Dr. Slaa: Sukari yaweza kuangusha Serikali

Issue ya sukari ni rahisi sana kudeal nayo tena bila kutumia misuli mingiiiiiiiiiiiiiiiii.

1.Watoe RUZUKU kwa wakulima wa miwa.
2.Wapunguze KODI kwenye viwanda vyetu
3.Waongeze KODI kwenye SUKARI itakayoagizwa toka nje.
4.Kuongeza uzalishaji kama vile kununua mitambo mipya ya kisasa
Ukipunguza KODI ya sukari ya ndani na kuongeza kodi kwenye sukari ya nje huna haja ya kumfuatilia mfanyabiashara.SUkari yake itakuwa juu na haitanunuliwa kihivyo na automaticaly kupunguza uagizaji wa sukari

Unalosema ni kweli ila bila kubomoa kwanza mtandao wa hawa ma "Kingpins" wa biashara ya sukari, juhudi hizo zitahujumiwa tu! JPM aliwafananisha na ma "Don" wa madawa ya kulevya! Naamini Magu ana taarifa za uhakika na za kutosha ila ni mazingira tu yanatengenezwa kuwatia "watu fulani" nyavuni! Tusisahau shutuma za kashfa ya vibali vya sukari vilivyohusishwa na mbio za "watia nia ya Urais" ndani ya ccm!
 
Issue ya sukari ni rahisi sana kudeal nayo tena bila kutumia misuli mingiiiiiiiiiiiiiiiii.

1.Watoe RUZUKU kwa wakulima wa miwa.
2.Wapunguze KODI kwenye viwanda vyetu
3.Waongeze KODI kwenye SUKARI itakayoagizwa toka nje.
4.Kuongeza uzalishaji kama vile kununua mitambo mipya ya kisasa
Ukipunguza KODI ya sukari ya ndani na kuongeza kodi kwenye sukari ya nje huna haja ya kumfuatilia mfanyabiashara.SUkari yake itakuwa juu na haitanunuliwa kihivyo na automaticaly kupunguza uagizaji wa sukari

Taasisi za fedha kama PSPF,NSSF,PPF waingie kuwekeza kwenye viwanda vya miwa. kama wwameweza kigamboni sembuse kiwanda cha miwa ambacho hata 10bl. haifiki, serikali ingeweza kuanguka kama ingeshindwa kulipa mishahara ya watumishi lakini siyo sukari.slaa kazeeka huyo
 
Serikali inahangaika kusema watu wameficha sukari ndio sababu ya kuadimika wakati hiyo inayodaiwa kifichwa hata siku saba haitoshelezi mahitaji.

Najiuliza watatuambia nini baada ya hiyo kuiisha ?.

CCM ni ile ile
Haihangaiki mkuu huo ndiyo ukweli wenyewe na lazima mabepari wasalimu amri.Wahindi hawana ushawishi nchi hii leo tukianza kuwabagua watakimbia nchi. wanatakiwa warudi ktk mstari tuuu
 
Kwa Tanzania, sukari haiwezi angusha serikali. Nchi imewahi pitia upungufu wa bidhaa nyingi kwa wakati mmoja na serikali haikuwahi kuanguka. Sifa zimwendee hayati Mwl. Nyerere kwa ujenzi wa chama imara cha ccm ambacho kimekuwa na nia ya dhati kuwapigania Watz licha ya hapa na pale kuangukia mikononi mwa mafisadi. Watz tushikamane tumuunge mkono JPM, sukari tu haiwezi kututoa njiani.
 
Mwanasiasa 'huru' nchini, Dr. Wilbrod Slaa amesema kuwa sukari ikikosekana kwa wiki moja,Serikali yaweza kuangushwa. Katibu Mkuu huyo wa zamani wa CHADEMA aishiye nchini Canada kwasasa amesema sukari ni bidhaa muhimu.

Dr. Slaa alikuwa akizungumzia sakata la sukari linaloendelea nchini. Alizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mtanzania. Pasco upo?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)
nina shaka kama habari hiyo ni kweli. dr slaa sio nyumbu kufuata malisho.
 
