Dr. Slaa ndio mkombozi wa watanzania 2015. Atafumua mfumo huu uliofeli miaka 50 tangu uhuru

Dr. Slaa akiingia ikulu mafisadi watafute nchi yao.

Watanzania wanatarajia kuingia nchi ya ahadi, matumaini yao kwa Dr. Slaa

Hiyo ndio ndoto inakataa kabisa kwangu, labda nikilala nimekunywa viroba ntaota hiyo ndoto
 
upotoshaji wa magamba
Wewe naona ata vitu huvijui, taarifa ya CAG imekuwa magamba?

Wewe unafanana sana na huyu jamaaa, unashangilia usichokijua!!

10985348_896870390359901_4630302895779332461_n.jpg


Dr Slaa ndiye mtendaji mkuu wa Chdema, na mahesabu yao ndio haya, yenye MASHAKA, hana tofauti na wezi wengine.

Angekuwa mtu safi na makini angeonyesha hapa....Kama kamshindwa Fisadi Mbowe atawaweza mafisadi gani tena?Dr Slaa ni dhaifu na hana uwezo huo.

REPORT YA CAG

attachment.php



N.B: CHADEMA HAIJAWAHI KUPATA HATI SAFI YA CAG, CHADEMA NA CCM NI KAMA MAPACHA
 
Naona fisa bado linaendelea kuzunguka, ewe mfu wa el soma thread na uelewe hayo yote yalizungumzwa inamaana huamin? Kama hutoamin bac ww hukukaa ktk Nchii hii ulikuwa msituni leo ndo umekurupuka,
Hao watia nia wenu wanayoyaahid ndo hayo hayo mliowaahid Watz na hamjayatekeleza tukiwaambia mmechoka mnahitaji kupumzika hamtak kukubal, oct mtakubal tu.



Robot ya CDM tumika dogo maana mwaka huu mtaunganisha nguvu zenu na hela zenu zote za kula afu hamuingii Ikulu CCM wanawapimia ili wawazoe na UKAWA yenu kama karandinga mpaka Jehanum nakuambia mtalia na kusaga meno na wanasema ndo utakua mda mzuri wa kuwatawala milele!
 
Kamwe hato nusa vyumba vya ikulu
.

Ni nchi ya wahuni tu ndio wanaweza kuruhusu maigizo haya,ya ccm,

Ni nchi ya kusadikika,wanaoweza kusikia hadithi za wanaccm watia nia urais,

Hakuna hata mtaa mmoja au nukta moja,iliyowahi kupotea kwa uzembe huu wa ccm wa hata wezi,waliofukuzwa uwaziri na kuondolewa madarakani,chama makini hakiwezi kamwe kuona watu kama hao wanakinyanyasa na kukidhalilisha chama kwa kutangaza kugombea urais!

Wote wanaounga maneno na watia nia waliolelewa ndani ya ccm,kuwa ccm inawagombea bora,lazima awe miongoni mwa wanufaika wa ccm ufisadi na wewe ni miongoni mwao!
 
Robot ya CDM tumika dogo maana mwaka huu mtaunganisha nguvu zenu na hela zenu zote za kula afu hamuingii Ikulu CCM wanawapimia ili wawazoe na UKAWA yenu kama karandinga mpaka Jehanum nakuambia mtalia na kusaga meno na wanasema ndo utakua mda mzuri wa kuwatawala milele!

Wacha ujuha wewe 2ng, huijui vizuri UKAWA!
 
Kwa wizi uliofanywa na ccm kwa miaka 50 Ya uhuru twamwitaji Daktari kiturudisha alipotuacha Nyerere na siyo wezi wa sasa

Wewe dotcom Serikali ya CCM chini ya MWL NYerere ilikuacha wapi?hata hujielewi unakalia kulialia tu hapa kumbe unawakubali Ccm Teh teh teh nimesema wengine humu vibaraka wamejazwa upepo tu ili watumike!
 
Wacha ujuha wewe 2ng, huijui vizuri UKAWA!

