Ukiona mtu mzima tena ana PHD ya ucha mungu kutoka vatikan anadanganya ujue anazeeka vibaya na ndio matatizo ya kuanza mapenzi uzeeni haya.Kulalama kwa chadema na cuf ni alama tosha kuwa CCM imeisha shinda.
Sasa si ujitokeze kwa ile ID yako inayojulikana, inakuwaje kigogo wa chama kila unapotaka kutoa hoja za kipuuzi unajificha nyuma ya hii mi-ID????? This shows hata wewe unatambua unachokiongea ni pumba. Bado siku nne mkuu vp safari bado ipo??
Sina hakika kama tangu mfumo wa vyama vingi TZ uanze, kuna hata mara moja CCM waliwahi kushinda kihali!
Muongo na mwizi wa kura ni wewe!Ukiona mtu mzima tena ana PHD ya ucha mungu kutoka vatikan anadanganya ujue anazeeka vibaya na ndio matatizo ya kuanza mapenzi uzeeni haya.Kulalama kwa chadema na cuf ni alama tosha kuwa CCM imeisha shinda.
Kama ndivyo basi huwa mnashindwa kihalali . Mbinu mnazijua na mnasema mnazidhibiti halafu mnashindwa, hapo hakuna kuibiwa kura huwa mnashindwa kihalali.
CDM bana mkipingwa kidogo kwa hoja zenu dhaifu mnazoleta ndani, mnaanza kuwatishia watu kuwa ban, sasa hapo watu wataacha kuamini vp kuwa JF ni jukwaa la CDM? ni ngumu kulibishia hili labda uwe zuzu
Ukiona mtu mzima tena ana PHD ya ucha mungu kutoka vatikan anadanganya ujue anazeeka vibaya na ndio matatizo ya kuanza mapenzi uzeeni haya.Kulalama kwa chadema na cuf ni alama tosha kuwa CCM imeisha shinda.
Kazana wewe mtoto wa kiume, hatuko shule hapa kwenda kushitakiana kwa mkuu. Tizama maana ya mpumbavu ndio uanze kulalamika. Hakuna tusi hapo. Mtu akishaanza kuwa punguani ni sawa na mpumbavu.Mods isitoshe tu kuiondoa Post ya Omr isipokua mngempa Ban ya ukweli kwa sababu hawezi mtukana Dr Slaa ndio maana nilijaribu kureply nikaambiwa sina access hyo,kipi cha ajabu ambacho Dr Slaa kakosea juu ya hizo wakati inajulikana wazi kua CCM ni wezi wakubwa wa kura na wanajulikana na mbinu zao chafu za kuiba kura? Madai ya Dr Slaa yana ukweli kabisa sio kupuuza kama baadhi ya wana Magamba wanavyotaka kutuaminisha hapa.
mmeanza kuleta visingizio sasa.chadema inatoa vitisho kuwa itapambana mpaka tone la mwisho, kwani tuko vitani?,tuko tayari kufia kwenye vituo vya kupigia kura,jamani hivi sinivitisho?.visingizio vya nini kama unauhakika wa kushinda?.nyie kila siku mnaibiwa na njia za wizi mnazifaham kwanini msizitumie kama mnazifaham sasa?.