Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,352
Safi sana...
[/QUOTE]Wananchi wasiojitambua kwa wanaojitambua machale yameshawacheza. Na ukiona makombora yanarushwa toka ndani ya MACCM dhidi ya huyu wanajua walibugi. Kinana, Butiku, Msekwa, Makinda, Warioba, Mwinyi na Kikwete wote wamerusha makombora na nadhani kuna wengi tu watafanya hivyo siku za usoni kama mwelekeo wa nchi bado ni madudu matupu.
Tupo nae tunaweka mzigo wa bettinghuyu labda atakuwa mrithi wa pdidy, alikuwaga ananifurahisha sana na andika yake ile. Ila sijui alipoteleaga wapi yule mkuu. au alipigwa ban nini?
Pdidy itakuwa kapumzika siasa,yupo tele kwenye uzi wa betting anazichanga za mhindi.huyu labda atakuwa mrithi wa pdidy, alikuwaga ananifurahisha sana na andika yake ile. Ila sijui alipoteleaga wapi yule mkuu. au alipigwa ban nini?
Kaaa kimyaHongera kwake
Kuwemo nchini na kuzingirwa na ya siasa..
Pdidy itakuwa kapumzika siasa,yupo tele kwenye uzi wa betting anazichanga za mhindi.
unajua saa hv anashikilia position gan???Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mtafiti, na kuwa kiongozi
Maybe Mwele alikua researcher mzuri sana lakini hakua na same qualities kama kiongoxzi wa institution
ni mtt wakeHuyu ana uhusiano na john malecela???
Mi nadhani hata yeye mwenyewe huwa hajielewi...Uandishi wako huwa unanipa tabu sana kuelewa. Mungu nisaidie niwe naelewa kwa wepesi maandiko ya huyu ndugu.
Hongera zake!
Lakini kwenye zika alikosea.
Utakua na mimba sio kwa chuki hiiAibu kwa Magufuli zee la mihemko,wivu,majungu,mipasho,fitna,visasi
View attachment 625580
Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.
Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais