Dr.Slaa apewa kazi nzito

Think Twice kama lilivyo jina lako unaishi dunia gani? Huo muda unatosha tena saana. Usikatishe watu tamaa, kama tumedhamilia inawezekana.
Tutoe taadhari kuwa hatukwenda kwenye uchaguzi mpya 2015, bila katiba mpya, huo uwe mkakati wa Watanzania wote!!!!!!!!!!!!!
Wewe unajiweka wapi unaonekana kama haikuhusu vile?

Hakuna Nchi iliyo tengeneza katiba chini ya miaka 10 katika dunia hii. Mchakato unanihusu sana na ni mzuri ila mambo ya zima moto na shinikizo za wanasiasa ndizo nisizo zitaka mie. Na wengi humu mmefuata mambo ya shinikizo, shame on you !
 
kwa ubongo huo hata ufikiri mara saba hata mara sabini hutafanikiwa. lakini kwa watu makini wanao ona mbele katiba ni swala miaka hata miwili. Zanzibar wamechukua muda gani? Umeona FFU na mabomu yao wanalinda masanduku ya kura zanzibar? . Shida ni hao wanaojua hawakubaliki lkn wanataka washinde kwa kishindo kwa kutumia TUME YAO, ASKARI WAO, MABOmu YA MACHOZI, WAKURUGENZI walio wateua wao kusimamia uchaguzi.

Acha kuwa na ubongo lala wewe fuatilia mambo usifuate mkumbo ! Zanzibar walichofanya ni kufanya mabadiliko ya vipengele vya katiba ili kuruhusu serikali ya umoja wa kitaifa, sie tunachotaka ni kuandikwa kwa katiba mpya. Je zanzibar waliandika katiba mpya kwani ? Fuatilia mambo kijana acha kufuata mkumbo !
 
Kweli Chama hakina hata watu wanao fikiria. Suala la katiba mpya ni mchakato na haiwezekani 2015 tukawa na katiba mpya hata malaika washuke. Hakuna nchi duniani iliyo anza mchakato wa kutengeneza katiba mpya na ndani ya miaka 5 ikawa tayari. Mtamzeesha bure mzee watu na ana machungu ya kushindwa Urais

Unayasema hayo kwa kuropoka au una data? Katiba ya Tanzania tuliyo nayo sasa ilichukua muda gani kuiandika? Katiba ya Tanganyika ilichukua muda gani? For your information the draft and its indorsement took about 4 months. Usizungumze kwa hisia. Kenya ilichukua muda mrefu kwa vile Mwai Kibaki baada ya kuingia madarakani alikuwa hataki kwa vile ingempunguzia mamlaka, lakini haikuwa lazima kuchukua muda mrefu kama ilivyochukua.

Yeyote mwenye nia njema, hata kama ni wa CCM atataka katiba iliyo nzuri. Ukitaka kujua ubaya wa kung'ang'ania katiba mbaya kamwulize Kaunda. Aligoma kubadilisha alipokuwa madarakani, Chiluba alipoingia madarakani alitumia katiba hiyo hiyo kumwaadibisha Kaunda, akawekwa kizuizini. CCM kwa kuwa siku zao zinaelekea ukingoni ni vema wakafurahia mabadiliko ya katiba ili kuwa na uhakika kuwa kiongozi atakayeingia madarakani siku zijazo hatumii katiba hii mbaya kulipiza kisasi.
 
Uzinifu, Ukabila na Udini vinaye yeye JK-Mteule wa NEC

Aliyechaguliwa na wanaadamu kuwaongoza ndiye aliye chaguliwa na Mungu. Uzinifu ( Slaa ameoa au anazini ?), Udini ( walikuwa wanahubiri udini makanisani na mie ni mmoja wapo wa kanisa letu lilifanya hivyo tukakataa), ukabila ( Viti maalum na viongozi wote wa CHADEMA ni kutoka kanda ya kaskazini)
 
Kweli Chama hakina hata watu wanao fikiria. Suala la katiba mpya ni mchakato na haiwezekani 2015 tukawa na katiba mpya hata malaika washuke. Hakuna nchi duniani iliyo anza mchakato wa kutengeneza katiba mpya na ndani ya miaka 5 ikawa tayari. Mtamzeesha bure mzee watu na ana machungu ya kushindwa Urais

Hayo maandishi ya kijani yanafanana na fikra zako zisizo na nguvu ya hoja. Kijani ni rangi ya CCM na ndio wasiotaka mabadiliko ya katiba kwa kuwa katiba iliyopo inawabeba wao. Mabadiliko ya katiba yanawezekana hata ndani ya miaka miwili. Hata mkibisha pasipo na hoja, mabadiliko ya katiba yanakuja kwa kuwa watanzania wengi wanataka iwe hivyo.
 
Unayasema hayo kwa kuropoka au una data? Katiba ya Tanzania tuliyo nayo sasa ilichukua muda gani kuiandika? Katiba ya Tanganyika ilichukua muda gani? For your information the draft and its indorsement took about 4 months. Usizungumze kwa hisia. Kenya ilichukua muda mrefu kwa vile Mwai Kibaki baada ya kuingia madarakani alikuwa hataki kwa vile ingempunguzia mamlaka, lakini haikuwa lazima kuchukua muda mrefu kama ilivyochukua.

Yeyote mwenye nia njema, hata kama ni wa CCM atataka katiba iliyo nzuri. Ukitaka kujua ubaya wa kung'ang'ania katiba mbaya kamwulize Kaunda. Aligoma kubadilisha alipokuwa madarakani, Chiluba alipoingia madarakani alitumia katiba hiyo hiyo kumwaadibisha Kaunda, akawekwa kizuizini. CCM kwa kuwa siku zao zinaelekea ukingoni ni vema wakafurahia mabadiliko ya katiba ili kuwa na uhakika kuwa kiongozi atakayeingia madarakani siku zijazo hatumii katiba hii mbaya kulipiza kisasi.

Kweli historia ilikupita kushoto, na nina wasiwasi wewe kama ni mtanzania aisee. Katika ya Tanganyika ilikuwa ni copy and paste ya katiba ya uingereza, unalijua hilo? Hivi suala la ku-copy and paste unategemea lichukue muda gani? hata wiki moja ingetosha. Sie tunacho taka ni kuandika katiba upya, au wewe una taka copy and paste ?. Tanzania bila CCM haiwezekani mkuu, mnajidanganya tu humu JF , sijui wapiganaji, sijui wadai mabadiliko, sijui nguvu ya umma , sijui tupange mikakati, hayo yote watu tunawatizama tu. Nchi hii hamuipati ng'o !
 
Kha!!!! we vip.... so unataka kusema hii nchi ni ya kwako!!!! watch your dirty mouth... Tanzania ni ya watanzania sio ya CCM! Unaboa sana unatakiwa u...:whoo::whoo::whoo:
 
Kweli Chama hakina hata watu wanao fikiria. Suala la katiba mpya ni mchakato na haiwezekani 2015 tukawa na katiba mpya hata malaika washuke. Hakuna nchi duniani iliyo anza mchakato wa kutengeneza katiba mpya na ndani ya miaka 5 ikawa tayari. Mtamzeesha bure mzee watu na ana machungu ya kushindwa Urais

Tatizo ni fikra mfu ndani ya 'mwili unaoishi'

maybe ungekuwa pia na mtu wa kukupa msaada wa fikra hai, ungekuwa sawia na malengo yanayokupa dira kuwa katiba mpya yawezekana ndani ya miaka mi3 tu sembuse miaka mi5 unayokwama kutafsiri.

kama nguvu ya operesheni sangara na kampeni za uchaguzi vilidumu kwa miezi isiyozidi mi4 na watanzania walifanya maajabu mbali na manyang'au kuvuruga kwa uchakachuaji, je wjtanzania wakielimishwa ndani ya mwaka mmoja, NGOs na taasisi nyeti za kuraia kuunganisha nia na malengo ndani ya miezi 6, nakuhakikishia ndani ya mwaka na nusu draft ya kwanza itapatikana na ktk mwaka wa 2 maoni na katiba mpya.
 
aaah Dr.bana hivi tamko lako utatoa lini mi niko standbye muda wote nasubiria tu utoe tamko ....maana kuna jizi limeiba kura na inafahamika hivyo

Mwongo huyo alikuwa anajikosha tu. Endelea na shughuli zako utapoteza muda wako bure kwa kusubiri kitu ambacho hakipo. Wote hao ni wasanii tu.
 
Ni jambo la kushangaza kuwa huyu THINKTWICE ANAAANZA NA VIKWAZO VYA MUDA KABLA HATA YA KUJUA HADIDU REJEA YA KUANDIKA KATIBA YENYEWE! PAMOJA NA KUTAMBUA UMUHIMU WA RASLIMALI MUDA KTK KUPANGA NA KUANDAA KATIBA INAYOTOKANA NA WATU, NI KWAMBA SISI HATUTAAZA KITU TOKA HEWANI....SISEMI YA KU-SLASH 'N BURN KATIBA ZA NCHI NYINGINE, LAKINI INAWEZEKANA KUANDAA KATIBA WITHIN THE NEXT TWO YEARS PAMOJA NA MUDA WA KUFANYA TAFTISHI NA WADAU MBALIMBALI! KINACHOHITAJIKA HAPA NI UTASHI WA KISIASA NA WALE WANAOKALIA MADARAKA KUJUA NCHI HII SI YAO NA WATOTO WAO BALI YETU SOTE! KAMA WAKIJUA KUWA WAPO MADARAKANI KWA KUWA SISI TUMETAKA (EITHER THROUGH KUPIGA KURA AU KWA KUTEULIWA NA WATUMISHI WETU), WAJUE SISI TUNAWALIPA MISHAHARA NA TUNAWAHANGAIKIA KURA YAO PAMOJA NA WALE WANAOWATEGEMEA. HIVYO NGUVU YETU IKITAKA KATIBA HAKUNA WA KUZUIA. NINAJARIBU KUFIKIRIA HALI INAWEZA KUWAJE ENDAPO KATIBA ILIYOPO YENYE VIRAKA KIBAO INAWEKWA KANDO NA TUNAENDESHA NCHI BILA KATIBA! LABDA WANAJAMVI WATUJULISHE UZOEFU TOKA NCHI NYINGINE AMBAZO HAZINA KATIBA INAKUWAJE
 
Aliyechaguliwa na wanaadamu kuwaongoza ndiye aliye chaguliwa na Mungu. Uzinifu ( Slaa ameoa au anazini ?), Udini ( walikuwa wanahubiri udini makanisani na mie ni mmoja wapo wa kanisa letu lilifanya hivyo tukakataa), ukabila ( Viti maalum na viongozi wote wa CHADEMA ni kutoka kanda ya kaskazini)
alie jichangua ndiyo chaguo la Mungu hapo ninge kuelewa, je misikitini walikuwa wanahubili mavi, unasema wewe ni mmoja wa kanisa ambalo walihubiliwa udini muliambiwa nini....
 
Waepushe viongozi wake waache Uzinifu, waache ukabila na waache udini ambao wako nao hivi sasa

Watu wengine mnaa akili kinyesi sijawahi ona..... Unatumia Makalio kufikiria nini? Hebu siku moja jaribu hata kutumia kichwa chako japo IQ yako inakaribia kuwa kama ya mtu mwenye mtindio wa Ubungo, we unafikiri hiyo katiba wanayoitaka Chadema ni kwa maslahi ya CDM pekee.. Fungua basi hata masikio usikie kama hata kuona huoni.. Halafu uanjiita ThinkTwice,,.ThinkTwise Ushuziiiiiiiiiiiii
 
Mwongo huyo alikuwa anajikosha tu. Endelea na shughuli zako utapoteza muda wako bure kwa kusubiri kitu ambacho hakipo. Wote hao ni wasanii tu.
Kwa kuzoea wale wasanii wa kwenu, umejenga fikra kuwa kila mtu ni msanii? Aibu sana.
 
Back
Top Bottom