Elections 2010 Dr. Slaa bado ana safari ndefu Zanzibar?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
807915.jpg

Mimi namshauri asubiri 2015 ndo akombee URAIS mana wazanzibar bado hajamkubari
 
807915.jpg

mimi namshauri asubiri 2015 ndo akombee urais mana wazanzibar bado hajamkubari

wewe bado unaota ndoto kuwa zanzibar nia sisi ni wamoja, baada ya zanzibara kupata mafuta wazanzibar yaani ccm-zbar na cuf-zbzr waliungana kwa nia ya kuwzuia wabara kugusa mafuta yao, wameweka serikali ya mseto kwa maana ya maslahi ya taifa lao kwanza vyama vyao baadaye. Hivyo hata sisi kule ni kutimiza wajibu tu, hatuna haja ya kuinvest in a dying horse.
 
Ukisema hivyo UNA MAANA CHADEMA WANAWANYANYAPAAA WAZANZIBAR??

Huu ni ukweli. Kura za Zanzibar haziwezi kufanya mabadiliko yeyote. Jimbo la ubungo lina wapiga kura wengi kuliko ZNZ. Hakuna hja ya kutumia resources kupoteza nguvu ZNZ wakati wapiga kura ni wachache kuliko hata nusu ya Jimbo dogo kabisa la Tanzania Bara.
Huko Ataenda tu kukamilisha itifaki lakini huwezi kusema kuwa Slaa hajakubalika ZNZ hivyo hatakuwa Rais....hiyo Hakuna

Na mbali zaidi Zanzibar ni nchi na Chadema wanalitambua hilo, na kutakuwa na serekali Tatu, hivyo Slaa hana haja na Zanzibar. Yeye atakuwa rais wa Tanganyika.
 
Kama hakubariki zanzibar MUUNGANO ATAUWEZA??
 
kwa nn akubalike kwenye nchi ambayo sio yake...! hatutaki akubalilke zanzibar , wala kenya , wala uganda...!!

huyu ni rais wa TANGANYIKA..!
 
Kama hakubariki zanzibar MUUNGANO ATAUWEZA??

Muungano nani anauhitaji, wazanzibari wenyewe ndio hawautaki, japo ndio wanaofaidi, kwetu bara ukifa ni neema zaidi, ila hatutauua, ili wasije kutusingizia bure, ila wanatutesa kweli hao katika mwavuli wa MUUNGANO, to hell with muungano
 
Wazanzibar wanajua CCM/CUF tu; naona kapiga na kibaragashia kabisa kuonyesha msisitizo; sishangai; ila maendeleo yake yatawavutia akichukua nchi kwa k ura nyingi kutoka bara; heri aondoke huko mapema aende kutoa elimu kwa watanganyika ambao watamutoa kimaso maso

Kumbukeni anaomba urais wa Tanzania sio wa Zanzibar; so kuna maeneo ambayo huenda asipate kura sana na kuna mengine atapata na zanzibar huenda ikawa sehemu moja wapo
 
Kama hakubariki zanzibar MUUNGANO ATAUWEZA??

Muungano unaujua wewe labda! Katika Tanzania, uliza watu wenye umri chini ya miaka 30 kama wanajua huo muungano au faida ya muungano. Hizo ni propaganda tu za CCM, Wazanzibari ndio watakuwa wa kwanza kuuvunja huo muungano na sidhani kama itapita miaka Mitano.

Chadema wameweka wazi kabisa kuwa kutakuwa na Serikali TATU, na Dr. Slaa hajasema kama anataka kuwa kwenye Serekali ya Muungano bali yeye atabaki Rais wa Tanganyika na mtu mwingine atachaguliwa kuwa Rais wa Muungano.

Wewe mtu wa Makete, au mwadui anafaidika nini na Muungano huu wa Sasa? Ndio mana Chadema imewaachia wazanzibar wafanye mambo yao. Huyu ni mtu wa haki hataki kuwakandamiza Wazanzibar kama wanavyofanya CCM.
 
wewe bado unaota ndoto kuwa zanzibar nia sisi ni wamoja, baada ya zanzibara kupata mafuta wazanzibar yaani ccm-zbar na cuf-zbzr waliungana kwa nia ya kuwzuia wabara kugusa mafuta yao, wameweka serikali ya mseto kwa maana ya maslahi ya taifa lao kwanza vyama vyao baadaye. Hivyo hata sisi kule ni kutimiza wajibu tu, hatuna haja ya kuinvest in a dying horse.

Mimi nawaomba kama hamna mambo ya maana ya kuongea msiongee mambo ya uwongo na upuuuzi, msifichuwe upumbavu wenu onyesheni uwerevu wenu, hamtopata sifa kwa kuzua zua mambo ya uwongo uwongo...Lol!
 
JKWAUKWELI wewe mkuu namnagani!?? Mwenzako JKWAUONGO anaharibu nchi sasa mnataka kuua kabisa, maana hao ambao mmewaua kwa sababu ya uzembe wenu bado mnaona hawatoshi!?? Who cares about Zanzibar!?? watu gani hawabebeki mazee!????THIS IS A NEW ERA OF FREE SPEECH AND DEMOCRACY! maana it is time of decision making without worrying about few moaners or whingers who marginalized themselves for some reasons and unnecessarily involving religious matters as a define!. It is a long journey which needs to unite but if one is not then leave them behind na songaaaaaaa! Mungu Ibariki TZ!
 
807915.jpg

Mimi namshauri asubiri 2015 ndo akombee URAIS mana wazanzibar bado hajamkubari

Kwanza: Zanzibar wana udini. Ni wabaguzi, na huo Muungano wanalazimishwa tu hawautaki.

Pili: Zanzibar kuna jumla ya wananchi wangapi hata Chadema waumize kichwa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom