Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

Status
Not open for further replies.
Hahaahaha,

Dr ametoka nduki.

Chadema hawana ubavu wa kusimama na CCM.

Nape peke yake mnamuogopa je ingekuwa safu nzima ya CCM ingekuwaje?

Ndugu punguza mapenzi ili uweze kuwa huru,mm ccm lakini ww ambaye umehamia umezidisha mapenzi mpaka napata wasiwasi ukikosa unachokitaka je utotugeuka
 
Hata ningekuwa mie Slaa ningetoka nduki
Nipangwe na Nape? Niongelee uchambuzi wa nini?
Mtu ambaye hawezi jutofautisha 'cheti cha sekendare' na 'cheti cha ualimu'?

Hili ni tusi kwa Slaa kumpanga mjadala na Nape wajadiliane.
 
kama sikosei nchemba ndo naibu katibu mkuu...tayari alishakutanishwa na zitto kama naibu katibu mkuu wa cdm... Nape anatakiwa akutanishwe na mnyika...nadhani unakumbuka vizuri mdahalo wa ndugai na lisu ulivyokuwa wa upande mmoja....

mnyika hana elimu ya kumwezesha kujadili mambo na nape. Form sx leaver huwezi kumkutanisha na mtu mwenye elimu ya degree
 
Umeandika yoote hayo lakini naomba ubadilishe heading isomeke
''KINANA AMKIMBIA Dr. SLAA KATIKA MJADALA ITV''

 
Hongera sana Dr. Slaa kwa uamuzi sahihi, jamani tuwe serious, Nape kwa uelewa gani akae meza mmoja ni Dr. Slaa? Kinana ndiyo wa level ya Slaa sio tu kicheo, vilevile kinana ni almunae wa Havard at masters level na anauzoefu wa muda mrefu katika siasa za nchi yetu. So mjadala ungekuwa mzuri na wa manufaa kwa taifa letu. Watu wa ITV wamekosea wangetakiwa kumtaarifu Dr. Slaa juu ya uzuru wa Kinana ili nae Dr. Slaa amtume mtu wa level ya Nape.
 
nilishashauri kitambo umri kama wa slaa,lowasa siyo wakati wao tena katika siasa ambazo kwa kiasi kikubwa zinatawliwa na mawazo mapya ya vijana lakini kwa umri wa slaa hawezi tena kushindana na vijana.

wehu bana
 
Ingefaa ITV waandae mdahalo mwingine na kusiwe na mtu wa kutoa udhuru,kinachonishangaza mimi ni kuwa ilikuaje Kinana aote udhuru bila Dr Slaa kujlishwa na kufikia kukutana na Nape ITV?Huu ni uhuni maana kama mimi naenda kukutana na mwenye dhamana ambaye akitoa msimamo unachukuliwa ndio msimamo wa chama halafu kufika nakutana na mtu ambaye akisema jambo si msimamo wa chama maana hana mamlaka ukweli ni kuwa siwezi kuzungumza nae na kwangu itakuwa ni dharau,hii ipo hata kwenye biashara na sehemu nyingine.
 
mzee wa meno ya ndovu kaingia mtini dakika za majeruhi,huu ndio uhuni wa ccm siku zote,jk alimkimbia dr.slaa utakuwa wewe mropokaji uliyeshindwa kuwavua gamba mafisadi lowassa,chenge na jk!!!
 
Hata kama ingekuwa mimi nisingekubali kamchezo kakipumbavu kama hako. Nape? ... Makubaliano yalikuwa ni kuwakutanisha makatibu wakuu. Sasa kama ni shughuli nyingi kwani CHADEMA hawana shughuli nyingi? Mnataka Umma uelewe nini kutokana na hili tukio?...
Kinana pamoja na mapungufu yake ni mtu ambaye Dr Slaa angweza kukaa nae meza moja na kuongelea mambo yenye maslahi mapana kwa nchi yetu. Si huyu mwimba Taarabu asieleweka kwa kauli zake zenye kumponyoka kama ushuzi wa ngomani. Oh CDM ni ya Wachagga, Oh CDM ni ya Kidini? Oh Rais hatoki Kaskazini, Oh nilinukuliwa vibaya kwenye zoezi la kuvua Gamba!... Popo si ndege ...unamambo!!!

Wekeni tarehe na siku ambayo kinana atakuwepo ili tuone na kusikia sera za vyama hivi viwili ...otherwise mimi naichukulia kama ni strategy ya kumkimbia Dr Slaa na badala yake mkampeleka mwimbaji wa bendi ya Kibaokata...

well said...nazadi kinana ameenda kusomea jinsi ya kuonea na slaa
 
mkuu umekomaa kwenye mambo ya uchambuzi nimeangalia post zako kweli ni za mtu aliyeenda shule,kwa mujibu wa post hii nimeielewa ni kweli mzee slaa hawezi kukaa na nape hii ni kuchoka kwa wazee wetu hawa kisiasa.
 
Hata ningalikuwa mimi ningalikataa kujadiliana na Nape kwa sababu kuu mbili
Mosi dont ague with a fool people might not notice the difference.
Nape, kisiasa sio ngazi ya Dr. Slaa. Level ya Dr. Slaa ni Abrahaman Kinana au Rais Kikwete. Mtu anayesema Nape ana uwezo wa kujenga hoja sijui hoja zipi unazoweza kumfananisha Nape na Dr. Slaa? Kwa wanaojua ukweli ni kama kulinganisha Mlima Kilimanjaro na Kichuguu.
 
Kutoka nduki kuna tafsiri nyingi sana

Nikiandaa mjadala wa mambo ya kisiasa kitaifa, nikakupanga upambane na konda wa daladala(kwa heshima zote)

Utaenda? Bila kujali level za uelewa wenu?

Labda kwanza niulize, mantiki ya mjadala ulikuwa nini?


Hahaahaha,

Dr ametoka nduki.

Chadema hawana ubavu wa kusimama na CCM.

Nape peke yake mnamuogopa je ingekuwa safu nzima ya CCM ingekuwaje?
 
Hahaahaha,

Dr ametoka nduki.

Chadema hawana ubavu wa kusimama na CCM.

Nape peke yake mnamuogopa je ingekuwa safu nzima ya CCM ingekuwaje?

Unajichekesha nini?... Au kina shigela wameshamaliza kazi?..
 
Hongera Dr. Slaa kwa kukimbia mdahalo; wewe ulijipanga kuongelea UZUSHI wa meno ya tembo; Kwa NAPE hoja hiyo isingekuwa ma mashiko. Nakupongeza kwa kutambua usingeweza kubadili jambo ambalo ulikariri
 
Hongera sana Dr. Slaa kwa uamuzi sahihi, jamani tuwe serious, Nape kwa uelewa gani akae meza mmoja ni Dr. Slaa? Kinana ndiyo wa level ya Slaa sio tu kicheo, vilevile kinana ni almunae wa Havard at masters level na anauzoefu wa muda mrefu katika siasa za nchi yetu. So mjadala ungekuwa mzuri na wa manufaa kwa taifa letu. Watu wa ITV wamekosea wangetakiwa kumtaarifu Dr. Slaa juu ya uzuru wa Kinana ili nae Dr. Slaa amtume mtu wa level ya Nape.

slaa vs kinana....hapo sawa.... well said
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom