Dr. Mponjoli: Police smash alleged luxury car theft ring

Whatever it is he will pull through... Wakoloni walishachukua sana sema tu bahati mbaya he got caught up. He is not called Dr for nothing and he will sure roll the dice once again!
 
Lakini hiyo fani yake mwisho wake ni mauti yaliyo violent. Kubaliana nami au la lakini kama akitoka na kuendelea na hiyo tabia yake...basi mwisho wake utakuwa ni mbaya sana. Ataibia au kutapeli vichaa wasio na moyo na watamwekea bounty kichwani. Mark my words and I'd hate to say I told you so. Hopefully atajijali na kujali familia yake (kama anayo) na kujirudi

AWAIBIE HAO HAO MAPONJORO WENZIE AJE BONGO AONE SIKU HIZI WATU WANAKUPIGA BASTOLA WANAKUKATAKATA...KUNA KIJANA WETU PALE KIMARAMWISHO JAMANI HUZNI LAKIN NDIO HIVYO ALIKUWA KIJANA MDOGO AKAKAMATA MAISHA YA FINANCE OFFICER UNNILLIVER..BAADAE AKA[ELEKWA MAKOSI AKAPEWA DILI NA WAKENYA LA KAMA MILLION 700/= KIJANA PESA ZIMEINGIA DAR ...WATU WAMECHUKUA KQ FIRST CLASS ANAWALETEA UPUUZI...AKAWAAMBIA ZIMETOKA MILLION 400 200 AKACHUKUA..200 AKAWAPA..KIJANA AKALETA GARI 5 SIKU MOJA MPYA....HUKU NYUMBANI AKAVUNJA NYUMBA YAO AKAJENGA NYUMBA YA AJABU...VERY NICE NAMPONGEZA KIJANA YULE...JAAMAA WAKAENDELEA KUDAI JAMA ANAWAPA 50MIL..30 MILL WEE...SIKU ANARUDI KWAO WAKENYA WAKAPANDA BAJAJI..WALIPOMWONA ANAONGIA YUKO NA VX NEW MODEL WAKAMPIGA SHABA YA KICHWA....KABLA AKAWAOMBA AWAPE FUNGUO ZA MAGARI..MARA NTAWAPA KILICHOBAKI...WEEE WAKAMWAMBIA KWETU DK PESA ZAIDI YA TULIZOZIFWATIA...AKAPEWA SHABA YA KICHWA...

MAMBO HAYA ANATAKIWA AJE TANZANIA AKUTANAE NA WALIOAGA NYUMBANI KIJINI AWARUDI TENA NA BORA WAFIE MJINI NAWAAMBIA HUYO ,....BASI TU...AIWEZEKANI AKAWA ANAWACHEZEA MAREKANI.MARA UK...DAR KUNA NINI???
 
Whatever it is he will pull through... Wakoloni walishachukua sana sema tu bahati mbaya he got caught up. He is not called Dr for nothing and he will sure roll the dice once again!

Labda akajaribu ku-pull thru Bongo maana akimaliza kifungo ni deportation same day.Sasa hapo ku-replicate tricks zake za UK kwa Bongo labda ashike bunduki.

Anyway,endeleeni kumfariji.
 
Kama kweli ni Dr. basi msiwe na wasiwasi na yeye.

Amini usiamini, watu kama hawa, siku akiacha wizi, atagongwa gari (mfano) na kufa siku hiyohiyo. Ni kweli kuwa mwisho wake utakuwa mbaya ila hakuna ajuaye mwisho wake utakuwaje. Huko jela inawezekana sasa ndiyo anakula shule ya juu na akitoka huko atakuwa Profesa. Anaweza asiwe UK au USA. Anaweza kwenda nchi nyingine nyingi tu na kuendelea na utapeli wake na si lazima Tanzania.

Mtu kama yeye lazima atakuwa ni middleman. Unaweza kukuta hayo magari wala haibi ila anayachukua na jamaa wanatangaza wameibiwa na kulipwa Bima. Au kuna watoto wa kihuni wanaiba na wanamletea, yeye kama boss anacash na kuanza kufanya mpango wa kuyatoa nje ya nchi. Ukimwangalia sana utagundua tu kuwa ni mtu wa kudeal na makaratasi na si kwenda kukurupusha Mbwa kwenye majumba ya matajiri wa UK. Nina uhakika kama ilivyo Dar, kuna vibaka waliokubuhu kuiba kwenye nyumba za watu na wakiiba ndiyo wanamletea Mponjoli.............

All in all, kama mali zake zote kaziweka basi poa ila kama kazila basi ndiyo tofauti kubwa kati yetu na Wayahudi. Angelikuwa Myahudi, angelikaa kimya na akamaliza kifungo chake. Akitoka basi kama jamaa walivyosema, anafungua miradi mikubwa tu Tanzania huku sehemu kubwa akiwa kachukua mkopo wa Bank ili isiwe rahisi kusema ni mali ya wizi....... Nampa pole yeye na familia yake. Ndiyo maisha aliyochagua........ Wanasema utamu wa pilipili.......
 
Thus why some of us we have refused (COMPLETELY) kuassociate na wabongo tukiwa abroad. Maana watu kama hawa wanakualibia maisha, ata kuwa marafiki zao ujui what they will do to destroy your life. Why can't he work legal and get money?? common there are so many Tanzanians in abroad who are doing so well in well paid jobs, and they live good life. Ila the problem ni kwamba watanzania wengi wanapenda short cuts... kusoma 4-5 years ili wapate good jobs wanaona ni ufala.. He deserved to be in prison milele, he is just destroying our reputation
 
huyu kijana amesahau fadhila, babake mzee malakasuka enzi zake na kampuni ya ujenzi walikuwa wakipeana miradi mikubwa ya kujenga benki na dr amon nsekekla, mzee akawa tajiri akawapeleka huko ulaya wakasome badala ya kusoma na kurudi kuja ku-expand business ya baba yao, wamegeuka kuwa majizi huko ulaya. mzee wao amefilisika nyumba yake ya mbeya iliyokuwa inaitwa white house choka mbaya hata umeme na maji umekatwa, sasa anaishi lile flat la national housing pale victoria, wanakopaki zile benzi za kukodisha harusini, isije ikawa na zile benzi ni za mponjoli
 
wanakopaki zile benzi za kukodisha harusini, isije ikawa na zile benzi ni za mponjoli

KAKA ULIKUWA UJUI HILO???
 
huyu kijana amesahau fadhila, babake mzee malakasuka enzi zake na kampuni ya ujenzi walikuwa wakipeana miradi mikubwa ya kujenga benki na dr amon nsekekla, mzee akawa tajiri akawapeleka huko ulaya wakasome badala ya kusoma na kurudi kuja ku-expand business ya baba yao, wamegeuka kuwa majizi huko ulaya. mzee wao amefilisika nyumba yake ya mbeya iliyokuwa inaitwa white house choka mbaya hata umeme na maji umekatwa, sasa anaishi lile flat la national housing pale victoria, wanakopaki zile benzi za kukodisha harusini, isije ikawa na zile benzi ni za mponjoli

Wangapi, na issue ya mzee malakasusa inaingiaje hapa. hapa anaongelewa Dr na si babake wala familia ya malakasusa.
 
Jamaa ni mgonvi balaa...

Jamaa hata UK wakimpiga chini ataingia nchi yeyote Europe au hata Canada na upigaji utaendelea...the dude is only 36 na anahasira ya hela ile mbaya.
 
Competing in doing...SINS!....anastahili kuunganishwa na Liyumba, Basil, Andrew chenge...
 
Jamaa ni mgonvi balaa...

Jamaa hata UK wakimpiga chini ataingia nchi yeyote Europe au hata Canada na upigaji utaendelea...the dude is only 36 na anahasira ya hela ile mbaya.

I salute you MJ!......

Ila bana watanzania noma...wakati dude ana make rain alivyokuwa USA wapambe walikuwa kibao...alivyoingia ndani tuu wale wale wapambe wakaanza kummaliza mtaani.....ila hawakumbuki fadhila (twende mbele turudi nyuma...of course ndiyyo anachofanya siyo kizuri lakini ni mtu mmoja mwenye rohonzuri sanaaaa).....Akaja ku win London wapambe wakarudi tena ila this time he knew better ku deal na wabongo.....na sasa bado filimbi zinapigwa daaaah!......ni life ambayo yeye ame choose to live...kama ww na mimi tume choose kuishi kwa pay check kwa pay check.....and life goes on....
 
