Dr Slaa anastahili pokea huo mshaara.

Status
Not open for further replies.

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Watu wengi wamekuwa wakiushangaa mshahara wa Dr. Slaa, baada ya kutafakari sana. Sijaona tatizo lolote juu ya hilo kwa sababu kuu mbili, ntaitoa moja tu hapa: alijitoa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi, akafanya kazi kubwa na upinzani ulionekana kuwa na nguvu, hakuweza kuingia ikuli ila anastahili kuwa hata the most paid politician kutokana na kazi aliyoifanya kwenye uchaguzi uliopita, kwani impact yake ni kubwa sana.
 
Doctor wa ukweli, Rais wa Watanzania, ana hadhi ya kupewa mshahara huo. Mbona Dk nanii Raisi wa NEC anapata zaidi saaaana!
 
Ni kweli kamanda wangu Dr anastahiri huo mshahara,kwanza wajumbe wa almashauri ndiyo tuliopitisha hakuna kitu kilichovichwa,nadhani Nape kwanza hajui mana ya neno ufisadi?huyu bwana mdogo Nape siasa imemshinda kwanza ni nani asiyejua baada ya kutopitishwa na CCM kugombea ubunge jimbo la UBUNGO,alijipereka chadema akawa anamfanyia kampeni MNYIKA,picha zake tunazo zote akiwa anafanya kampeni na Mnyika,sasa sidhani kama maadili yake ya chama CCM Yanamruhu kufanya hivyo?HUYU DOGO NI LIMBUKENI WA SIASA.
 
Anastahili kuongezewa. Kama wanamlipa huo mshahara hawamtendei haki, unless kuna benefits ambazo hazijawa disclosed.
 
Mimi sioni tatizo kabisa kwani ni mshahara halali alio-negotiate na chama chake na chama kulidhia. Hata sisi huku ni kawaida ku-negotiate malipo kabla ya ku-sign contract. Nafikiri hakuna contract isiyokuwa na negotiation. Je, Dr. Slaa anawaibia Chadema kwa kulipwa mshahara huo? Je, maamuzi ya kulipwa mshahara huo aliyafanya yeye mwenyewe au yeye na m/kiti tu? Je, hiyo ni Gross au Net pay? Mbona sisi mkurungezi wetu anapokea karibu million 9 net pay, je naye ni mwizi?

Kwa kifupi hii sio hoja wala issue, Nape hana kitu na wala si mwanasiasa bali ni mouthpiece ya JK!!!!!! Kwanza amemalizana na mafisadi papa wa CCM?
 
Nakua siwaelewi watu wanaopinga mshahara wa drslaa, anapaswa kupokea hata mil.10 au zaidi.
 
mshahara wake unatosha kulipa walimu wangapi...? niliuliza na sasa nauliza tena...!
 
Kazi aifanyayo yaeleweka, bt kwa wale wazembe km mukama, mshahara wa 11 ml ni Anasa kwao!
 
mshahara wake unatosha kulipa walimu wangapi...? niliuliza na sasa nauliza tena...!
nenda kaulize serikali yako unayoilipa kodi, unataka dk slaa awalipe walimu? tumia akili yako vizuri, dk wa ukweli tuko pamoja, kama kilaza mukama analipwa m 1o iweje kwa dr slaa? sisi wote tunakili kwamba amefanya kazi kubwa kwa manufaa ya taifa hili, go dk go
 
Watu wengi wamekuwa wakiushangaa mshahara wa Dr. Slaa, baada ya kutafakari sana. Sijaona tatizo lolote juu ya hilo kwa sababu kuu mbili, ntaitoa moja tu hapa: alijitoa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi, akafanya kazi kubwa na upinzani ulionekana kuwa na nguvu, hakuweza kuingia ikuli ila anastahili kuwa hata the most paid politician kutokana na kazi aliyoifanya kwenye uchaguzi uliopita, kwani impact yake ni kubwa sana.

Touchelife, Hakuna namna ya ku-over emphasize the fact kuwa Dr WS anapata mshahara mkubwa. Ukweli ni kwambwa huwezi kulinganisha kazi anayoifanya na mshahara anaoupata; anafanya kazi kubwa mno; anastahili zaidi sana kuliko Mukama.

thanks for the post.
 
Mimi sioni tatizo kabisa kwani ni mshahara halali alio-negotiate na chama chake na chama kulidhia. Hata sisi huku ni kawaida ku-negotiate malipo kabla ya ku-sign contract. Nafikiri hakuna contract isiyokuwa na negotiation. Je, Dr. Slaa anawaibia Chadema kwa kulipwa mshahara huo? Je, maamuzi ya kulipwa mshahara huo aliyafanya yeye mwenyewe au yeye na m/kiti tu? Je, hiyo ni Gross au Net pay? Mbona sisi mkurungezi wetu anapokea karibu million 9 net pay, je naye ni mwizi?

Kwa kifupi hii sio hoja wala issue, Nape hana kitu na wala si mwanasiasa bali ni mouthpiece ya JK!!!!!! Kwanza amemalizana na mafisadi papa wa CCM?

Haswa hilo ndilo lilikuwa lengo la kumuweka kwenye hiyo nafasi. Hata Makamba halikuwa chaguo lisilotazamiwa. Wote wanasifa ya kuropoka na bila kuona matokeo yake ni nini?
Hivyo tunategemea maropoko mengine zaidi kama atakavyokuwa anaelekezwa na jk. ccm oye, hoi!
 
Ha ha ha ha
HAkuna tofauti, kati ya vyama hivi, na ngoja njaa ije tu kumalizia kazi.
KAma mawazo yenyewe ndo haya.Mhhhh kweli Mungu huwapa watu kiongozi kulingana walivyo, na haiwezekani kwa kweli kuwa na lulu ukawatupia nguruwe.
 
mshahara wake unatosha kulipa walimu wangapi...? niliuliza na sasa nauliza tena...!

kwani yeye ni mwalimu. Pili yeye ana elimu kubwa ambayo angeweza kulipwa zaidi ya hapo. Kama nawe ni mwalimu nenda shule utapata mshahara mzuri.
 
kweli kupenda kubaya....mpenda CHONGO huita KENGEZA.... kwa dr.slaa imekuwa mshahara mdogo? du safari ni ndefu
 
Ha ha ha ha
HAkuna tofauti, kati ya vyama hivi, na ngoja njaa ije tu kumalizia kazi.
KAma mawazo yenyewe ndo haya.Mhhhh kweli Mungu huwapa watu kiongozi kulingana walivyo, na haiwezekani kwa kweli kuwa na lulu ukawatupia nguruwe.

mheshimiwa punguza ukali wa maneno
 
mwizi mmoja alikamatwa.....wakati anahojiwa kama aliiba ama la yeye akasema MBONA NA JUMA NAYE KAIBA HAMJAMKAMATA......
 
Hapo ndipo unafiki wa slaa na wenzake unapoanzia, nitashangaa kama hawa cdm wakisakama mishahara ya wenzao. Kweli nyani haoni kundule.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom