Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

katika nchi zenye demokrasia, mapato na matumzi ni kitu muhimu kwa kiongozi .
Chadema kwa kuwa ni waumini wa Demokrasia nchini, na nimfano wa kuigwa. kwa mfano Germany waziri alidanganya Reseach yake tu akashindikizwa ajiuzulu
Napendekez baada ya dk slaa kukataa kutaja maposho yake hadharani huku akiwa kioo cha jamii ni wazi watz wengi sasa hawana imani naye.
namshauri kwa kujenga heshima yake imefika wakati ajiuzulu nafasi ya kuongoza.

Huyu talataka sana .Kioo cha Slaa kashindwa kutaja posho au unakurupuka ? Mbona hujasema JK ajiondoe kwenye kwa madhambi kibao kama mauaji ya raia , wizi wamali zetu , Ufisadi na mengineyo ?Demokrasia kwako lazima itokee Chadema ? Soon utakuwa banned unatusumbua na uharo wako .
 
kama unauchungua anza kuuliza msharaha wa raisi unaotokana na kodi ni kiasi gani? kama watakujibu
hata hivyo posho za dr slaa zinajulikana na CHADEMA maana ndio wanaomlipa sasa ajiuzulu nini? mwajiri wake CHADEMA si aseme anamlipa ngapi dr slaa?

kama una imani na dr slaa kwa msingi guu basi una imani na chadema kwa maana nyingine wewe ni gamba gumu.
next time wewe na dada ako peleke post zako jukwaa la joke au gazeti mzalendo na uhuru
 
hizo nguo sio za kibantu mbona unaiga sana, mwanamke wa kiafrika uvaa kiafrika, wazungu wamekutwaa mwili na fikra

avatar48086_2.gif
 
SASA NIMEKUSOMA VIZURI HAKUNA CHA edina na susana wewe ni mmoja wa wachafua hewa hapa ndani, umejigeuza sura pumb.....

edina na susana
Today 12:36 AM

Join Date : 11th July 2011
Posts : 4

Rep Power : 0

Tundu lissu ni povu la soda, na ulimbukeni wa majengoni
mbio za tundu lissu kutaka kuwapiku wabunge wote wa chadema na wa CCM ili kuonekana mbunge maarufu ni Mh tundu lissu ni nguvu za soda.
kwani ni wazi muda mchache ujao povu hilo litatoweka na kuwa kama wabunge wengine waliowahi kuvuma.
kwa mfano, nani asiemjua mbunge wa UDP John cheo, Mrema na hata Mabere marando kabla ya kukabidhiwa Fupa la E.A na wabunge wa CCM.
Lissu licha ya kuwa mwiba mkali kwa ccm kwa sasa. lkn nasema ni povu la soda tu. inawezekana ni ulimbukeni wa mjengoni kwani ndio mara yake ya kwanza kutua bungeni
 
katika nchi zenye demokrasia, mapato na matumzi ni kitu muhimu kwa kiongozi .Chadema kwa kuwa ni waumini wa Demokrasia nchini, na nimfano wa kuigwa. kwa mfano Germany waziri alidanganya Reseach yake tu akashindikizwa ajiuzuluNapendekez baada ya dk slaa kukataa kutaja maposho yake hadharani huku akiwa kioo cha jamii ni wazi watz wengi sasa hawana imani naye.namshauri kwa kujenga heshima yake imefika wakati ajiuzulu nafasi ya kuongoza.
Pumbavu kweli wewe, yaani ameshindwa kutaja posho yake hadharani ndio ajiuzuru,nahisi umekunywa maji ya chooni,na ukikaa humu ndani na ukatulia naamini utakuja kugundua umeandika upupu,nadhani bado mgeni hapa jukwaani ndio maana.
 
katika nchi zenye demokrasia, mapato na matumzi ni kitu muhimu kwa kiongozi .
Chadema kwa kuwa ni waumini wa Demokrasia nchini, na nimfano wa kuigwa. kwa mfano Germany waziri alidanganya Reseach yake tu akashindikizwa ajiuzulu
Napendekez baada ya dk slaa kukataa kutaja maposho yake hadharani huku akiwa kioo cha jamii ni wazi watz wengi sasa hawana imani naye.
namshauri kwa kujenga heshima yake imefika wakati ajiuzulu nafasi ya kuongoza.

Nahisi unatafuta Mume humu JF si bure!
 
SASA NIMEKUSOMA VIZURI HAKUNA CHA edina na susana wewe ni mmoja wa wachafua hewa hapa ndani, umejigeuza sura pumb.....

edina na susana
Today 12:36 AM

Join Date : 11th July 2011
Posts : 4

Rep Power : 0

Tundu lissu ni povu la soda, na ulimbukeni wa majengoni
mbio za tundu lissu kutaka kuwapiku wabunge wote wa chadema na wa CCM ili kuonekana mbunge maarufu ni Mh tundu lissu ni nguvu za soda.
kwani ni wazi muda mchache ujao povu hilo litatoweka na kuwa kama wabunge wengine waliowahi kuvuma.
kwa mfano, nani asiemjua mbunge wa UDP John cheo, Mrema na hata Mabere marando kabla ya kukabidhiwa Fupa la E.A na wabunge wa CCM.
Lissu licha ya kuwa mwiba mkali kwa ccm kwa sasa. lkn nasema ni povu la soda tu. inawezekana ni ulimbukeni wa mjengoni kwani ndio mara yake ya kwanza kutua bungeni
wewe unaweza ukawa hauko na akili kichwani mwako....tundu lisu ni mwanasheria mzoefu so kila fact anayotoa inakuwa ina reference katika kanuni za bunge na sheria za bungu....wabunge wengi ...hawajui hilo na ndo mana wanakaa tuu....natumai kama tungekuwa na wabunge 10 kama tundu lisu bunge letu leo lingekuwa makini sana.....mbona hutuambiii dr slaa alikaa bungeni miaka 15 lakini moto wake ulikuwa unaongezeka siku hadi siku......
 
Edina edward lowasa na suzani shukuru kawamba. Huna mpango kabisa wewe! Mbona kikwete wako hajaanika hadharani matumizi yake ya safari za inje ya inchi, matumizi yake ya kampeni za mwaka uliopita, na matumizi ya familia yake ikulu? Mr ebo" aliwahi kuimba watanzania wote wanakula unga kokeni hivyo wewe umekula za kijani jivue gamba kwanza wacha kumtusi rais wangu dr slaa. Mzushi wewe.
 
SIRI YENU WA-KIJANI- Mnajua wabunge wengi wa ccm wanatumia dk zaidi ya 10 out of 15 kutuma salamu kwa ndugu zao na mafisadi wao badala ya kujadili shida za msingi za wananchi wao km.mgao wa umeme,rada n.k- NAO KWA HESHIMA YA NCHI YETU TZ ....WAJIUZURU...
 
Wewe vipi yahani unaacha walengwa unamwangalia dk slaa, tena nyie ndo wakwanza kuathirika na huo mfumuko wa bei na mtakoma

katika nchi zenye demokrasia, mapato na matumzi ni kitu muhimu kwa kiongozi .
Chadema kwa kuwa ni waumini wa Demokrasia nchini, na nimfano wa kuigwa. kwa mfano Germany waziri alidanganya Reseach yake tu akashindikizwa ajiuzulu
Napendekez baada ya dk slaa kukataa kutaja maposho yake hadharani huku akiwa kioo cha jamii ni wazi watz wengi sasa hawana imani naye.
namshauri kwa kujenga heshima yake imefika wakati ajiuzulu nafasi ya kuongoza.
 
Huyu talataka sana .Kioo cha Slaa kashindwa kutaja posho au unakurupuka ? Mbona hujasema JK ajiondoe kwenye kwa madhambi kibao kama mauaji ya raia , wizi wamali zetu , Ufisadi na mengineyo ?Demokrasia kwako lazima itokee Chadema ? Soon utakuwa banned unatusumbua na uharo wako .
Usimtishe mtoa hoja kwa ban. Jibu hoja zake kama zimekushinda hazijibiki kaa kimya na umwachie Slaa aje kujibu si yumo humu.
 
Usimtishe mtoa hoja kwa ban. Jibu hoja zake kama zimekushinda hazijibiki kaa kimya na umwachie Slaa aje kujibu si yumo humu.

Wewe mama kuna hoja humo? huyo katoka alikotoka hata hajui anachoongea!! Kati ya vyama vyote ni CHADEMA tu ndio walioweka wazi kuwa wanamlipa Katibu wao mshahara kiasi gani, hebu mtusaidia ni lini CCM, TLP, NCCR n.k. wamesema au kutaja kuwa viongozi wao wanalipwa sh. ngapi!! Ni kweli sasa naamini wafuasi wa CCM hawana AKILI au wamedumazwa na tamaa ya vyeo, madaraka na posho hivyo hawatumii hata akili ya darasa la saba kufikiri!!!
 
Sijui ni mimi tu; ila nimenotice ma puppet wa magamba wamevamia jukwaa na ID za kike, sijui ni kudraw attention au?
 
Jamani leteni hoja zenye mashiko hapa. Mbona mnahangaika na Dr. Slaa ambaye chama chake hakijapata hata fursa ya kuunda serikali kuu? Tushughulikeni na walioko madarakani. Hao ndo wanaofanya maisha yetu yawe magumu kwa ufisadi, wizi, uongo, mizaha, na kila aina nyingine za upuuzi wanaotufanyia. Dr Slaa mnamshupalia bure, hana hatia.
 
Wewe mama kuna hoja humo? huyo katoka alikotoka hata hajui anachoongea!! Kati ya vyama vyote ni CHADEMA tu ndio walioweka wazi kuwa wanamlipa Katibu wao mshahara kiasi gani, hebu mtusaidia ni lini CCM, TLP, NCCR n.k. wamesema au kutaja kuwa viongozi wao wanalipwa sh. ngapi!! Ni kweli sasa naamini wafuasi wa CCM hawana AKILI au wamedumazwa na tamaa ya vyeo, madaraka na posho hivyo hawatumii hata akili ya darasa la saba kufikiri!!!
Slaa ana mshahara siku hizi?
 
Huyu talataka sana .Kioo cha Slaa kashindwa kutaja posho au unakurupuka ? Mbona hujasema JK ajiondoe kwenye kwa madhambi kibao kama mauaji ya raia , wizi wamali zetu , Ufisadi na mengineyo ?Demokrasia kwako lazima itokee Chadema ? Soon utakuwa banned unatusumbua na uharo wako .

Hivyo ndivyo CDM inavyoendeshwa kiubabe. Hawa jamaa hawatopewa nchi hata kidogo. Viongozi wa CDM ni sawa na Hitler, hii ni hatari kwa nchi.

Angalia huyu jamaa wa CDM anavyotishia wenzake, wow!!. Unadhani huu ni mwaka 1967?
 
Huyu talataka sana .Kioo cha Slaa kashindwa kutaja posho au unakurupuka ? Mbona hujasema JK ajiondoe kwenye kwa madhambi kibao kama mauaji ya raia , wizi wamali zetu , Ufisadi na mengineyo ?Demokrasia kwako lazima itokee Chadema ? Soon utakuwa banned unatusumbua na uharo wako .
atakuwa banned na nani wewe, au ndio ulijua Slaa ndio Admin hapa JF? achaa ushabiki wa kijinga au ndio madhara ya msuba haya. Slaa ni mwizi wa kodi, kazi yenu ni kuzungumzia CCM lakini wizi wa huyo malaika wenu hamuuoni.
 
Ndugu zanguni,

Nimekuwa nikijiuliza swali gumu ambalo mpaka saa hizi nimekosa jibu. Naomba wana bodi mnijibu

Nani mzalendo kati ya Dr Slaa na Zitto?

Zitto akiwa mbunge amekataa kuchukua haki yake ya ubunge/posho na akaomba ipelekwe kwenye fungu la maendeleo jimboni kwake. Kwa sababu aliamini kuwa wananchi wanastahili zaidi kupewa hiyo posho kuliko wabunge ambao tayari wanalipwa mishahara mizuri.

Dr Slaa katika masharti yake ya kuachana na ubunge ili agombee urais 2010 alisema ni lazima alipwe kama mbunge ili agombee urais ili akishindwa posho iwepo pale pale. Hii ina maana ataendelea kulipwa kama mbunge mpaka siku chadema ikifa kwani tayari tumeambiwa yeye ndio mgombea urais 2015,2020...

Sasa hapa nakuwa naumia sana kichwa, kama mtu ana uchungu na maisha magumu ya wananchi kwa nini asijishushe aishi kama wao badala ya kuomba alipwe mamilioni na on top of that anajikopesha hela za ruzuku , hela ambayo ilitakiwa itumike kwa ajili ya ujenzi wa chama lakini yeye akachota/kajikopesha na matokeo yake sasa chama hakina hela kinatembeza bakuli kwa wananchi.

Mfano mwingine wa uzalendo ni rafiki yangu Lema.

Lema aliporudishiwa ubunge alivuta mshiko wa nguvu ikiwa ni hela zote za vikao ambavyo hakuhudhuria lakini mihela yote hiyo hakutoa hata senti tano kuchangia M4C aliyoanzisha yeye mwenyewe halafu unamkuta kwenye mikutano anatembeza sio bakuli bali ndoo kwa wananchi masikini wachangie walichonacho.

Chadema mnatutisha wananchi kwa tamaa mlizonazo na ubinafsi kwenye pesa.

Kama kweli mngekuwa wazalendo mngeiga mfano wa mbunge mwenzenu ZZK ambaye mpaka leo hachukui posho na jimbo lake lina maendeleo makubwa
SAM_1991.JPG

JITAMBUE!
 
Back
Top Bottom