wakamshinda!

- CCM wangeiba kura sidhani kama Rais angeshinda kwa kura 20% less ya uchaguzi wa 2005, and then CCM isingeruhusu wabunge wengi wa Chadema kuongezeka bungeni, sometimes tujifunze kua good losers, ukishindwa kubali jitayarishe kwa uchguzi mwingine ndio Demokrasia, sio lazima mshinde tu ndio inakua Demokrasia Makini, kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa!

William @ NYC, USA.
 
we uko New york gani uwe na uwezo mdogo kiasi hiki wa kuchambua mambo, kama chama chake kingeshinda kihalali ndio angestahili angalau sifa kidogo lakini kwa hali ya mambo ilivyo huna sababu yoyote ya kumpa sifa hizo

- Kama chama chake kingeshinda kihalali who says so? ha! ha! Mkuu honestly are you saying kwamba Slaa alishinda huu uchaguzi uliopita akaibiwa are you saying that? Maana hata yeye mwenyewe Slaa hajawahi kutamka hayo!, Again learn to be a good loser!

William @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom