Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

So what! Jadili mambo ya maana mshara ni yeye na mwajiri wake
 
Akili za kusikia, changanya na za kwako. Wee unakuwa kama siyo Mbayuwayu Mkuu??

Leo nina siku nzuri maana ningelikupa maneno ya Ovyo. Just read me between the line.

NEVER ARGUE WITH A FOOL.

Ahhh, nilisahau. Ndege kama hii, Zitto kaagiza kwa safari zake za ndani na nje.

Sijui Mbowe wataagiza ndege za aina gani hivi karibuni.
citation-vii-exterior.jpg

Mkuu Sikonge mbona hujawafamisha kuwa Kila siku ya kikao cha kamati kuu Chadema hotel ya Movenpick inachukuliwa yote ili kulaza wajumbe 45 na wake zao. Hawa jamaa wanafaidi kuliko hata viongozi wa Republican kule US
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Anastahili.

Yeye ndiye alikuwa awe Rais Uchaguzi Mkuu wa Oktoba,2010 kama CCM wasingechakachua matokeo ya Urais.
Kwa hiyo Mshahara anaokula Dr.Slaa ni sawa au unakaribiana na wa Mkwere aliyeingia Ikulu kupitia mlango wa nyuma(Through NEC,INTELIJENSIA and UWT).

Acha Dr.Slaa ajidai. Kwanza Chama kina pesa ya kutosha kulingana na asilimia ya mgawo wa serikali na friends of CDM kina Sabodo!!
 
Nilisahau hilo mku. Hahahaaaaa........

Kikao Kikuu cha CHADEMA mwaka huu, wameamua kufunika maana Watachukua AIRBUS A380 ya Singapore Airline na wataenda kufanya kikao chao LAS VEGAS. Huko ndiyo sehemu ya watu wenye hela kama wao huenda kupumzika.

Hotel wameamua kuchukua hii hapa chini. Wao na familia zao kwa kweli watapumzika vya kutosha kabla ya kuja kuendeleza Operation Sangara. Najua CCM watakuwa na donge sana na kuombea hata WASIRUDI TENA. Ila hilo Dege litawashangaza siku linaguza Kipawa na baadaye kuondoka kwa mbwembwe nyiiingi sana hapo JKNIA Dar.

luxor-hotel-address.jpg

Mkuu Sikonge mbona hujawafamisha kuwa Kila siku ya kikao cha kamati kuu Chadema hotel ya Movenpick inachukuliwa yote ili kulaza wajumbe 45 na wake zao. Hawa jamaa wanafaidi kuliko hata viongozi wa Republican kule US
 
Tungelianza na kujua wakwako kwanza.jilinganishe na wenzako kazini kwako,jiulizi why kunatofauti ukipata jibu ndipo uje na swali lako hapa.

NB: ulitegemea makamba apa form sawa na Dr. Slaa?
 
Umeshakuwa mbea kabisa! Mshahara wa Mkwere ni ngapi? uliza hilo ndo la msingi

Unauliza wa dr. Slaa (rais wangu) kwani anakula kodi yako?
 
Padre Slaa ni Two Faces. Huku anapinga mishahara mikubwa, halafu kumbe yeye ndiye kiongozi anaechukua mshahara mkubwa kuliko kiongozi yoyote TZ.
 
Padre Slaa hana tofauti yoyote na Savimbi. Padre Slaa kaingia kwenye siasa kwa sababu ya tamaa kubwa aliyokuwa nayo ya Utajiri na Power. Anakiendesha Chadema Kidictator na kiukoo zaidi. Huyu jamaa hafai kabisa kuwa rais.
 
Mkuu, wee ulie tu. Siku akiingiza Dege lake pale Kipawa, basi kidege cha Mkwere itabidi kifichwe.

Jamaa sasa hivi ndiyo anadhaminiwa na ESKIMOS. Na wale pesa kwao ni kama Snow.

Dikteta ni wale watu wanaoiba kura na kushinda kwa Kutumia TISS na NEC.

Kitumbua chenu kinaota Mchanga. Hata CCM sasa wanalalamika BEI kupanda, hahahaaaaaa....

Acha kuropoka wewe....

Dr. Slaa mshahara wake unamkaribia CEO wa COCACOLA wa HQ huko USA.

Jamaa analambishwa kitu kama $ 40 Mlns za US kwa mwaka.

Na Makamu wake Zitto, yuko na mshahara sawa na CEO wa MAERSK, huko Denmark.

Mbowe ndiyo achana naye kabisa. Ni sawa na mshahara wa hao wote wawili hapo juu.

Yaani jamaa wanakula mshahara kwa siku, zaidi ya C Ronaldho.

Wenye wivu WAJINYONGE sana. Chadema tesa maana Tanzania yetu, kutesa kwa zamu.

Taratibu Sikonge, someone might commit suicide without noticing that ur teasing them!
 
Mkuu, wee ulie tu. Siku akiingiza Dege lake pale Kipawa, basi kidege cha Mkwere itabidi kifichwe.

Jamaa sasa hivi ndiyo anadhaminiwa na ESKIMOS. Na wale pesa kwao ni kama Snow.

Dikteta ni wale watu wanaoiba kura na kushinda kwa Kutumia TISS na NEC.

Kitumbua chenu kinaota Mchanga. Hata CCM sasa wanalalamika BEI kupanda, hahahaaaaaa....

Sasa mbona nyie washabiki wa Chadema Mnajicontradict wenyewe? Nyie mnapinga serikali ya CCM kwa kuwa ina matumizi makubwa. Sasa mbona unasifia matumizi makubwa na rushwa iliyoko Chadema?

Hii inaonesha kwamba WTZ wengi bado hawajui wanachokitaka kutoka kwenye vyama vya upinzani.
 
Hizi ndizo mbinu za CCM za kutimiza ile list za ahadi za Kikwete au zile ahadi zilifutwa lini!!
 
Vitu Personal hivyo kijana funga domo... sasa akilipwa vizuri wewe inakuhusu nini?

Mkuu hakusema analipwa vizuri bali analipwa mshahara mkubwa; Kulipwa vizuri ni kulipwa kwa mujibu wa utendaji wako, mahitaji yako na kulingana na uwezo wa mlipaji mshahara wakati kulipwa mshahara mkubwa ni kulipwa pesa nyingi bila kuangalia utendaji wako, mahitaji yako na bila kujali uwezo wa mlipa mshahara!

Inamhusu nini?; Inamhusu kwa sababu kama ni kweli analipwa mshahara mkubwa ni makosa!
 
aaaaaah, ni mkubwa sana. Kwani kuna tatizo gani? Dr analipwa hadi na wananchi wenyewe kutoka mifukoni mwao, tupo millioni 45 ukitoa millioni 5 wana ccm, millioni 40 inamlipa Slaa! lazima awe na mshahara mkubwa, tunampenda sana aisee
 
Rais wa moyo wa Watanzania Million 40,wewe unacheza kila mmoja akitoa buku unafikiri atakuwa anakula bei gani kwa mwezi?umenikera sana kuhoji mshahara wa mtu msafi kwa Dr wa ukweli Rais wa Mioyo ya watanzania milioni 40
 
Kama makatibu wakuu wengine wanalipwa kiasi kidogo inawezekana kabisa hata sifa zao ni za chini
Mfano makamba 4m 4 unataka alipwe sawa na PHD?
fananisha utendaji kazi wao Makamba kapunguza wanachama wa ccm, kakifanya chama kisiaminike kwa wananchi, kapunguza idadi ya wabunge bungeni, kura za mkwere zilipungua kutokana utendaji kazi wa makamba lakini alichokifanya Dr. Slaa sikielezi wewe kifikilie mwenyewe ukiweza niambie nini kafanya.
kama ni kodi tungesema PAYE means Pay as you earn
if you contribute less to the part you will be paid less and the vise versa is true if every thing is constant and no ufisadi.
 
Back
Top Bottom