Dr Magufuli Rais wa Tanganyika

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
19,015
31,454
Heshima kwenu wanajamvi.

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 umemalizika Rais wa Tanganyika ni Dr Magufuli,Rais wa Zanzabar bado kitendawili matokeo yamefutwa hakuna mbunge,hakuna wawakilishi,hakuna Rais wa Zanzibar wala Rais wa JMT.

Kwakuwa matokeo ya Zanzibar yamefutwa kabisa ni dhahiri kura alizopata Magufuli kwa upande wa Zanzibar ni batili hazikupaswa kuhesabiwa na NEC kama sehemu ya kura zilizompatia ushindi.

Ikiwa Dr Magufuli ataapishwa ni dhahiri atakuwa ni Rais wa Tanganyika pekee yake.

By Tabby

Ibara number 41 ya katiba ya JMT inazungumzia uchaguzi wa raisi. Ninaomba wanasheria mtusaidie kupata ufafanuzi kifungu cha saba.

(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwaamechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidikuliko mgombea mwingine yeyote.

(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzikwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basihakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka yakuchunguza kuchaguliwa kwake.

Ufafanuzi ninaoumba ni kama tangazo la tume juu ya raisi litakuwa na kinga ya kutokuchunguzwa na mahakama yoyote hata pale ambapo maamuzi ya tangazo hilo hayajazingatia matakwa ya Ibara hii ya 41 mfano kama kifungu cha 6 ama chochote kikiwa kimekiukwa.

Kifungu cha saba kinasema wazi "Iwapo mgombea ametangazwa na tume ya uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa raisi kwa mujibu wa ibara hii (ya 41)". Vipi kama kilichotangazwa hakiko kwa mujibu wa ibara hii? Bado tangazo hilo ni legal binding?

Swali lingine, ni chombo gani kinatakiwa kuhakiki compliace ya tume ( iliyopewa nguvu hiyo kwenye) ili kujiridhisha kwamba inachokitangaza kimefanyika inline with stipulations za ibara hii ya 41?

Vipi ikitokea msemaji wa tume, on insanity, corruption, Rebellion, conspiracy, au threat grounds akamtangaza mtu kuwa raisi bila taratibu na mahitaji ya ibara hii ya 41 kufuatwa, bado itakuwa ni lawful, binding and enforceable announcement?

NAOMBA TUJADILIANE NA KUELEIMISHANA KWA HOJA. Na ni vizuri tukiwa tunarejea mfano wa kifungu cha sita hapo juu
 
Last edited by a moderator:

vippi mtama
 
Hii hoja yako ni ya msingi kabisa. Iweke kwenye thread inayojitegemea ili michango ililete tija zaidi. Kuiweka hapa inapotea tu kichakani
 
Ufafanuzi ninaoumba ni kama tangazo la tume juu ya raisi litakuwa na kinga ya kutokuchunguzwa na mahakama yoyote hata pale ambapo maamuzi ya tangazo hilo hayajazingatia matakwa ya Ibara hii ya 41 mfano kama kifungu cha 6 ama chochote kikiwa kimekiukwa.
Unamaanisha kama ilivyo kwa Sugu na urais wa Mbeya!?

Nasikitika kwamba nchi yangu ina kifungu kinachosema kuwa 'hakuna mahakama yoyote'! Wakati nchi bado iko chini ya watangulizi hasa Mwalimu hiki kifungu madhara yake hayakuwa makubwa sana maana zaidi ya 98% ya wasimamizi wa sheria walikuwa wanafanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi na walitawaliwa na nia njema. Leo hii ni wanafanya kwa ajili ya maslahi binafsi!

Hata ISIS nao wana mfumo wao wa sheria katika maeneo wanayotawala ikiwa ni pamoja na beheading na hakuna anayetakiwa kuhoji maana ni 'sheria halali'. Tafakarini zaidi mustakabali wa Tanzania!

Nadhani hivi vifungo vinaweza kuwa challange katika mahakama za haki za binadamu kama sikosei hii mahakama makao makuu yapo Arusha ni vyema wakuu wa UKAWA wakatazama maslahi mapana zaidi si kwa faida za leo bali kwa vizazi vijavyo.Vipengele vinavyobeba maslahi ya udikitea lazima vifutwe mara moja.

Hakika Mchg Mtikila atakumbukwa kwa mambo mengi sana nadhani pengo lake limeanza kuonekana baada ya Mungu kumpenda zaidi.

Unamaanisha kama ilivyo kwa Sugu na urais wa Mbeya!?

Nasikitika kwamba nchi yangu ina kifungu kinachosema kuwa 'hakuna mahakama yoyote'! Wakati nchi bado iko chini ya watangulizi hasa Mwalimu hiki kifungu madhara yake hayakuwa makubwa sana maana zaidi ya 98% ya wasimamizi wa sheria walikuwa wanafanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi na walitawaliwa na nia njema. Leo hii ni wanafanya kwa ajili ya maslahi binafsi!

Hata ISIS nao wana mfumo wao wa sheria katika maeneo wanayotawala ikiwa ni pamoja na beheading na hakuna anayetakiwa kuhoji maana ni 'sheria halali'. Tafakarini zaidi mustakabali wa Tanzania!

Heshima kwenu wanajamvi.

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 umemalizika Rais wa Tanganyika ni Dr Magufuli,Rais wa Zanzabar bado kitendawili matokeo yamefutwa hakuna mbunge,hakuna wawakilishi,hakuna Rais wa Zanzibar wala Rais wa JMT.

Kwakuwa matokeo ya Zanzibar yamefutwa kabisa ni dhahiri kura alizopata Magufuli kwa upande wa Zanzibar ni batili hazikupaswa kuhesabiwa na NEC kama sehemu ya kura zilizompatia ushindi.

Ikiwa Dr Magufuli ataapishwa ni dhahiri atakuwa ni Rais wa Tanganyika pekee yake.

By Tabby

Ibara number 41 ya katiba ya JMT inazungumzia uchaguzi wa raisi. Ninaomba wanasheria mtusaidie kupata ufafanuzi kifungu cha saba.

(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwaamechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidikuliko mgombea mwingine yeyote.

(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzikwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basihakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka yakuchunguza kuchaguliwa kwake.

Ufafanuzi ninaoumba ni kama tangazo la tume juu ya raisi litakuwa na kinga ya kutokuchunguzwa na mahakama yoyote hata pale ambapo maamuzi ya tangazo hilo hayajazingatia matakwa ya Ibara hii ya 41 mfano kama kifungu cha 6 ama chochote kikiwa kimekiukwa.

Kifungu cha saba kinasema wazi "Iwapo mgombea ametangazwa na tume ya uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa raisi kwa mujibu wa ibara hii (ya 41)". Vipi kama kilichotangazwa hakiko kwa mujibu wa ibara hii? Bado tangazo hilo ni legal binding?

Swali lingine, ni chombo gani kinatakiwa kuhakiki compliace ya tume ( iliyopewa nguvu hiyo kwenye) ili kujiridhisha kwamba inachokitangaza kimefanyika inline with stipulations za ibara hii ya 41?

Vipi ikitokea msemaji wa tume, on insanity, corruption, Rebellion, conspiracy, au threat grounds akamtangaza mtu kuwa raisi bila taratibu na mahitaji ya ibara hii ya 41 kufuatwa, bado itakuwa ni lawful, binding and enforceable announcement?

NAOMBA TUJADILIANE NA KUELEIMISHANA KWA HOJA. Na ni vizuri tukiwa tunarejea mfano wa kifungu cha sita hapo juu

Pole sana mara zote mtaka nyingi kwa pupa hukosa zote
Kwa sasa uchaguzi umebaki MONDULI TU pengine watu wamefunika vitabu vyao....hilo ndilo tatizo la kununuliwa ulizokula zinatosha ridhika na hilo
By the way case yetu huko ICC inaendeleaje??, Bensouda ameshaanza kazi??? Mlichimba mashimbo tena kwa vitiiishooo!! Mmejifukia wenyewe..poleni sana
 
Last edited by a moderator:
Dada/Kaka/Bidada/BwanaKaka vipi hatunajadili habari kubwa wewe unakuja na mipasho nani kakwambia JF ni sehemu mipasho ?.

Pole sana mara zote mtaka nyingi kwa pupa hukosa zote
Kwa sasa uchaguzi umebaki MONDULI TU pengine watu wamefunika vitabu vyao....hilo ndilo tatizo la kununuliwa ulizokula zinatosha ridhika na hilo
By the way case yetu huko ICC inaendeleaje??, Bensouda ameshaanza kazi??? Mlichimba mashimbo tena kwa vitiiishooo!! Mmejifukia wenyewe..poleni sana
 
Pole sana mara zote mtaka nyingi kwa pupa hukosa zote
Kwa sasa uchaguzi umebaki MONDULI TU pengine watu wamefunika vitabu vyao....hilo ndilo tatizo la kununuliwa ulizokula zinatosha ridhika na hilo
By the way case yetu huko ICC inaendeleaje??, Bensouda ameshaanza kazi??? Mlichimba mashimbo tena kwa vitiiishooo!! Mmejifukia wenyewe..poleni sana

Jibu hoja povu zanini???? au Mpaka upitie kwa January makamba akukaririshe kwanza....
 
Sijaona watu wajinga ambao wanashindwa kuhoji demokrasia ndani ya Chadema ya kumchagua Jambazi Sugu kuwa mgombea. Unapotaka kuwa mkweli hoji hiyo ndani ya nyumba yako kwanza kabla ya kunyoosha mikono kwa wengine. Absolutely stupid. Then kuna watu wanadiriki ati kusema rais wa Tanganyika, huo ndio ufinyu wa akili na mawazo yao.
 
Unamaanisha kama ilivyo kwa Sugu na urais wa Mbeya!?

Nasikitika kwamba nchi yangu ina kifungu kinachosema kuwa 'hakuna mahakama yoyote'! Wakati nchi bado iko chini ya watangulizi hasa Mwalimu hiki kifungu madhara yake hayakuwa makubwa sana maana zaidi ya 98% ya wasimamizi wa sheria walikuwa wanafanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi na walitawaliwa na nia njema. Leo hii ni wanafanya kwa ajili ya maslahi binafsi!

Hata ISIS nao wana mfumo wao wa sheria katika maeneo wanayotawala ikiwa ni pamoja na beheading na hakuna anayetakiwa kuhoji maana ni 'sheria halali'. Tafakarini zaidi mustakabali wa Tanzania!

Mkuu hicho kifungu hakijasema kikaishia hapo. Kimetamka kwamba hapatakuwa na mahakam ya kuchunguza kuchaguliwa kweke ikiwa atakuwa amekidhi matakwa ya Ibara hiyo ya 41. Je kama anatangazwa bila kukidhi matakwa ya kifungu chochote katika Ibara hiyo ya 41? Huoni kama tayari atakuwa hajakidhi vigezo vya kutokuhojiwa?
 
Sijaona watu wajinga ambao wanashindwa kuhoji demokrasia ndani ya Chadema ya kumchagua Jambazi Sugu kuwa mgombea. Unapotaka kuwa mkweli hoji hiyo ndani ya nyumba yako kwanza kabla ya kunyoosha mikono kwa wengine. Absolutely stupid. Then kuna watu wanadiriki ati kusema rais wa Tanganyika, huo ndio ufinyu wa akili na mawazo yao.

Unapaswa kujenga hoja. Usidhani watu wote wanaohoji ni wafuasi wa chadema. Kama ni stupidity busi wewe unaongoza.
 
Back
Top Bottom