UKAWA WACHUMIA TUMBO TU HAWANA FORMATION YOYOTE WANAWAZA HELA KWANZA MWENYEKITI WAO NI KADA WA CCM teh teh teh nyie nyie hamjielewi kabisa mnakwenda kufia feli kwenye samaki jihadharini! image.jpg
 
ni nchi ya wahuni tu ndio wanaweza kuruhusu maigizo haya,ya ccm,

ni nchi ya kusadikika,wanaoweza kusikia hadithi za wanaccm watia nia urais,

hakuna hata mtaa mmoja au nukta moja,iliyowahi kupotea kwa uzembe huu wa ccm wa hata wezi,waliofukuzwa uwaziri na kuondolewa madarakani,chama makini hakiwezi kamwe kuona watu kama hao wanakinyanyasa na kukidhalilisha chama kwa kutangaza kugombea urais!

Wote wanaounga maneno na watia nia waliolelewa ndani ya ccm,kuwa ccm inawagombea bora,lazima awe miongoni mwa wanufaika wa ccm ufisadi na wewe ni miongoni mwao!

serikali iliyoko madarakani inaongozwa na ccm kwa hiyo na wewe unaongozwa na hiyo serikali ni muhuni teh teh teh kweli shule ni muhimu ili mtu ajue anaongea nini?
 
Wenye uweledi na maono ndio wa najua kuwa Dr slaa nirais wa awamu ya tano nichaguo la watanzania.
 
wewe naona ata vitu huvijui, taarifa ya cag imekuwa magamba?

Wewe unafanana sana na huyu jamaaa, unashangilia usichokijua!!

10985348_896870390359901_4630302895779332461_n.jpg

na makatuni yote unayoweka hayajasaidia kitu nyie mafisadi tu na wezi wa ruzuku 2009/2010 hamkupeleka hesabu, 2010/2011 napo hamkupeleka kisa mnaogopa mlikwiba sana 2011/2012 cag akawalima hati yenye mashaka, 2012/2013 tena mkapigwa hati yenye mashaka kwa matumizi mabaya ya ruzuku mnayopewa na serikali ya ccm afu wewe unashangilia ufisadi hivi uko sawasawa kichwani????wezi ni wezi tu haijalishi wamevaa magwanda au la!
 
10985348_896870390359901_4630302895779332461_n.jpg
[/QUOTE]

NYIE MAFISADI TU NA WEZI WA RUZUKU 2009/2010 HAMKUPELEKA HESABU, 2010/2011 NAPO HAMKUPELEKA KISA MNAOGOPA MLIKWIBA SANA 2011/2012 CAG AKAWALIMA HATI YENYE MASHAKA, 2012/2013 TENA MKAPIGWA HATI YENYE MASHAKA KWA MATUMIZI MABAYA YA RUZUKU MNAYOPEWA NA SERIKALI YA CCM AFU WEWE UNASHANGILIA UFISADI HIVI UKO SAWASAWA KICHWANI????WEZI NI WEZI TU HAIJALISHI WAMEVAA MAGWANDA AU LA!
 
Rais wa Mioyo ya Watanzania hakuna mfanowe!


10985348_896870390359901_4630302895779332461_n.jpg
[/QUOTE]

NA MAKATUNI YOTE UNAYOWEKA HAYAJASAIDIA KITU NYIE MAFISADI TU NA WEZI WA RUZUKU 2009/2010 HAMKUPELEKA HESABU, 2010/2011 NAPO HAMKUPELEKA KISA MNAOGOPA MLIKWIBA SANA 2011/2012 CAG AKAWALIMA HATI YENYE MASHAKA, 2012/2013 TENA MKAPIGWA HATI YENYE MASHAKA KWA MATUMIZI MABAYA YA RUZUKU MNAYOPEWA NA SERIKALI YA CCM AFU WEWE UNASHANGILIA UFISADI HIVI UKO SAWASAWA KICHWANI????WEZI NI WEZI TU HAIJALISHI WAMEVAA MAGWANDA AU LA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom