Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

[h=3]Theory of mind[/h] Simon Baron-Cohen (1999) argues that theory of mind must have preceded language use, based on evidence of use of the following characteristics as much as 40,000 years ago: intentional communication, repairing failed communication, teaching, intentional persuasion, intentional deception, building shared plans and goals, intentional sharing of focus or topic, and pretending. Moreover, Baron-Cohen argues that many primates show some, but not all, of these abilities. Call and Tomasello's research on chimpanzees supports this, in that individual chimps seem to understand that other chimps have awareness, knowledge, and intention, but do not seem to understand false beliefs. Many primates show some tendencies toward a theory of mind, but not a full one as humans have. Ultimately, there is some consensus within the field that a theory of mind is necessary for language use. Thus, the development of a full theory of mind in humans was a necessary precursor to full language use.

Source: Origin of language - Wikipedia, the free encyclopedia
 
(1)Nawe ukawajulisha ukawapa na mbomu ya kutosha

(2)Na kweli mkayatumia hayo mabomu kumuua mwangosi, tumeshuhudia safu nzimaya ccm ilivyosherehekea, kuanzia msajili wa vyama, mawaziri, mpaka katibu mwenezi

(3)Safari ya Said Mwema Iringa ni ushahidi tosha kubaini wanavyohangaika, Wanahangaika kuficha ushahidi, wanahangaika kutafuta wa kumfikisha mahakamani, wanahangaika kutafuta shitaka, wanahangaika kuidanganya jamii kwa kutumia TBCCCM, wanajiandaa kwenda The Hague

Naamini mtakubaliana nami kuwa Saidi Mwema hana chembe ya uadilifu, alipaswa kum-prove wrong Dr. Slaa kwa kuwa kinyume kabisa na sms yake na angekuja na ujumbe wake huu kutuaminisha kuwa alishawishiwa kwenda kinyume na maadili ya kazi yake tungejaribu kumsikiliza

1:Kwa hiyo kwa uelewa wakoulitaka msg Slaa aliyomtumia IGP iwe ndio mwongozo wa polisi kufanya kazi siku hiyo? Are you convincing that the Slaa's massage to IGP automatically granted Slaa and followers the ticket of the day for violence and fightings which killed Mwangosi!!

2:polisi kuonekana na silaha maeneo ya mkusanyiko ndio mara ya kwanza? Polisi wana haki ya kubeba silaha au hawana?

3:Unadhani hakuna uwezekano Slaa akatoa vitisho kama alivyofanya na kisha mauaji yakafanywa na mtu mwingine under cover of police? Au hujui hata ndani ya Chadema kuna wauaji?
 
Kwa jinsi ninavyojua Dr Slaa ni msomi na anajua sheria hawezi kuandika utumbo kama huo,hao ni policcm ambao upeo wao ni mdogo na wanadhani kuandika hivyo watapotosha watu waone chadema haifai,ila wamesahau kizazi cha sasa hakidanganywi kirahisi namna hiyo
 
SLAA AMTISHA IGP MWEMA

  • Atuma ujumbe, asisitiza kuvunja sheria
  • Mrema aja juu, CHADEMA inabebwa
  • UVCCM wamshukia John Tendwa.

Vurugu za CHADEMA mikoani zimechukua sura mpya, baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa, kumtumia ujumbe wa vitisho Mkuu wa Jeshi la polisi(IGP), Said Mwema.

Ujumbe huo uliotumwa kwa njia ya simu ya mkononi unamtaka IGP Mwema kuhakikisha askari wanakuwa na mabomu ya machozi, bunduki na vifaa vya kutosha kwa ajili ya kupambana na wafuasi wa CHADEMA watakaokuwa wakifanya maandamano katika maeneo mbalimbali nchini.

Dr Slaa pia amesema iandaliwe karamu ya mauaji, kwa kuwa wafuasi wa CHADEMA wamejipanga kukabiliana na polisi wataksokuwa wakiwadhibiti.

Pia amemueleza IGP Mwema na askari wake wajiandae kufikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC), iliyoko The Hague, nchini Uholanzi.

Kamanda wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja, alisema hayo jana alipozungumza na gazeti hili kuhusu vurugu zilizotokea juzi, mkoani Iringa na kusababisha kifo cha mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha chanel ten, Daudi Mwangosi.

Chagonja alinukuu ujumbe uliotumwa kwa IGP mwema uliosema “Wajulishe polisi wako waandae risasi za kutosha, mabomu ya kutosha maana mtakuwa na karamu ya mauaji na kisha kusherehekea, mjiandae kwa kwenda mahakama ya The Hague”

Akizungumzia ujumbe huo, Chagonja alisema unaonyesha kiburi,ukaidi na kutotii sheria, hivyo jeshi la polisi litachunguza na kutoa taarifa kuhusu hatua zitakazochukuliwa.

Inawezekana, kwa kutumia ule mtambo kufoji msg wa RIZIWANI
 
Huyu chagonja mbona anasoma ujumbe nusunusu aanze mwanzo kwanini Dr slaa alitoa kauli hiyo,mbona kile kipengele cha tumechoka kuonewa na policeccm na sababu za kuonewa alizoandika Dr slaa kwenye ujumbe huo hajazisema.
 
1:Kwa hiyo kwa uelewa wakoulitaka msg Slaa aliyomtumia IGP iwe ndio mwongozo wa polisi kufanya kazi siku hiyo? Are you convincing that the Slaa's massage to IGP automatically granted Slaa and followers the ticket of the day for violence and fightings which killed Mwangosi!!

2:polisi kuonekana na silaha maeneo ya mkusanyiko ndio mara ya kwanza? Polisi wana haki ya kubeba silaha au hawana?

3:Unadhani hakuna uwezekano Slaa akatoa vitisho kama alivyofanya na kisha mauaji yakafanywa na mtu mwingine under cover of police? Au hujui hata ndani ya Chadema kuna wauaji?

Kama ndani ya CDM kunawauaji wamekuwaje huko miaka mingi na police makini isiwakamate kama si dhaifu maana muuaji ataitwa hivyo tu kwakuwa aliwahi kufanya hivyo kwa mikono yake mkuu umedhihirisha hakunajeshi la police bali nigenge la wahuni tu,mkuu DrSlaa si amiri jeshi mpaka amri yake Mwema aitekeleze unless uprove serikali navyombo vyake vinaendeshwa na viongozi wa Cdm na si magamba.
 
Sijui kama raia anaweza kumtishia polisi mwenye silaha na mabomu ya kuulia waandishi na wauza magazeti.
 
Kama ndani ya CDM kunawauaji wamekuwaje huko miaka mingi na police makini isiwakamate kama si dhaifu maana muuaji ataitwa hivyo tu kwakuwa aliwahi kufanya hivyo kwa mikono yake mkuu umedhihirisha hakunajeshi la police bali nigenge la wahuni tu,mkuu DrSlaa si amiri jeshi mpaka amri yake Mwema aitekeleze unless uprove serikali navyombo vyake vinaendeshwa na viongozi wa Cdm na si magamba.

Hivyo hivyo ujumbe alivyosoma Chagonja inatosha. Kwa vile Chagonja ni mpuuzi ndio maana karuka maneno ya kwanza, kwa sababu ni mbeya, muongo, mfitini, mnafiki, mbweha na muuaji all in one person!!!?

Sasa hapo kwenye hayo maneno ya Dr. Slaa kuna tusi? Kuna vitisho hapo? Hivi hawa watu kama chagonja wanatokana na viumbe gani?

Kwangu mimi Dr. alikuwa very very contsraint and diplomatic in that message bearing in mind all the evils done to him and CHADEMA/raia wema by the Police, all WITHOUT CAUSE or JUSTIFICATION.
 
Slaa ni mtu mdogo sana nchi hii, na hawezi kuitisha dola, mbona sasa kila siku anafyata mkia na kukubali kuahirisha maandamano na mikutano yake ? hapo yaonyesha huyu jamaa ni mwoga na ni maneno zaidi. Nakumbuka vurugu za arusha huyu slaa si ndie alikuwa amejificha kwenye maspika , sio huyu ?

kweli wajinga wali wao , dola haiwezi kutishwa na maneno hayo na watasimamia sheria. Yeye ajibu mauaji anayoyafanya kwa watu wasio na hatia, r.i.p mwagosi siasa za kina slaa zimekuponza

Hapo kwenye red:
1. Anaahirisha maandamano kwani hataki Wananchi wasio na hatia waendelee kupigwa risasi za moto na policcm. Ana moyo wa huruma sana ndio maana.

2. Dr. Slaa sio mwoga - angeshahama nchi hii - lakini ni Jasiri - na ujasiri wake utakuwa wazi 2015.

3. Dola??? hivi nchi hii ina dola au ina wauwaji??? Hivi nchi hii ina sheria??? Sheria ya kumwua mtu aliyeshika camera tu??? Hakuna sheria ya kumwaga damu ya mtu yoyote - whatever the case .......... unaposeam RIP Mwangosi - na kusema amesababishiwa kifo na Dr. Slaa unashangaza sana - wakati aliyepiga risasi ni Polisi - sasa SLAA anaingia wapi hapo???

WATANZANIA TUWE WAKWELI TUACHE UNAFIKI - DAMU YA MWANGOSI INALIA MBELE ZA MUNGU NA MUNGU ANAJIBU MACHOZI YA DAMU .................... IKO SIKU .... MUNGU YUPO ......
 
Cheap information for cheap people..
- Today's technology you can do that( send sms) to
anyone and your number to display otherwise i.e
Company, Someone else
-I dont believe such a peraon ( Dr. W.Slaa) would do such
a thing with that something which is obvious
- The Gov'ment is looking for every reason to destroy
CHADEMA, that "they miss" Pfesidential candidate for
2015 election ( remember one of well known CCM MP
said "Dr.W.Slaa is the only one to impose fear to them"
 
Wewe ni gamba tu. Dola kitu gani bwana? Kwani unafikiri dola hii inamilikiwa na CCM? CCM inapita lakini dola itabaki kama ilivyo. Na kwa taarifa yako dola wala si polisi. Polisi ni walinzi tu wa dola na kazi yao ni kulinda raia na wala si kuua.Haya kama unamkejeli Mwangosi lazima ujue kuwa hakuna mtu atayeishi milele. Ukweli huu hata wewe unaujua. Acha kukejeli marehemu. Je wewe utaishi milele?

Back
Top Bottom