Kama kweli ni Dr. basi msiwe na wasiwasi na yeye.

Amini usiamini, watu kama hawa, siku akiacha wizi, atagongwa gari (mfano) na kufa siku hiyohiyo. Ni kweli kuwa mwisho wake utakuwa mbaya ila hakuna ajuaye mwisho wake utakuwaje. Huko jela inawezekana sasa ndiyo anakula shule ya juu na akitoka huko atakuwa Profesa. Anaweza asiwe UK au USA. Anaweza kwenda nchi nyingine nyingi tu na kuendelea na utapeli wake na si lazima Tanzania.

Mtu kama yeye lazima atakuwa ni middleman. Unaweza kukuta hayo magari wala haibi ila anayachukua na jamaa wanatangaza wameibiwa na kulipwa Bima. Au kuna watoto wa kihuni wanaiba na wanamletea, yeye kama boss anacash na kuanza kufanya mpango wa kuyatoa nje ya nchi. Ukimwangalia sana utagundua tu kuwa ni mtu wa kudeal na makaratasi na si kwenda kukurupusha Mbwa kwenye majumba ya matajiri wa UK. Nina uhakika kama ilivyo Dar, kuna vibaka waliokubuhu kuiba kwenye nyumba za watu na wakiiba ndiyo wanamletea Mponjoli.............

All in all, kama mali zake zote kaziweka basi poa ila kama kazila basi ndiyo tofauti kubwa kati yetu na Wayahudi. Angelikuwa Myahudi, angelikaa kimya na akamaliza kifungo chake. Akitoka basi kama jamaa walivyosema, anafungua miradi mikubwa tu Tanzania huku sehemu kubwa akiwa kachukua mkopo wa Bank ili isiwe rahisi kusema ni mali ya wizi....... Nampa pole yeye na familia yake. Ndiyo maisha aliyochagua........ Wanasema utamu wa pilipili.......

hahahahaha,umenitengenezea siku yangu mkuu...na kweli jinsi nimjuavyo dr akitoka huko lazima kawa profesa kabisa!ni wale watu hata uwatie kwenye chupa watatoa kidole kukuonyesha wapo..hata wakimuondoa UK atakwenda mahali pengine na kama kawa kama dawa,hustle zitaendelea...
Mungu ampe umri mrefu wazungu walie zaidi.
 
Katika multi-ethnic societies kama Marekani na Uingereza nini kinakufanya udhanie kuwa victims wote ni wazungu? Unless awe anawalenga wazungu tu katika wizi na udokozi wake la sivyo sidhani hata wewe ukijilengesha lengesha kwenye anga zake atakulazia damu.
 
i meant hao hao babu
 
I salute you MJ!......

Ila bana watanzania noma...wakati dude ana make rain alivyokuwa USA wapambe walikuwa kibao...alivyoingia ndani tuu wale wale wapambe wakaanza kummaliza mtaani.....ila hawakumbuki fadhila (twende mbele turudi nyuma...of course ndiyyo anachofanya siyo kizuri lakini ni mtu mmoja mwenye rohonzuri sanaaaa).....Akaja ku win London wapambe wakarudi tena ila this time he knew better ku deal na wabongo.....na sasa bado filimbi zinapigwa daaaah!......ni life ambayo yeye ame choose to live...kama ww na mimi tume choose kuishi kwa pay check kwa pay check.....and life goes on....
Ame-choose upuuzi hakuna cha life hapo...gangster is not life...ulimbukeni
 
Ndiyo hapo sasa...kila mtu ambeubwa tofauti...

and oops i got go maana naona soon itakuja kuwa soo.....Nisije kabwa throat bure maana nimeshaona naanza lishwa maneno ya rejareja.......

tchao!...
 
jamani lets give salutes to the nigger,for a tanzanian to pull strings nchi za watu,hii ni landmark-lets pray he comes out of jail in one piece and carries on where he left-GOD bless mponjoli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom