Ngereja! Ni kweli Dr Limbu hajawahi kuwa waziri wa mambo ya ndani, lakini, tafuta kumbukumbu zako za mwaka 2002 uone nani alikuwa waziri wa maji na nani alikuwa naibu wake, hapo ndo utakuja ukanushe kuwa Limbu hajwahi kuwa naibu waziri wa maji chini ya ENL.
ENK, heshima mbele, inaonekana hujui nini kinajadiliwa hapa, na hili linaweza kuwa si kosa lako, masuala ya mm kumjua au kutomjua baba yangu yanahusiana nini na upumbavu wetu wana Magu!
Unaweza kuwa na uhuru wa kuandika hapa lakini si haki yako ya kutaka kujifanya mtaalamu wa DNA, binafsi nimekuchukulia kama binadamu mwenye haki zote lakini anafaa kupuuzwa, nimepuuzia yote uliyoandika kwani lengo hapa la mdau Ichobela (Ilungu, Nyanshimba-Yichobela- Kinango haha haha) lilikuwa ni kuonesha namna gani huyu jamaa tangu amekuwa mbunge ahajafanya lolote la maana si kwa watu wa Magu mjini pekee bali hata kwa walio pembezoni, mwalinha, sagani etc. Kikubwa hapa, kama wewe ni mkazi wa Magu na unadhani kumtetea limbu ni kutoona alichofanya, pole.
Tuone labda sasa kwa kuanzishwa huu mkoa wa Simiyu na kuwepo kwa mamlaka ya mji mdogo wa magu, kunaweza kuwepo na mabadiliko, tusubiri tuone
Tembelea office ya Bunge upate orodha ya mawaziri na manaibuwa waziri kati ya mwaka 2000-2005, 2005-2010, 2010-2015. Inaonekana kumbukumbu zako sio sahihi. Nimekuwekea taarifa za Dr. Limbu usome kisha unionyeshe ni lini alikuwa naibu au waziri wa maji. Mbona wewe hutupi mwaka unaodai alikuwa waziri wa maji?
Mwaka 2000-2005 Waziri wa Maji alikuwa Edward Ngoyai Lowasa
Naibu Waziri alikuwa Antony Diallo
2002-2005 Dr. Limbu alikuwa naibu waziri wa Fedha, hakuna zaidi ya hapo
ENERAL | ||
Salutation | Honourable | Member picture |
First Name: | Dr. Festus | |
Middle Name: | Bulugu | |
Last Name: | Limbu | |
Member Type: | Constituency Member | |
Constituent: | Magu | |
Political Party: | CCM | |
Office Location: | P.O. Box 8496, Dar Es Salaam | |
Office Phone: | +255 784 581100/+255 757 491940 | |
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | ||
Member Status: | ||
Date of Birth | |
EDUCATIONS | ||||
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Technical University of Berlin, Germany | PhD (Economics | 1989 | 1993 | PHD |
Galamugi Primary School | Primary Education | 1964 | 1968 | PRIMARY |
Kinango Middle/Nyashana Extended School | Primary Education | 1969 | 1970 | PRIMARY |
Lumeji Primary School | Primary Education | 1971 | 1972 | PRIMARY |
Bwiru Boys' Secondary School | O-Level Education | 1973 | 1976 | SECONDARY |
Mazengo High School | A-Level Education | 1977 | 1978 | HIGH SCHOOL |
Univeristy of Dar Es Salaam | BSc. (Economics) | 1983 | 1987 | GRADUATE |
Bangladesh Institute of Development Studies | MSc. (Economics) | 1988 | 1989 | MASTERS DEGREE |
CERTIFICATIONS | |||
Certification Name or Type | Certification No. | Issued | Expires |
No items on list | |||
EMPLOYMENT HISTORY | |||
Company Name | Position | From Date | To Date |
Ministry of Finance | Deputy Minister | 2002 | 2005 |
University of Dar es Salaam | Lecturer | 1985 | 2000 |
Prime Ministers' - Regional Commissioner's Office - Mtwara | Controller and Planning Officer | 1982 | 1983 |
Kilombero Sugar Company | Audit & Control Assistant | 1980 | 1981 |