Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
Duh inabidi tuchambua kwa kina hoja zake labda kuna ukweli.
Kwenye swala la vitambi kuhusiana na nguo zinazobana kwa wanawake sidhani kama kweli.Wako wakina dada wengi sana ambao hawana vitambi, wanavaa suruali zinazobana kila siku na hawajapata vitambi.Swala la kitambi hapa linatoka na ukosefu wa mazoezi na kula bila mpangilio kwa pande zote za jinsia.
Kwenye swala la kujaa maji kwa wanawake tuna msubiri Michelle alete jibu lol.Nadhani dokta kachukulia kwa juu juu kwamba mtu akivaa soksi zinazo mbana miguu uvimba basi kaona labda na mwanamke akivaa suruali inayobana ikulu inajaa maji (maoni yangu).
Sasa labda anavielezo zaidi na kafanya utafiti hai.Atuambie aliwachukua wanawake wangapi ambao hawana vitambi na kuwavalisha suruali zinazo bana kwa mda gani mpaka akaja na maamuzi haya.