Elections 2010 Dr. Slaa ahutubia Maswa

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Nimepata taarifa kuwa mheshimiwa Dr.Slaa amemaliza kuhutubia mkutano mkubwa wilayani maswa akijumuisha majimbo mawili ya Maswa Mashariki kwamgombea John Shibuda na Maswa Magharibi kwa Kasulumbayi wote CHADEMAAAA.Mkutano huo umefanyika mjini maswa.Kwa sasa Dr.SLAA yuko angani kuelekea MWANZA kuhutubia mkutano wa hadhara mchana huu.Taarifa zaidi baadae.

TAARIFA ZA KUFURAHISHA NA ZA UHAKIKA NI KWAMBA MZEE mwasisi wa TANU na mwenyekiti wa wilaya ya Maswa wa CCM Mh.Charles Bukoye amehamia CHADEMA TOKA CCM na kwa leo ndiye alikuwa na jukumu la kumkaribisha DR.SLAA kuwahutubia wananchi wa Maswa.
 
kheeee sasa yule mzee wa TANU kule mtwara anasubiri nini kuhamia CHADEMA
 
TAARIFA ZA KUFURAHISHA NA ZA UHAKIKA NI KWAMBA MZEE mwasisi wa TANU na mwenyekiti wa wilaya ya Maswa wa CCM Mh.Charles Bukoye amehamia CHADEMA TOKA CCM na kwa leo ndiye alikuwa na jukumu la kumkaribisha DR.SLAA kuwahutubia wananchi wa Maswa.

Good:

Wasiwasi wangu watu hawa wasipewe jukumu la kutafuta mawakala wa kusimamia uchaguzi. Huwezi kujua wana mkono wa nani. Sasa hivi ni kuchallenge kila "status quo"
 
Kuna watu wanadhani watu wanaokwenda kumsikiliza slaa ni walewale wa 1995 waliokwenda kumsikiliza kilaza Mrema.

Huyu mtu (Slaa) ni mtu anayejua wajibu na haki. zaidi sana kutenda kazi na kutimiza ahadi.
 
Good:

Wasiwasi wangu watu hawa wasipewe jukumu la kutafuta mawakala wa kusimamia uchaguzi. Huwezi kujua wana mkono wa nani. Sasa hivi ni kuchallenge kila "status quo"
nakuunga mkono ndugu , maana kuna mahali nimesikia watu wa ccm wamepandikizwa ili wawe mawakala wa chadema, bahati nzuri taarifa hizo zimekwishawasilishwa kwa viongozi wa chadema mkoa na wanazifanyia uchunguzi.
hawa mawakala wa chadema kweli wataapa au ndio kimchezo mchezo tu?
 
Kwa taarifa nilizopata huyu mzee Mwanae alikuwepo kwenye mtanange wa kura za maoni za CCM kipindi cha 2005 akapigwa chini na akajitosa tena mwaka huu 2010 akapigwa chini kwani rushwa pale maswa ilikuwa nje nje.Huyu mzee alikuwa mstari wa mbele kumpigia kampeni mwanae kwa vipindi vyote 2005&2010 lakini haikusaidia.Inaonekana amechoshwa na dhuruma za CCM hasa ikizingatiwa yeye ni mmoja wa waasisi na pia nagependa mwanae apokee kijiti cha uongozi.
 
Hizo ni khabari njema mno...............Yafaa khabari njema namna hiyo ziendelee hadi siku ya uchaguzi...............
 
safi sana,ila asi aminiwe na kupewa majukum yoyote tofauti na kupiga kampeni kwa sasa maana hatuwezi jua kaingia kwa mema au mabya
 
SLAA NI RAIS WA UKWEL... AU SIO WADAU WA JF??? MANA ANAYO NGUVU YA USHAWISHI WA MANENO, TOFAUTI NA YULEEE WA UPANDA WA PILI HADI AAMBATANA NA WANAMZIKI NDIO RAIA WAENDE KWENYE MKUTANO WAKE... :A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
jamani slaa ndo mkombozi wa hili taifa maana huyu kilaza aliyeko madarkani anatuangamiza na ukilaza wake
 
Back
Top Bottom