Taasisi za fedha kama PSPF,NSSF,PPF waingie kuwekeza kwenye viwanda vya miwa. kama wwameweza kigamboni sembuse kiwanda cha miwa ambacho hata 10bl. haifiki, serikali ingeweza kuanguka kama ingeshindwa kulipa mishahara ya watumishi lakini siyo sukari.slaa kazeeka huyo

Hata ikiwekeza huko bila kupunguza kodi na kuweka RUZUKU bado sukari yetu itakuwa ghali.SUkari ya Malawi ni rahisi zaidi kuliko sukari ya Kilombero
 
Dr. Slaa bado anaendelea kutumbua.
 
Attachments

  • 2016-05-10-08-13-58-889983605.jpeg
    2016-05-10-08-13-58-889983605.jpeg
    9.8 KB · Views: 28
  • 2016-05-10-08-13-51--1565255736.jpeg
    2016-05-10-08-13-51--1565255736.jpeg
    8.1 KB · Views: 32
Kwa nini Dk Slaa kahama Tz kama kweli anaipenda nchi yake...???tofauti zinakuwepo na huwa zinasuluhishwa kwa majadiliano.Vyovyote vile Mzalendo halisi hawezi kuwa na raha nchi ya watu."Kwenu ni kwenu tu hata pakiwa pangoni"
 
Issue ya sukari ni rahisi sana kudeal nayo tena bila kutumia misuli mingiiiiiiiiiiiiiiiii.

1.Watoe RUZUKU kwa wakulima wa miwa.
2.Wapunguze KODI kwenye viwanda vyetu
3.Waongeze KODI kwenye SUKARI itakayoagizwa toka nje.
4.Kuongeza uzalishaji kama vile kununua mitambo mipya ya kisasa
Ukipunguza KODI ya sukari ya ndani na kuongeza kodi kwenye sukari ya nje huna haja ya kumfuatilia mfanyabiashara.SUkari yake itakuwa juu na haitanunuliwa kihivyo na automaticaly kupunguza uagizaji wa sukari
Kwa hawa wezi,na wahujumu uchumi!hayo hayawezekani maana watafanya kila hila kukwamisha kama wanavo kwamisha sasa
 
Kwa ufupi wanaotumia sukari kama silaha ya kivita kutesa wanyonge ,kilio cha wanyonge pekee kinatosha kuwamaliza wao na vizazi vyao.Vilio vya wanyonge mbele ya mwenyezi Mungu ni vingi kuliko hao mafisadi wachache na wapambe wao ambao wanaotumia unyonge wa wanyonge kuwaumiza.

Mungu awalaani wote wanaotumia silaha ya sukari wao na wapambe wao wawe wa kisiasa au vyovyote. Waugue magonjwa yasiyopona,na waugue migonjwa ambayo sukari hata hawataweza kuitumia,waugue migonjwa ambayo hayataki kitu chochote kitamu.Waishi maisha ya mahangaiko ya maradhi yasiyotibika.

Hata wapate mipesa mingi wasiifaidi wawe ni watu tu wa kuhangaika wakiugulia na kuzurura kutafuta tiba ambazo hazipo.

Hata vifo vyao na viwe vya mateso makubwa
na wanyonge wa zanzibar kilio chao alikisikia nani?
 
Vilio vya wanyonge hata kwa serikali ya viwanda kwa kutoonyesha bunge live ni vingi zaidi lkn mbona mmeweka pamba masikioni?,hivi leo hii miccm na nyie mnajua kwamba kuna kitu kinaitwa kilio cha mnyonge?
 
Kwa nini Dk Slaa kahama Tz kama kweli anaipenda nchi yake...???tofauti zinakuwepo na huwa zinasuluhishwa kwa majadiliano.Vyovyote vile Mzalendo halisi hawezi kuwa na raha nchi ya watu."Kwenu ni kwenu tu hata pakiwa pangoni"
Sidhani kama ni hiari yake ana furaha huko, mzee wetu yuko katika kifungo cha mapenzi. At one time nilikuwa namkubali sana huyu mzee nilikuwa na picha yake ofisini na kwenye gari, siamini kama hataki kurudi tutatue changamoto hizi pamoja maana uchaguzi umeisha na lazima maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom