Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
Mkuu Pombekali, chunga sana kauli zako, wapi kuna ushahidi wa kauli yako? Ipo wapi busara ya watanzania?
Hujaskia wanavyojikanyaga!? wapi Abduel,wapi Msangi, tufike mahali huu ukondoo wa kijinga tuuache,. Busara sio kufunika kombe,bali ni kuchukua hatua stahiki katika wakati muafaka,mkuu katika hili naamini niko sahihi though it might not appeal to your attitude over the ongoing matters!
Last edited by a moderator: