Katika mikutano ya leo nani kafunika bila kutegemea nguvu za ziada kama malori na mabasi
Katika mikutano ya leo nani kafunika bila kutegemea nguvu za ziada kama malori na mabasi
Usiongee sana unawapa watu ugonjwa wa moyo bure,,,cdm ni vitendo tu hakuna blaa blaa za kinana kubeba matofali kula kwa wali maharage kwisha habari ya hao ndo viongozi bure kbc, viva cdm ushindi unakuja kwa kishindo cha nuclear.
Cc simiyu yetu, ritz, taswira, nape, hamy d, ze marcopolo, msalani nk.........
uwanja wa CDT hauna miti kiasi hichoMaccm tumbo joto
mabasi na malori ni nyenzo Muhimu sana kwa mkutano wa ccm ili uweze kupata wahuzuriaji wa kuweza kupiga picha hivyo ni vigumu kutenganisha wingi wa watu kwenye mikutano ya ccm na Nyenzo hizoKatika mikutano ya leo nani kafunika bila kutegemea nguvu za ziada kama malori na mabasi
Angalia umati uliojaa kwa Dr Slaa bila kusombelezea.Mwigulu umeiona hiyo?Utaiweza cdm?mnawapa akina Shonza wanapata hela kusomea UDOM.Inawasaidia nini?Na wala moyo wake hauko ccm nimefanikiwa kuongea naye.mi naona muna ingia mkenge tu