GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Think Twice kama lilivyo jina lako unaishi dunia gani? Huo muda unatosha tena saana. Usikatishe watu tamaa, kama tumedhamilia inawezekana.
Tutoe taadhari kuwa hatukwenda kwenye uchaguzi mpya 2015, bila katiba mpya, huo uwe mkakati wa Watanzania wote!!!!!!!!!!!!!
Wewe unajiweka wapi unaonekana kama haikuhusu vile?
Hakuna Nchi iliyo tengeneza katiba chini ya miaka 10 katika dunia hii. Mchakato unanihusu sana na ni mzuri ila mambo ya zima moto na shinikizo za wanasiasa ndizo nisizo zitaka mie. Na wengi humu mmefuata mambo ya shinikizo, shame on you !