Hansen Nasli
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 883
- 337
Je hili unaliona..!?pindi Dr. Slaa anaponusa sehemu ambapo kampen zinaendelea panatokea vurugu,kama siyo vijana kupigana basi wananchi kupigwa mabomu,mfano wa kwanza juzi MWANZA tumeshuhudia vurugu kutokea baada ya yeye kutoka kuhutubia mkutano,tunasikia vurugu nyingine ARUMERU baada ya yeye kuingia katika viunga hivyo!je kulikoni?