Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

Lowasa pekee atosha,Lowasa ni Mpango wa Mungu

attachment.php


Hapo hakuna hata senti iliyotumika kuwapa hawa jamaa!
 
Go Go Go Dr Slaa the fifth Presdent

Asante mbeya kwa heshima kubwa kwa Rais wetu.Mkutano kama huu maccm yangetumia zaidi ya 200mil kusomba watu na malori
 
Mtoi hili la uwanzishaji wa kanda ndiyo kigingi cha utawala wa CCM ...kura Rais zitajulikana usiku ule ule....

Lakini leo tunaona Dr.Slaa anapata watu wengi wengi kwenye mikutano yake.... ni kwa sababu chama kimeimarika kule majimboni

Hebu tujiulize kidogo...hivi 2010 hali ilikuwaje ukilinganisha na leo? Wananchi wanaendelea kutuamini.... 2015 tujiandae kuwatumikia watanzania hawa

Cha msingi tuendelee kufikiri namna ya kupunguza ukubwa wa serikali hii ..Ondoa kabisa wakuu wa wilaya ....kisha unganisheni hizi wizara ili kupunguza matumizi ya fedha
 
Ili Tanzania ipone hakika ina mhitaji kiongozi aina ya Dr Slaa. Huyu mzee ni baraka kwa nchi hii, ndie pekee anayeweza kuivusha Tanzania kutoka mahali ilipo. Ana uthubutu wa kufanya maamuzi ndio maana hakuogopa kuwataja hadharani MAFISADI 12 kwenye ile list of shame pale Mwembeyanga.

Hao wa ccm kila unaye mgusa ana mazonge mazonge yake ya kiungozi.

Kwa safari ya uhakika na Tanzania yeye neema Dr Slaa anatosha sana.

S - SHUJAA
L - LAZIMA
A - ASHINDE
A - ASUBUHI kabla ya saa 4
 
Asantee Daktarii maccm yanaumbuana tu.Ni kama kichamaa mmoja Lawass kakimbia na nguo yote yanamfukuza.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA - kimemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu DAMIAN LUBUVA kutoa kauli na msimamo wa tume hiyo juu ya hatma ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuhusu mahali watakapopigia kura ili haki za vijana hao isipotee.



Chanzo :Radio One

My Take: Tunashukuru kilio cha Wanavyuo kimesikika.
 
Mimi nilikuwa nashauri waingie road kuipigania haki yao ya kikatiba wasisubiri vyama vya siasa kuwasemea
 
Kaka mie bila Slaa sipigi kura maana siwezi chagua Maongo na Majizi ya Chama cha Kijani ambayo leo yalikuwa yanaongea kama siyo sehemu ya serikali.
 
Pigeni sana kampeni lakini raisi ni Lowasa,hamuwezi shindana na nguvu za Mungu

Amka kijana! Huu sio wakati wa kulishwa matumaini hewa tena! Ni wakati wa UHAKIKA wa elimu yako, mkopo wako, ajira yako, afya yako na Maendeleo ya Taifa letu.

Dr Slaa anasema "...Huu si wakati wa mama mjamzito kuwa na matumaini anapokwenda kujifungua, bali ni wakati wa kupata uhakika kuwa akapata huduma bora, kitanda na atarudi salama nyumbani baada ya kujifungua na sio kama ilivyo sasa ambavyo Mimba kwa mwanamke imekuwa kama jaribio la kifo..."
 
Pigeni sana kampeni lakini raisi ni Lowasa,hamuwezi shindana na nguvu za Mungu

Mkuu rekebisha kauli yako kidogo badala ya "hamuwezi shindana na nguvu ya pesa" isomeke "hamuwezi shindana na nguvu ya pesa" Jana watu wengi walikuwa si wenyeji wa Arusha, ndo maana guest house na hotel zote zilikuwa zimejaa siku mbili kabla ya tukio.
 
wao wacha waendelee kuigiza kutangaza nia....sis tunawaweka sawa wapiga kurad
Dr.slaa is a one in millions choosen by God.....go dr.slaa
 
Last edited by a moderator:
Go Go Go Dr Slaa the fifth Presdent

Asante mbeya kwa heshima kubwa kwa Rais wetu.Mkutano kama huu maccm yangetumia zaidi ya 200mil kusomba watu na malori

Mheshimiwa Diwani

Jana nyumba za Kulala wageni Arusha zilijaa na bila aibu Mc akatangaza kuwa ilibidi watu wengine walale uwanjani. Kilicho fanyika ni yale maigizo ya Dodoma ya kipindi kile yamehamishwa Arusha jana.

Watu wamesombwa na kupewa Chakula na Nauli. Nguvu zote hizo za fedha ni kuusaka tu urais?! Ccm wangekuwa na akili wangeanza kujiuliza hapa, iweje mgombea mmoja atulie fedha kwa udi na uvumba!!? Ana dhamira na nia ya dhati kuliko wagombea wengine?!
 
Raus wa Tanzania Dr Wilbroad Peter Slaa atangazwa rasmi kuwa Rais wa awamu ya 5
 
Back
Top Bottom