Dr. Mponjoli: Police smash alleged luxury car theft ring

Rudini nyumbani mjenge nchi yenu.
Mtabeba maboksi hadi lini?

Kiranja Mkuu Si kila mtu aliyopo nje ya nchi anabeba mabox.. i know people have better jobs than could ever get in TZ na hamna mambo ya bongo mara bossi anakutaka, mara bosi anakukunjia etc..

by the way...at least hao wanaobeba mabox wanaweza kuafford basic needs kama maji, umeme, good health system etc kuliko wale wengi waliopo tz..
 
Nimeshindwa kuona link hiyo! wataalamu (Invisible na wengine) kuna njia naweza kuidanganya hii Geo-IP technology system ???
 
Sasa huyu mkuu aliiba hivyo na hela akaziweka katika akaunti?hakujua kwamba hela za aina hiyo ni ushahidi

This guy is not clever,alishindwa kufanya diversification ya kuhamisha hizo hela kwa njia nzuri.He's still dumb
 
huyu ni mtanzania halisia. ni myakyusa wa mbeya na amesoma mwakaleli secondary baba yake ni mkandarasi wa zamani sana na ndiye aliyejenga majengo karibia yote ya NBC BANK kiufupi shule ipo ya hapa na pale maana alikuwa marekani 1994 na alifukuwa huko na kuhamia UK.
 
Dogo ametu let down big time.....leo ile morning ofisini jamaa wananisalimia na kusema kumbe na nyie ni wezi wa magari kama wanigeria.....nomaaaa.
 
Kiranja Mkuu Si kila mtu aliyopo nje ya nchi anabeba mabox.. i know people have better jobs than could ever get in TZ na hamna mambo ya bongo mara bossi anakutaka, mara bosi anakukunjia etc..

by the way...at least hao wanaobeba mabox wanaweza kuafford basic needs kama maji, umeme, good health system etc kuliko wale wengi waliopo tz..

I agree with you!Kuna watu Ulaya,wakirudi hawawezi kuishi maisha ya Bongo.
Watoto wao wanasoma top class education,wanapata first class health,wanaishi nyumba zenye umeme,vyoo vya ndani,na kadhalika.
Elimu ya hawa perhaps very low,ukilinganisha wakirudi bongo,watakaa Manzeshe,
may unemployed,hawataweza kuwasomamesha watoto wao St Mary etc.

Su kubeba maboksi is very simplist way ya kusema hivyo.Kuna wengi proffesionals too, manurse,doctors and engineers.

Lipi bora:ulalalie ngozi ,huna umeme,huna docta mzuri(you see Waziri amekimbilia Nairobi),chance za kupata magonjwa ni very low kama Tanzania.Au ufanye kazi yoyote Ulaya ,uishi vizuri,ule vizuri,low level of crime,chance za kuuawa kwa ajali ni ndogo etc?
Hata watoto wa vigogo wanajua hivyo,baadhi watoto wa Malecela,Salim,
Msekwa na hata tukio la juzi la Balozi Daraja,watoto wote wako majuu!!!
 
Sasa huyu mkuu aliiba hivyo na hela akaziweka katika akaunti?hakujua kwamba hela za aina hiyo ni ushahidi

This guy is not clever,alishindwa kufanya diversification ya kuhamisha hizo hela kwa njia nzuri.He's still dumb

Kuna stupid wengi tu.Tanzania inakuwa at per na wanigeria.Hii doc ya wezi wa magari inaifanya Tanzania kujulikana kwa wanaUlaya zaidi.Maana audience inayoangalia kipindi hiki ni kubwa sana.
Hata huyu mzungu wa unga,anaharibia Brit passport holders Watanzania ambao wengi wamesettle UK na kuendesha maisha yao bila ya matatizo.
Unaweza kupitish UNGA airport wakati unajua kuna airport siku hizi wanamascan ya ajabu ?Huu si upumbavu:
Habari imeandikwa na gazeti la citizen:

Last month, a British citizen of Tanzanian origin, Mr Khalid Salim Maunga, 35, was charged at the Ilala District Court with drug trafficking.Mr Maunga was allegedly arrested at Julius Nyerere International Airport with 69 pallets of heroin and 610 grams of bhang, all worth Sh20 million.
 
Thanks for the link... jamaa is the most stupid guy ever lived.

Hivi kuna mwizi stupid na mwizi clever? Arobaini zikifika huna ujanja. Swala ni kuwa mkweli na kufanya shughuli zako kihalali popote pale ulipo iwe bongo au ughaibuni. Jizi ni jizi tu liwe kutoka nchi yoyote ile mbona hao wazungu wenyewe ni wezi wa kutupwa na kila siku wanashikwa. Tumeona ya wizi wa familia ya John Terry kwenye super markets au ule wa baba yake kuuza cocaine kwenye bar.

Dogo ametu let down big time.....leo ile morning ofisini jamaa wananisalimia na kusema kumbe na nyie ni wezi wa magari kama wanigeria.....nomaaaa.

Ameji-let down himself, yeye ni mwizi anataka njia ya mkato hana tofauti na RA, Chenge, Mkapa, EL et al. au wale walioiba fweza za EPA au Gavana Ndulu aliyejenga jumba la kufuru kwa fweza za walipa kodi. Yupi ametulet down zaidi? Au kwa sababu huyu ni Mponjoli aliyekuwa unknown?
 
How UK police nailed Dar young millionaire
NA GUARDIAN ON SUNDAY TEAM
7th August 2011

His fortunes rose suddenly at the age of 34, making him one of the prominent suppliers of fancy cars in the streets of Dar es Salaam, before his dream of becoming a millionaire was shattered by the British Police a few years ago.
Nearly two years since his jail sentence was doubled, the British police this week released the details of Mponjoli Malakasuka, a 38-year-old, currently jailed in UK, after he was accused of masterminding a network that stole and exported posh cars worth Sh3.75billion to Tanzania.

The release of the details follows a request by The Guardian on Sunday filed to West Midlands Police, through our correspondent in London, in January, this year, whereby this newspaper wanted to know the case against a Tanzanian businessman who is now languishing in a UK prison.

Kutoka ippmedia.com

===
HUYU NI MWIZI TU, SIO UTANZANIA AU U-NIGERIA.
"
He had more than 30 credit cards in various names, 70 bank accounts, and dozens of identity cards, in a move to hide his real identity.
"??
INATISHA.

Tofauti ya wizi wa Riziwan na ya Mponjoli a.k.a Dr. Ponjo ni kwamba wizi wa Riziwani una baraka zote za Chama na serikali
 
Mbonjoli, kiboko sana huyu mtu! 80% ya Vogue Ranger Rover na Sport, za hapa Dar yeye ndio kazileta na kutoka UK nyingi ni za wizi, kawauzia kina Kinje na Viongozi wengi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom